GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,697
- 109,125
Nina uhakika na najua Wengi wenu Kiufundi hili hamkuliona na kuna baadhi hamtonielewa kwani inahitaji Jicho la uhakika Kuliona na Kujua.
Mpaka hivi sasa ( yaani leo hii ) najiuliza nini kilimkuta na kumsababisha Mshambuliaji Jean Baleke kwa dakika Mbili au Tatu kuwa na Mzozo na Mwamuzi, Kufokafoka, Kugombana na Wachezaji wa Al Ahly FC na kuwa na Jazba za Kishamba ambazo zilikuwa hazina Msaada kwa Simba SC yetu?
Kiufundi Kitendo cha Mshambuliaji Jean Baleke kuwa na aina ile ya Mzozo usio na Faida kuliwafanya kila mara Wachezaji wa Simba SC wapoteze Concentration na muda mwingi kuja Kumuamulia na hata hali ilipotulia na Mchezo kuendelea walikuwa bado hawajajipanga vizuri na Wachezaji wazoefu wa Klabu Kubwa ya Al Ahly FC walipoliona hilo wakalitumia kwa kufanya Counter ya haraka ( huku Wachezaji wa Simba SC bado wakiwa na Furaha ya Goli lao la Pili la Sadio Kanoute ) na Upuuzi aliokuwa akiufanya Mshambuliaji Jean Baleke kuwa na Mzozo usiokuwa wa lazima na Mwamuzi na Wachezaji wa Al Ahly FC na Kutufunga Goli ambalo limeniuma mno GENTAMYCINE kwani tungekuwa na Umakini lisingerudi / lisingefungwa kwa Interval ndogo ile.
Nadhani Baleke ana Shida Binafsi inayomsumbua au hataki Kuichezea Simba SC hivyo atafutiwe Mtaalam wa Saikolojia ( Psychiatrist ) amsaidie haraka au Uongozi wa Simba SC uongee nae na ikibidi tuachane nae tu kwani bado sijaona Tija yake zaidi ya Kuniboa / Kutuboa tu wana Simba SC.