muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

    Mechi za hatua ya Makundi za Ligi ya Mabingwa Afrika kuendelea tena leo tarehe 08.07.2023 Yanga kutoka katika kundi D watakuwa ugenini kumenyana na Madeama ya nchini Ghana. Mechi hii itachezwa kuanzia saa 1:00 jioni katika uwanja wa Baba Yara nchini Ghana. Je, wawakilishi hawa wa Tanzania...
  2. JamiiForums Tanzania Tuko tayari kupigana kwa muda wowote vita itakaochukua - Hamas watoa tamko kuadhimisha vita na Israel

    Kiongozi muandamizi wa Hamas, Ismail Haniyeh amesema vikosi vya kivita vya kundi hilo vimejitayarisha vya kutosha kuendeleza vita na Israel kwa muda wowote vita hivyo inakavyochukua. Katika tamko hilo kiongozi huyo amesifu utayari wa vikosi vya kivita na mikakati mnyumbuliko waliyojitayarisha...
  3. JamiiForums Tanzania Umewahi kupata maumivu kutoka kwa mtu uliyewekeza muda, upendo na imani yako kwake?

    Kuna watu wengi ambao wanapitia maumivu ya namna hiyo, hii ni kwasababu unajikuta umewekeza sana kwa mtu huyo, endapo ikatokea akakuumiza basi maumivu yanapita ndani kabisa, wengi hawawezi vumilia hili na kujikuta wanafanya jambo la ajabu. Je, umewahi kupitia maumivu haya? Toka kwa nani? Sababu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi unavyozidi kuwa tajiri ndivyo unaongeza muda wa kuishi chooni

    Matajiri wengi wanaishi zaidi zaidi bafuni na chooni kuliko kuishi kukaa sebuleni na chumbani. Miundombinu ya vyoo vya matajiri au hata hotel kubwa imewafanya matajiri kuishi chooni bila kujua . Chooni wanakaa, wanamaji ya moto, wana jakuzi, vifaa vya kunyolea , marashi nk. Hivyo ni jambo la...
  5. JamiiForums Tanzania Azam Media wakataa shutuma dhidi ya rushwa ya kurusha vipindi vya tamthilia kutoka kwa wazalishaji binafsi

    Habari wana jamvi, kumekuwa na taarifa za chini kwa chini baada ya kuibuka sakata la wasimamizi wa televisheni kule Dstv sasa imehamia Azam nao wamejibu mapigo. Note; ukimshtumu mtu au kampuni hakikisha hiyo kesi una ushahidi nayo la sivyo inakugeukia, kesi kama hizi ikikugeukia utalipwa faini...
  6. JamiiForums Tanzania Ili kuvunja circle ya umasikini tuliyo nayo watu weusi ni muda sasa tuzingatie "FAMILY BUSINESS"

    Ili kuvunja poverty circle tuliyo nayo ni muda sasa kuanzisha na kuzingatia miradi au biashara za kifamilia. Tujifunze kwa hawa ndugu zetu watu weupe. Tusione ufahari mradi, kilimo au biashara kufahamiwa na mtu mmoja tu kwenye familia akifa yeye na yenyewe inakufa naye unabaki mgogoro wa mali...
  7. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuwaamini marafiki wa kiume wa mwanamke. Aliejifanya ni rafiki wa ex wangu alikuwa ananichukia nami nilifanya maksudi kufumua mshono

    KAMA NI RAFIKI KWA NINI UWAONEE WIVU WANAUME WENZAKO WANAO DATE NAE? Ni mwaka 2016 niliweza kuwa na mahusiano na binti flani wa chuoni , sasa katika kumchunguza ndani ya siku 2 tu nikaona ana ukaribu sana na jamaa flani ila akaniambia wao ni marafiki, na kweli kwa observation yangu niliona...
  8. JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu amepitwa na wakati; Huu sio muda wa harakati za kisiasa

    Huyu jamaa anayeitwa Jenerali Ulimwengu (sijui hata huo ujenerali alivishwa na nani), nimeona anawafokea wanavyuo kuwa ati hawafanyi midahalo! Kwanza aelewe, hizi sio zama za TANU na ASP, zama za kugombana na mabeberu kama wendawazimu. Hizo zama zilishapita na tumevuka tuko kwenye nyakati za...
  9. JamiiForums Tanzania Ni muda wa kanisa katoliki kuongozwa na waafrika wanaoongoza kwa waumini na imani kuliko wazungu wanaozidi kutoamini Mungu

    Dini imebakizwa kwajili yetu waafrika yafaa viongozi wake wawe waafrika. Huko kwa wazungu wengi wamezikimbia dini, kanisani kwenda huwa ni wazee, hata rais anaenda mara moja moja matukio maalum sio kama huku Afrika karibu kila mwezi lazima rais aende, vijana nao utawakuta na biblia mikononi...
  10. JamiiForums Tanzania Umefika Muda Serikali itutumie vijana kutoka Tarime ili kukomesha Masuala ya Uhalifu kwenye baadhi ya Mikoa

