muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa ukimsikiliza anaonesha utofauti mkubwa na wengine kimtazamo wa 'kifenotipia' ila hatujui kuhusu 'Jenotipia' yake

    Nawasalimu kwa Jina la JMT, Waziri huyu kwa mara ya kwanza nilimfahamu pale alipoleta hoja Bungeni akitaka kujua kwanini mradi wa Umeme wa Mwl Nyerere Rufiji (JNHPP) utakaotoa ajira ya zaidi 7,000 na serikali kuwekeza zaidi ya TZS 6.55trilioni unafanyika katika Wilaya ambayo haina hata benki...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwa muda mrefu ujao Tanzania haitaweza kupata maendeleo ya maana

    Nimejaribu kuichunguza Nchi yetu inavyoongozwa na mikakati tuliyonayo najiridhisha kuwa ni vigumu sana kupata maendeleo ya maana hata kwa miongo mitatu ijayo yaani comes 2050! Sababu zangu ni hizi; 1. Elimu yetu ni duni sana kwa maana ya maudhui (contents) na inazalisha watu wenye maarifa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kisiasa wawe wanastaafu wakifikisha miaka 70 ili wapate muda wa kusimamia afya zao

    Katika nyakati hizi ni heri hawa wazee wetu waliotumia muda mwingi kwenye siasa wakapumzishwa ili waweze kusimamia afya zao na kulea wajukuu. Kwa mfano mzee Mrema, Mzee Cheyo, mzee Rungwe, mzee Shibuda , mzee Malecela na wengine wote wafananao na hao. Tuwaachie watu wenye fikra mpya!
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kikao kizito cha dharura cha bodi ya simba kinaendelea muda huu

    Maduka yanayotembea yenye miguu miwili yajiandae, story zenu za mpira una matokeo matatu kasimulieni wake zenu na marehemu bibi zenu, nyambafu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ni fedhea Viongozi wa CCM kuandaa zoom meeting kuwajadili machinga. Ni Machinga gani ana muda wakuingia zoom kushiriki mjadala?

    Nimeana Zungu na wengine wameitisha mkutano kupitia Zoom kujadili kadhia ya machinga kuondolewa baadhi ya maeneo kwa lengo lakutaftiwa maeneo mengine. Swali ninalotaka kujiuliza, hiki kiburi cha hawa viongozi kwenda Zoom kuwajadili machinga wanakitoa wapi? Kwamba walishindwa kuwatetea Bungeni...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania UN: Watoto 10,000 wameuawa katika vita ya muda mrefu ya Yemen

    Zaidi ya watoto 10,000 wameuawa au kujeruhiwa nchini Yemen katika vurugu zinazohusiana na vita vya muda mrefu katika taifa hilo masikini. Msemaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na watoto, UNICEF, James Elder, amewaeleza waandishi wa habari kwamba takwimu zilizothibitishwa na Umoja...
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Vibanda vya wamachinga mtaa wa Msimbazi Kariakoo vyasambaratishwa

    Nimepita hapo muda si mrefu, naona Kariakoo inaanza kupendeza sasa, hongera na pongezi zote zimuuendee mkuu wa mkoa. ================================ Update: Polisi wakimbizana na Wamachinga Dar
  8. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mwanasiasa hakikisha unatenga muda wa kusoma na kuwaelewa wana falsafa wa enzi. Ni hitaji muhimu la maamuzi utakayofanya

    Asikudanganye mtu hakuna chochote kigeni kwenye hii dunia. Mambo yanayotokea leo hii yalishakuwepo kwenye huu ulimwengu miaka maelfu kwa maelfu iliyopita. Unaongelea kuhusu rushwa, chuki, wivu, ukatili, ukabila, upendeleo, kulewa madaraka, magonjwa, mauaji etc etc yote utayakuta kwenye vitabu...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Azam Tv, Simba SC na Watangazaji wa Michezo Redioni mnatuchanganya kuhusu Muda wa Mechi ya Simba SC na Wabotswana leo

    Azam Tv katika Ukurasa wao wanasema Mechi ni Saa 9 Alasiri leo. Simba SC katika Kurasa zao wanasema Mechi ni Saa 10 Jioni leo. Watangazaji wa Vipindi vya Michezo Redioni wamegawanyika wapo wanaosema ni Saa 10 na wengine wakisema ni Saa 9. Tafadhali mwenye uhakika Kamili wa muda wa Mtanange (...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Muda hautoshi na Maxence Melo

    MUDA HAUTOSHI NA MAXENCE MELO WA JF Leo nyumbani kwangu nimempokea kijana ambae siwezi kuwa na maneno ya kutosha kumweleza. Ameifanyia Tanzania makubwa. JF imenifanya mimi nifahamike kwa kusomwa ulimwengu mzima walipo wazungumzaji wa Kiswahili. Katika kunisoma huku ndiko wengi wakaijua...
  11. 2019

