Morogoro: Tetemeko la Ardhi limepita kati ya saa 12:31 - 12:32 mchana

Nipo mitaa ya 88 mji kasoro bahari mida hii 12:31 - 12:32 Pm limepita tetemeko la ardhi japo kipimo chake hakijajulikana, labda mamlaka husika zitasema.

Enjoy your day guys
Nipo Dar natoka Tegeta naenda Kivukoni, nipo kwenye Eicher. Halafu ndio nasoma hii nyuzi ya Tetemeko. Eicher halitulii hadi nikahisi ndio tetemeko lenyewe nini. Namalizia kusoma ndo nkajua kumbe ni Moro. Maana Eicher linadundadunda hatari dah!

Pole sana bana.
 
nipo dar natoka tegeta naenda kivukoni nipo kwenye Eicher halafu ndio nasoma hii nyuzi ya Tetemeko,
Eicher halitulii hadi nikahisi ndio tetemeko lenyewe nini, namalizia kusoma ndo nkajua kumbe ni Moro,
maana Eicher linadundadunda hatari dah !

Pole sana bana,
🤣
 
Wewe utakuwa mhaya, maelezo yote hayo ya nini?
nipo dar natoka tegeta naenda kivukoni nipo kwenye Eicher halafu ndio nasoma hii nyuzi ya Tetemeko,
Eicher halitulii hadi nikahisi ndio tetemeko lenyewe nini, namalizia kusoma ndo nkajua kumbe ni Moro,
maana Eicher linadundadunda hatari dah !

Pole sana bana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo mitaa ya 88 mji kasoro bahari mida hii 12:31 - 12:32 Pm limepita tetemeko la ardhi japo kipimo chake hakijajulikana, labda mamlaka husika zitasema.

Enjoy your day guys
Limepita linaenda wapi?
 
Back
Top Bottom