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa mno la uhalifu unaofanywa na Vijana wadogo waziwazi!. Kibaya zaidi uhalifu huo unafanyika mchana kweupe mbele ya wanaume legelege na wanawake wapaka wanja bila kuchukuliwa hatua zozote!. Askari ambao tulitegemea...
  11. JamiiForums Tanzania TFF wazembe wanakubali CAF kupangia muda mbovu

    TFF wamekua wazembe sana kwenye suala la muda wa mechi za TAIFA stars. Hii ni mechi ya pili wanapangiwa muda mbovu na CAF wanakubali bila hata kuhoji. Mechi saa nne usiku ni rafiki kweli kwa nchi yetu na usafiri wa Dar Es Salam? Hawaoni kuwa sio rafiki kwa mashabiki na kwa ushangiliaji wa mechi...
  12. JamiiForums Tanzania Ni maamuzi gani unayajutia yaliyokupotezea muda

    Nilipokuwa na miaka 21 Najutia kulazimisha penzi na mwanamke ambae hakunipenda, nilipoteza almost mwaka mzima kulazimisha kisichowezekana, nilijifunza kwa uchungu zaidi mapenzi hayalazimishwi nilipoona ana mimba na kaenda kutolewa posa. Nakumbuka niliwahi kupoteza mwaka mzima kujaribu...
  13. JamiiForums Tanzania Picha: Mapenzi bhana. Vina muda basi?

    Vina muda basi!!?
  14. JamiiForums Tanzania Kama Jackline Ntuyabalile angeachiwa IPP Media, ingekuwa imeshakufa, anajipost muda wote yuko Dubai kumbi za starehe

    Kweli mahakama inaona mbali, kama wangekubali huyu dada awe msimamizi wa mirathi na amiliki IPP Media, angekuwa ameshaimaliza. Muda wote yuko mahotelini Dubai, kwa asiyemjua anaweza kudhani anafanya kazi ya uhudumu hotelini. Haijulikani anakaa na watoto wake saa ngapi.
  15. JamiiForums Tanzania Huu ni muda mzuri usiku huu kufanya maombi

    Wakuu mnaopitia humu usiku huu ni muda mzuri sana kufanya maombi. Maombi unaweza ukayafanya kwa kufukiria bila kutamka. Mungu anasikiq tunavyofikiria
  16. T

    JamiiForums Tanzania CCM kabla ya uteuzi wa Makonda ilikuwa imelala na kibaya zaidi ilikubali kirahisi kupokwa kazi za siasa na Serikali

    Leadership is not about authoritative role we hold in an organisation,rather it is about the choice of actions we prefer to take. Donald McGannon Ndani ya muda mfupi tokea alipoteuliwa kuwa Katibu wa Nec itikadi na uenezi taifa,Ndugu Paul Christian Makonda ameweza kufanya mambo ambayo...
  17. JamiiForums Tanzania Ally Hapi: "Huyo fisadi, mla rushwa anamuogopa Samia"

    Ex RC Ally Hapi amkumbusha mwizi wa mali za wananchi, fisadi, mla rushwa na adui wa chama kuwa muda sasa unahesabika. Video inazungumza... -Kaveli-
  18. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hii pisi iko bize na kazi haina muda kuwa nami au ndo nikatafute hela kwanza?

    Wakuu Umuofia, Kuna pisi nimeielewa kiaina nimejaribu kuiimbisha walau tuonane uso kwa macho. Lakini mara zote napata kizuizi kutoka kwa hii pisi. Mara zote pisi inadai iko bize sana kiasi hana muda kabisa wa kuonana namimi. Sasa nimerudi humu Jf kuwalilia wakuu wangu. Najua humu kuna...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Hii kauli imepita muda wake ibadilishwe

    Hii kauli kwa sasa sikubaliani nayo aisee ukitaka kwenda kombo fuata hii kauli "KWENYE KILA MAFANIKIO YA MWANAUME KUNA MWANAMKE NYUMA YAKE" ila kwa mimi naamini kwanyakati hizi "KWENYE KILA ANGUKO LA MWANAUME KUNA MWANAMKE NYUMA YAKE" N:B..Either atakuwa mweupe or Anamkalio makubwa
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wafanyakazi Shule Maarufu Tabata- Dar es Salaam Kugoma Muda Wowote

    Hizi ni tetesi zilifika hivi punde kwamba wafanyakazi katika shule maarufu huko Tabata Dar es Salaam kugoma muda wowote kuanzia sasa hali inayotishia kuhatarisha zoezi linaloendlea la mitihani ya kitaifa wakitaka kuushinikiza Ungozi wa shule na menejiment kusikiliza kero zao za muda mrefu ambazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…