MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.
Kuelekea miaka 30 ya bongo fleva kuna baadhi ya ngoma zilikua mbele ya muda sana ukiachana na ngoma ya alikiba mapenzi yana run dunia ila video ya macmuga ilikua kali mno kwa kipindi hicho kwanza mandinga ya kwenye video yalikua hot 🔥 pia location director Ali fanya makubwa mnoo...
Wakuu kusafiri Stendi ya Misuna iliyopo Singida Mjini ni kipengele kikubwa, tiketi unakata saa kumi jioni ili uondoke saa 3 usiku matokeo yake mpaka saa saa saba za usiku hujui hatima ya safari yako.
Tiketi tunazokata ni za elektroniki lakini hakuna kufuata muda licha ya uwepo wa traffic na...
Anonymous
Thread
kuondoka
mabasi
mbovu
muda
singida
stendi
utaratibu
utaratibu mbovu
Kuna swali ambalo kila jamii inayojenga taifa lenye haki lazima ijiulize:
Kwa nini wakati mwingine uhalifu mdogo unaonekana kupata majibu ya haraka kuliko uhalifu mkubwa unaohusisha fedha za umma?
Mtu akiiba kuku wa jirani, ushahidi huwa rahisi kuonekana. Kuna mali iliyopotea, kuna...
Mapema Leo Trump alisema usiku huu watafanya mashambulizi Makubwa ndani ya Iran. Kweli bwana muda huu Kuna mashambulizi Makubwa ya Maangamizi yanafanyika ndani ya Iran😭
Marekani wanapiga Kila upande, makombora Makubwa Makubwa ya tomahawk yanashushwa huko Iran. Hali ni mbaya sana. Je Ghalibaf na...
Why do women nowadays look for nanny's to look after the children ! Sometimes its better to be a housewife for the safe of the child
Kwanini wanawake sikuhizi wanatafuta watu wakuwatunzia watoto majumbani kuna muda ni bora na salama kwa mtoto ke uwe mama wa nyumbani mpaka pale mtoto atakapokuwa
Ninavyoelewa hii nchi ina majeshi rasmi na Yana majukumu Kwan mujibu wa katiba
JWTZ
Jeshi la polisi
Jeshi la magereza
Jeshi la uhamiaji
Na Maaskari game
Kikosi Cha kutuliza fujo/ghasia ni FFU lipo ndani ya Jeshi la polisi
Hichi kikosi Cha mwaipopo lipo Kwan mujibu wa Sheria ipi?
Na...
Kati ya Igunga na Tanga, ni eneo lipi linafaa zaidi kwa mfanyakazi kuishi kwa muda mrefu?
Tafadhali linganisha maeneo haya ukizingatia vigezo vifuatavyo:
Maisha nje ya kazi (quality of life).
Fursa za shughuli za kiuchumi na biashara.
Utulivu na usalama wa mazingira.
Upatikanaji wa huduma za...
Habari!
Baada ya kuwa mbali na mtandao kwa muda, nimerudi tena nikiwa na mtazamo mpya wa maisha.
Natafuta mwanamke mwenye heshima, uaminifu, maadili mema na nia ya kujenga uhusiano wa kweli unaoweza kuishia kwenye ndoa. Umri ninaopendelea ni miaka 20 hadi 32.
Ninaamini uhusiano mzuri huanza...
Wazeee twende speed muda wa salamu hamna tutasalimiana kwenye comment..
Asee Biashara ni nzuri sana kama ukiwa umetuliza akili ukajua unaingia kufanya biashara gani na biashara ya nini...
Kuna mambo mawili naomba nirudie
1.Kufanya Biashara
2.Kujua naenda Kufanya biashara ya Kuuza nini
Watu...
Nina dukudhuku kuhusu Idara ya Uhamiaji Kurasini hapa Dar es Salaam, Mtu unaomba Passport kwa ajili ya matembezi mfano kwenda Kenya wao wanataka bank statement, unaleta bank statement wanataka barua ya mwaliko.
Unaleta barua ya mwaliko wanakusukumizia kwa afande mwingine wanaanza kuhoji ukoo na...
Anonymous
Thread
fedha
kamili
kurasini
muda
pasipoti
uhamiaji
wanataka
wao
Kuna watu wanajitoa kwa asilimia 100, wanatoa muda, upendo, na juhudi zote wakiamini siku moja watathaminiwa. Lakini ukweli ni kwamba si kila anayepokea juhudi zako anazithamini.
Mahusiano mazuri hayahitaji ujipoteze ili ukubalike. Mtu anayekupenda kwa dhati atakuheshimu, atathamini uwepo wako...
Shekhe Mwaipopo kaongea maneno ya uchochezi wazi wazi kila mtu ameona lakini bado yuko uraiani anadunda tu. Je, haya maongezi angekua ameongea mtu mwingine mlengo mwingine angekua bado yuko uraiani?.
Tuseme Mwaipopo ni mwana CCM ni kada wa chama...
Unakuta uko na Dem wako halafu kumbe haujazijua code.. unakuta mwanamke mkigombana kidogo anakwambia Jaribu unipige uone... Kumbe mwanamke huyo ni zile type zile za "chock me daddy" mara "spit to my face Daddy" mara oh slap me 😩 😩.. yaani vurugu mechi dadeki....huwa tunajifanyaga tunawajua...
Muda huu Marekani wanaofanya mashambulizi ya anga ya mabomu mazito makubwa huko kusini mwa Iran.
Uzuri wa marekani walisema kuwa watakua wanashambulia Iran Kila watavyoamua🤣🤣
Kesho wale viongozi wa Iran watalazimishwa Tena kufanya negotiation la sivyo watashambuliwa Tena
Viongozi wa Iran kama...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), aliyemaliza muda wake nchini Tanzania, Khalifa Abdulrahman Almarzouqi, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 26 Juni, 2026.
Hii mentality ya kuishi kupitia siasa kula kupitia mikutano ya Hadhara ifikie mahali iondolewe hasa kwa hawa wanasiasa wanaotegemea wale kupitia kapu la donation. Wewe mwanaume unaishije kwa kutembeza kikapu? Ipo siku utajiuza kwa mabeberu ila mostly mmeshajiuza
Mfano wewe kama mwenyekiti wa...
Jifunze kusema HAPANA.
Kusema HAPANA ni muhimu kwa sababu si kila kitu kinachokuja kwenye maisha yako kinafaa kubeba muda wako, nguvu zako au akili yako.
Watu wengi wanachoka, wanapoteza focus na wanabaki nyuma si kwa sababu hawana uwezo, bali kwa sababu hawawezi kusema hapana.
Ukishindwa...
Habari, najua hii ni personal lakini nimemaliza chuo cha CBE Dar es salaam tangu mwaka 2021, nimekuwa nafuatilia matokeo yangu mpaka leo sijapata.
Nashindwa ku apply masters na ni vigumu kupanda cheo au mshahara sababu ya kukosa hayo matokeo ya bachelor.
Huwa nawaza kama hawa viongozi au...
Anonymous
Thread
baada
chuo
kufanya
matokeo
mrefu
mudamuda mrefu
stahiki
ufuatiliaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.