Utafiti: Vijana wengi wanaotumia muda mwingi sana na simu kupost picha zao na memez status hawajatulia kwenye mahusiano

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Jarida Moja nchini Korea ya kusini imefanya utafiti vijana wengi sana ambao Wapo active kwenye mitandao ya kijamii wanajiuhusisha na mapenzi zaidi ya wapenzi wawili. Jarida hilo limeenda mbali hadi kukagua Maisha binafsi ya wanasiasa vijana, wanaharakati, na watu mbali mbali.
Wakagundua wanachepuka kupita kiwango cha kawaida cha mpenzi Moja wa pembeni.

Katika utafiti huo walimshikisha mtaalamu Soo Jung Lee akasema kama anavyojua mitandao wa internet una mambo mengi sana hiyo vijana wengi waoshinda mitandaoni hutumia muda mwingine kwenye mitandao ya ngono. Mitandao ya ngono inawapa msukumo wa kihamu wa kuwa na wapenzi wengine nje ya wapenzi wao. Anasema waathrika wakubwa wa kingono ni watoto wa shule ambao Hawana uelewa wa mitandao.

Hebu angalia nyendo za mpezi wako anayependa attention kwenye media.
 
Ina kuhusu nini?
 
Back
Top Bottom