    JamiiForums Tanzania Mbagala muda huu tupo gizani, nikisema Makamba hafai mnaona nina nongwa

    Toka saa 4 kamili usiku umeme umekatika, wananchi wa Mbagala tupo gizani na ni muda wa kukabwa. Huyu waziri ana faida gani kwetu? Nikisema mnaona mimi namchukia.
  12. May Day

    JamiiForums Tanzania Ije sheria kuwanusuru 'wanaosota' benchi muda mwingi

    Ningetamani kuwepo na sheria ambapo Kocha/Timu isiruhusiwe kucheza zaidi ya mechi tano au kumi bila kumtumia Mchezaji wake. Yaani iwe kila baada ya dakika kadhaa za kucheza basi asiwepo Mchezaji ndani ya timu ambae hajacheza walau dakika kumi za mechi ya ushindani. Inaleta maudhi kuona baadhi...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Sikutarajia mpaka muda huu kuwa Simbachawene atakuwa bado ni Waziri wa Mambo ya Ndani

    Jana baada ya kusikia kauli za Waziri Simbachawene moyo wangu ulipigwa ganzi kwa muda. Nilitarajia kuja kufikia majira kama haya tutakua na waziri wa mambo ya ndani mpya. Waziri Simbachawene hana busara na hajiongezi, kauli aliyoitoa ni ya kuwadharirsha askari wetu na inawavunja mioyo sana...
  14. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania VodaCom huu ujumbe wenu mnaotutumia kila muda, kila saa unakera sana

    "Umefikia kikomo au umesitisha malipo ya kadri umavyotumia. Tafadhali jiunge na bando lingine au ruhusu matumizi. Piga *149*01#>8 - Huduma Xtra> Matumizi Bila Bando." Huu ujumbe wenu unakera mno. Yaani mnatuma ujumbe saa 7 z usiku mara saa 8 usiku mara saa 9 usiku mara saa 10 alfajiri yaani...
  15. britanicca

    JamiiForums Tanzania Kuna muda unaweza jisahau kumbe ACT Wazalendo ndio chama kikuu cha Upinzani kwa mizania ya uwakilishi maeneo mbalimbali kiuongozi

    Kuna Muda nasahau kabisa nikidhani CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani ndo mpaka nikumbushwe kwamba ni ACT Wazalendo. Labda CHADEMA wakiwakubali wale 19 ndo itakuwa Chama kikuu cha Upinzani. Isiwe Tabu sana tupiganie kushika madaraka kabisa. Britanicca
  16. C

    JamiiForums Tanzania Rekodi yako ya muda mfupi sana wa safari kuendesha gari (private drive)

    Heshima mbele wadau Najua hapa kuna manguli wa kutosha na wazee wa kusuka private cars pale wanapofanya safari. Kuna wazee wa Druti za Dar - Arusha, DOM-DAR, DOM -MBEYA, DAR MWANZA. Wakati tukielekea msimu wa likizo mwezi Disemba. Share uzoefu wako, ni safari gari umewahi kwenda kwa muda...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mambo Mengi muda mchache, kijana aende wapi kati ya diploma ya CLINICAL MEDICINE NA PHARMACY

    Njia panda! Nisaidieni aende wapi , with reason. Vyote ni vyuo vya serikali amechaguliwa.
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania HESLB imetoa siku nne kwa Wanafunzi 2,982 walioomba mikopo kwa mwaka 2021/2022, kukamilisha taratibu za maombi yao

    HESLB YATOA SIKU NNE WAOMBAJI KUFANYA MAREKEBISHO BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa muda wa siku nne kuanzia Oktoba 4-7, mwaka huu kwa wanafunzi 2,982 walioomba mikopo kwa mwaka 2021/2022 kufanya marekebisho ili kukamilisha taratibu za maombi yao. Ili kupata taarifa za...
  19. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KRA imekusanya ksh 476 billion kwa muda ya miezi mitatu. Pesa ambayo TZ inakusanya katika muda wa miezi sita.

    Wadau Kenya inazidi kuonyesha kwamba sisi ndio baba wa ukanda huu hata likija kwenye swala la kukusanya ushuru. Kenya imekusanya ksh 476 billion katika muda wa miezi mitatu tu. Kiwango cha pesa ambacho Kenya inakusanya kwa muda wa miezi mitatu, Inaichukua Tanzania miezi sita kukusanya. Sasa sisi...
  20. Time Traveller

    JamiiForums Tanzania Ni muda wa Kiswahili kutumika katika maelezo ya bidhaa na mabango elekezi

    Zaidi ya asilimia 95 ya watanzania wanazungumza kwa ufasaha lugha ya kiswahili, huku watanzania wanaozungumza kwa ufasaha lugha ya kiingereza ikiwa ni chini ya asilimia 20 tu.Sasa fikiria hii, umewahi kujiuliza kwa nini kuna utitiri wa mabango elekezi na mabango biashara yaliyoandikwa kwa...
Back
Top Bottom