muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    JamiiForums Tanzania Kuwa wapenzi wa muda mrefu na hadi kufunga ndoa ni kitu kinavutia sana

    Nakumbuka mwaka jana nilihudhuria harusi ya rafiki wangu (wa kike),asee was very impressed kwa kweli. Si unajua pale tena harusi za siku hizi wale maharusi wanachukua time ya kuelezea familia zao na kujuana ndugu wa pande zote. Basi kwenye maelezo yule jamaa akasema alikutana na huyu manzi...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi wanahujumu miradi ya SGR wakiwaza biashara zao za mabasi na malori zisife. Muda si mrefu tutaburuzwa mahakamani kwa kukiuka mkataba

    Gharama kubwa za kodi za wananchi zimetumika. Lakini wapo viongozi ambao wametumia ofisi za umma kukwamisha miradi ya SGR kwa malumbano yasiyo na tija. Ukijiuliza wananufaike utasikia wanamiliki mabasi na malori ya mizigo na hivyo miradi hii inakuja kuwaondolea abiria na mizigo. Lakini pia...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyo ndoa za kiserikali, sasa ni muda serikali ije na utaratibu wa Mazishi ya Kiserikali

    Hizi ni dini za mchongo zilizojaa unafiki na utapeli, zimekuwa zikimantain wafuasi wake kwa kuwajengea hofu ya kutokuswaliwa pindi watakapokufa. Tumeona hili limekuwa likileta sitofahamu kubwa sana kwenye jamii pale ambapo kiongozi wa dini kwa makusudi kabisa anakataa kumfanya ibada ya msiba...
  4. JamiiForums Tanzania Wapalestina zaidi ya 5,000 wameuawa, hamna muda wa kuzikana, hatari sana

    Dah! ila kweli palikua na ulazima wa watu kufa hivi, HAMAS kweli hawana akili.... Every day in Gaza, the two biggest hopes are to stay alive and not receive word of another devastating loss. A Palestinian carries a child killed in Israeli bombardment in Deir el-Balah, the Gaza Strip, Monday...
  5. JamiiForums Tanzania Ukiwa kazini muda leo

    Baraka na Neema za Mwenyezi Mungu zikaonekane katika kazi na majukumu yako yote ya leo. Mwenyezi Mungu akubariki na akusimamie. Nakutakia kazi na majukumu mema rafiki. Amen 🙏
  6. JamiiForums Tanzania Hawa wanapiga Jalamba muda wote. Kocha anaingiza uwanjani wachezaji wengine

    Imagine mmekaa pembeni ya uwanja, upo bench. Unaamka unapasha misuli moto. Unapiga jalamba. Kocha anaamka anamnyanyua mchezaji benchi anamwingiza uwanjani. Wewe anakuacha unaendelea kupasha misuli moto. Anasimama tena akimuita mchezaji mwingine atoke. Unakenua meno kuwa sasa ni zamu yako...
  7. JamiiForums Tanzania Naenda Lusaka nawaachieni Mpoteze muda kujadili Kuwauzeni Kimkakati miaka 30 na Kumteua Makusudi Msiyompenda na nikirejea nafanya M Reshuffle nyingine

    Kikubwa nafanya Makusudi tu ili niwachanganyeni kwani mnajjfanya mnapenda Mijadala, Kunijadili, Kunidharau na Kutoniamini huku mkinisema kuwa nimeshikiwa Akili na Smile King Maker hivyo sasa mtakula Jeuri yenu.
  8. JamiiForums Tanzania Msaada kuhama chuo cha afya NACTE baada ya kuahirisha kwa Muda Mrefu

    Habari zenu ndugu zangu wa JF Hii ni mara yangu ya kwanza kushiriki na swali ni kama linavyojieleza hapo Niliwahi soma clinical medicine mpk Level 5 semester 1 changamoto za ada ikanilazimu nisimame nihangaike na mishe zingine nashkuru Mungu nimejipata kiasi Sasa juzi wakati nacheki student...
  9. JamiiForums Tanzania Jean Othos Baleke angeacha ule Upumbavu wake ambao Uliwatoa kwa muda Wachezaji Mchezoni Al Ahly FC wasingepata lile Goli lao la Pili

    Nina uhakika na najua Wengi wenu Kiufundi hili hamkuliona na kuna baadhi hamtonielewa kwani inahitaji Jicho la uhakika Kuliona na Kujua. Mpaka hivi sasa ( yaani leo hii ) najiuliza nini kilimkuta na kumsababisha Mshambuliaji Jean Baleke kwa dakika Mbili au Tatu kuwa na Mzozo na Mwamuzi...
  10. JamiiForums Tanzania Kiafya masikini wana muda wa kupumzisha akili kuliko matajiri!

