Waziri wa Maji Jumaa Aweso amemuondoa kwenye nafasi yake Mkurugenzi wa Sehemu ya Uchimbaji wa Visima na Ujenzi wa Mabwawa, Mhandisi Mashaka Sitta baada ya Mhandisi Sitta kutotimiza vema majukumu yake katika eneo hili muhimu la uchimbaji wa visima na ujenzi wa mabwawa na usimamizi wa mitambo na...
=======
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amemuelekeza Katibu Tawala wa Mkoa huo kuwasimamisha kazi baadhi ya Watumishi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe akiwemo Katibu wa Afya, Watu wa Idara ya manunuzi pamoja na Idara ya TEHAMA ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za wizi wa TV 15...
Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemkuta na hatia ya Matumizi Mabaya ya Madaraka pamoja na Kughushi Nyaraka, mtumishi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi aliyetambulishwa kwa majina ya Melchiory Rutayuga Mukandala.
Keshi hiyo iliyowasiliswa na Jamhuri kupitia Taasisi ya Kuzuia na...
Mbunge Nicodemas Maganga: Mbogwe Tumejipanga, Mtumishi Mwizi Hatatoka Salama, Tumejipanga Kuzuia Uhalifu
Mbunge wa Jimbo la Mbogwe, Mhe. Nicodemas Henry Maganga wakati akichangia Mpango wa Bajeti 2024-2025 ya Shilingi Trilioni 47.4 amesema kuwa Mbogwe wamejipanga kuzuia uhalifu fedha za...
Pana matakataka mengi yanafanyika Serikali hasa kwa watumishi wa umma inatakiwa mamlaka ilitazame hili.
Huu utaratibu wa kumsimamisha kazi mtumishi wa umma huku akiendelea kulipwa mshahara mwisho wa mwezi je ulizingatia afya ya akili ya aliyebuni utaratibu huu?.
Unakuta mtumishi kapata kesi ya...
Mchungaji ☝️☝️na mwimbaji wa injili ndugu Mbarikiwa Mwakipesile
Mtoto ☝️☝️wa Mch Mbarikiwa Mwakipesile anayedaiwa kuuliwa na aliyekuwa mkuu wa TISS akishirikiana na RSO wa Mbeya..
==================================================
Huyu mchungaji ni kiongozi wa huduma ya kutangaza injili...
Naandika andiko hili nikiwa ni mmoja wa watumishi wa Serikalini, na nimelazimika kuleta andiko hapa kwa kuwa nguvu kubwa inayotumiwa na wanaofanya mambo kwa mlango wa nyuma wana nguvu kuliko Watumishi wengi ambao ndio wanaokamuliwa hela bila kupenda.
Inajulikana wazi kuwa Mtumishi anapokuwa na...
Anonymous
Thread
fedha
kiwango
lazima
mtumishi
official
tamisemi
uhamisho
wazi
Jamiiforums kisima Cha maarifa.
Mimi ni mtumishi Mwalimu, Nilisoma PCB advance nikapata division II point 12, nilichaguliwa computer and software engineering Lakini sikwenda, nikazamia Chaka la ualimu wa Physics Nilisoma kwa sababu ya kukosa washauri pamoja na umaskini wa home na nilitaka...
Lissu anasema Rais ni kiongozi wa kisiasa na kama ni kiongozi wa kisiasa, tunapsawa kushughulika nae kama kiongozi wa kisiasa anasema Rais anapaswa kusemwa, kuonywa, kukaripiwa.
Anasema kauli aliyoitoa haina tatizo kidogo na anasema kwa nchi yenye sheria na katika hajawai kusikia au kuona...
Mara nyingi tumekuwa tukisikia habari kutoka kwa wenye dhamana mbali mbali na wananchi wa kawaida kuwa mtumishi wa umma, hakimu, bwana shamba, mwalimu, askari polisi(wanainteract sana hawa na wananchi).
Afisa Mtendaji Kata au Kijiji au Mtaa n.k akikaa kituo kimoja kwa muda mrefu ufanisi wa...
Ndugu zangu watanzania,
Muda mfupi nimetoka kumsikiliza Waziri wa Afya mh Ummy mwalimu kiongozi mchapa kazi na ambaye siku zote na wakati wote amefanya kazi kubwa Sana na ya kutukuka katika kila Wizara aliyopelekwa na kuaminiwa . Kauli ya Waziri inatoa ruhusa kwa madaktari kuwa na private...
Habari za wakati huu, kama ambavyo mnafahamu Serikali imetoa ajira mpya nyingi tu na watu bado wanaendelea kujiunga na utumishi wa umma katika kada mbalimbali, kuna ambao wametoka fresh from school, wengineo kwenye sekta binafsi pamoja na ujasiriamali n.k
Kama inavyofahamika kwenye ajira yoyote...
Kwenu wanasheria.
Mpwa wangu alikuwa chuo akisoma shahada ya pili!
Kwenye kile kipindi cha giza alitolewa kwenye ajira kwa kisingizio kwamba alikuwa nje ya kituo cha kazi na kwamba muajiri alikuwa hajui alipo.
Amejaribu kufuatilia lakini ngoma ngumu. Japo kuna wadau wanasema anaweza kurudi...
Ndugu wana JF sina mengi na sitaki niwachoshe ila kuna Jambo moja naomba nipate ufafanuzi kutoka kwenu wajuvi wa idara hii ya usalama wa Taifa.
Tangu nikiwa mdogo nimekuwa nikisikia sikia uwepo wa idara hii na Kwa ufahamu mdogo nilionao ni kwamba ili mtu awe recruited na kuwa mtumishi wa idara...
Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu wakati akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo Bungeni Dodoma ambapo ametoa pole na pongezi kwa Watumishi waliokuwa wakihudumia walioathirika na Ugonjwa huo mkoani Kagera.
Machi 16, 2023 Serikali iliripoti uwepo wa Wagonjwa 7 na...
Mei mosi oyee!
Ajira katika utumishi wa umma imekua ni ndoto ya wasomi na wasio wasomi wengi hapa nchini, wengi wa watu hawa hulenga ama kupata kipato na wengine kuhudumu kwa kutoa huduma takwa na wananchi. Serikali kwa kulitambua hilo imekua ikitoa ajira za muda mrefu ama muda mfupi lengo...
Naomba kujuzwa Kwa utaratibu wa kubadilisha jina Kwa mtumishi wa umma kwenye I'd yangu ya NIDA Ili majina yaende sawa ,kama iliyo kwenye ajira yangu ,nawasilisha nilishaenda NIDA ila walivyogundua mimi ni mwajiriwa hawakuendelea,na hili jambo linakuwa ni changamoto kwangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.