Ni miaka isiyopungua tisa sasa toka sakata la uchimbaji wa gesi ya Mtwara lilipoibuka hapa Tanzania. Matumaini yalikuwa makubwa, mbwembwe kibao, nguvu ikatumika na watu kupoteza maisha ili gesi itoke Mtwara.
Kuna kitu mpaka sasa nimeshindwa kukielewa kuhusu gesi ya Mtwara, nacho ni Ukimya...