Hawa ndio wanawake sasa muda wowote anakubadilikia.

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
3,943
Reaction score
12,439
Hiki kiumbe usikipe asilimia mia moja kuwa anakupenda wewe tu japo siyo wote.

Wamejaa matamanio ya papo kwa papo, analiwa popote, endapo kidume kitamvutia kwa muda mfupi tu.

Demu unaweza kumuhumia mahitaji yake yote kwa kipindi kirefu sana, lakini siku moja kwenye birthday yake, mwamba mmoja akamletea ua zuri, akamuona wa maana sana na kusahau kuwa kuna mwamba huwa anajitoa sana kwake.

Bro hawa viumbe si wakuwapa thamani kubwa kivileee, kwenye mia mpe asilimia chache sana, ni vigeugeu hawa. Ohooooo

Kakutana na mhuni mtoto wa Mfalme kapasuka mwili, mchizi wake ana kitambi mfumuko anabugia pombe Tu pale, mwanamke anaweza penda kitu kidogo Tu Kwa mtu...video hiyo ni total domination, Hali ya unyonge naihisi Kwa hao wamexico wawili hapo.
 
Na wale wanaume ambao wakiwa na wake zao wakapishana na demu ana tako frequency zinakata na blood pressure inahamia miguuni mbona husemi mkuu?
 
Hiki kiumbe usikipe asilimia mia moja kuwa anakupenda wewe tu japo siyo wote.

Wamejaa matamanio ya papo kwa papo, analiwa popote, endapo kidume kitamvutia kwa muda mfupi tu.

Demu unaweza kumuhumia mahitaji yake yote kwa kipindi kirefu sana, lakini siku moja kwenye birthday yake, mwamba mmoja akamletea ua zuri, akamuona wa maana sana na kusahau kuwa kuna mwamba huwa anajitoa sana kwake.

Bro hawa viumbe si wakuwapa thamani kubwa kivileee, kwenye mia mpe asilimia chache sana, ni vigeugeu hawa. Ohooooo

View attachment 3637850
Kifua Kiko vizuri 😜
 
Hii ni kawaida kwa mwanadamu yoyote hata wanaume hamtabiriki kubadilika ni wakati wowote.
 
Hiki kiumbe usikipe asilimia mia moja kuwa anakupenda wewe tu japo siyo wote.

Wamejaa matamanio ya papo kwa papo, analiwa popote, endapo kidume kitamvutia kwa muda mfupi tu.

Demu unaweza kumuhumia mahitaji yake yote kwa kipindi kirefu sana, lakini siku moja kwenye birthday yake, mwamba mmoja akamletea ua zuri, akamuona wa maana sana na kusahau kuwa kuna mwamba huwa anajitoa sana kwake.

Bro hawa viumbe si wakuwapa thamani kubwa kivileee, kwenye mia mpe asilimia chache sana, ni vigeugeu hawa. Ohooooo

View attachment 3637850
Bila stamina ya Kiroho ni vigumu kuzidhibiti tamaa za mwili
 
Back
Top Bottom