    Tajiri sehemu kubwa ya maisha yake anawaza kutafuta na kulinda alichonacho. Masikini hana cha kulinda anawaza kutafuta chakula na kulala. Ukiachana na nature masikini yu salama sana wakati tajiri usalama wake umejaa mashaka, ndio maana ulinzi ni wa kutosha.
  11. JamiiForums Tanzania Hawa mabinti wawili wametrend sana kwa muda mrefu. Picha zao ziko kila kona ya internet

    Sidhani kama kuna mwana JF alishawahi kupita mitandaoni na kukosa kuona picha za hawa mabinti. Hata kama nia yako sio ku-search mabinti mitandaoni utashangaa unaona picha zao na mara nyingi zikitumika na profile tofauti tofauti na wapigaji wa mitandaoni. sijui nini reason behind ya hawa mabinti...
  12. JamiiForums Tanzania Nitashangaa kumuona mwana Simba SC akipoteza muda wake Kuiangalia Mechi ya Marafiki Wapuuzi na Wanafiki Jumapili wakati imeshakwisha Kitambo tu

    Yaani Timu ina Kiongozi mwana Avic Town Kigamboni FC, ina Kaimu Afisa Habari Mnafiki mwana Avic Town Kigamboni FC na Mtaalam wa Ufundi mwana Avic Town Kigamboni FC halafu kabisa wana Simba SC mnajipa Moyo kuwa itafungwa ili tofauti ya Alama iendelee kuwa Kubwa? Nawashauri msipoteze kabisa muda...
  13. JamiiForums Tanzania Israel yaagiza watu waondoke Sderot huku uvamizi ukiwa tayari kuanza muda wowote

    Operesheni bado iko pale pale.... ======= The evacuation of residents from the Gaza border town of Sderot is set to begin in the coming hours. The municipality emphasizes that evacuation is not mandatory, but that it recommends residents leave the area. Residents are being moved to hotels in...
  14. JamiiForums Tanzania Watazamaji wa TV ni kipindi gani kizuri cha kupotezea muda?

    Ndugu Zangu nina miaka zaidi ya 10 sijaangalia serious TV SHOWS hata taarifa ya habari kutokana na ubize wa hapa na pale. Nimepata maswaibu yameniweka chini imebidi nianze angalia tv kupoteza Muda ila Wiki ya Pili sasa inaenda sioni program interesting. Natumia Ving'amuzi aina 3...
  15. JamiiForums Tanzania Waafrika ni muda sasa wa kurudia kuabudu Mizimu yetu

    Rejea kichwa cha habari tajwa hapo juu. Dini ndio chanzo cha matatizo mengi Duniani. Katika Dunia ya leo raia wanakosa ushirkiano tu kwa sababu wanatofautiana Kidini, Mkristo anambagua Muislamu na Muislamu anambagua Mkristo. Na ubaguzi wa kidini hauzungumzwi sana ila kiukweli ndio unaotendeka...
  16. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kihenzile: Miradi itekelezwe kwa kuzingatia Muda na Thamani ya Fedha

    NAIBU WAZIRI KIHENZILE: MIRADI ITEKELEZWE KWA KUZINGATIA MUDA NA THAMANI YA FEDHA "Nawapongeza Mamlaka ya Viwanja vya Ndege kwa kuweka taa katika uwanja wa ndege wa Dodoma, uwanja huu kwa ripoti kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) inaonesha unashika nafasi ya 4 kwa kuhudumia abiria...
  17. JamiiForums Tanzania Morogoro: Tetemeko la Ardhi limepita kati ya saa 12:31 - 12:32 mchana

    Nipo mitaa ya 88 mji kasoro bahari mida hii 12:31 - 12:32 Pm limepita tetemeko la ardhi japo kipimo chake hakijajulikana, labda mamlaka husika zitasema. Enjoy your day guys Pia soma: Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora Tetemeko dogo la ardhi limepita Moshi majira ya saa 7:21...
  18. JamiiForums Tanzania Movies 50 kali za kivita za muda wote

    Top 50 war movies. 1. Saving Private Ryan (1998) 2. Apocalypse Now (1979) 3. Full Metal Jacket (1987) 4. Platoon (1986) 5. Black Hawk Down (2001) 6. Das Boot (1981) 7. The Thin Red Line (1998) 8. Paths of Glory (1957) 9. Hacksaw Ridge (2016) 10. 1917 (2019) 11. Dunkirk (2017) 12. Patton...
  19. JamiiForums Tanzania TFDA tupieni macho Wilson bakery ya Bunda wanauza mikate iliyokwisha muda wake

    Kwa hili nawaomba mamlaka ya chakula na dawa kwa kushirikiana na serikali kukitupia macho kiwanda cha kuoka mikate kiitwacho Wilson Bakery kilichopo mjini Bunda Kwani kinahatarisha afya za walaji kwa kuwauzia mikate na keki zilizokwisha pita muda wa matumizi. Kwanza vifungashio vyake vingi...
  20. JamiiForums Tanzania Simba hii michezo mliyoanza ya kuhonga marefa ili mshinde mechi itawapalia muda si mrefu, mmeanza wengine watamaliza na pasiwepo kelele!

    Naona Tanzania inayo safari ndefu katika nyanja ya waamuzi na mpira wa kitanzania kiujumla, mechi ya Leo imeonyesha ni wapi tunaelekea na klabu kinachokwenda kuiwakilisha nchi kimataifa! Mpaka Sasa sijaelewa mwamuzi alikataaje goli la singida na kuamuru kuwa ni offside, ukirejea kuangalia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…