mtumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nikashangaa kama waliomuua mtumishi TRA watajulikana kabla ya wauaji wa Mzee Kibao

    Kwanza nalaani haya mauaji yote Mauaji yote chanzo ni hapo Tegeta Wananchi kuchukua sheria mikononi na kuuwa sio jambo zuri, wote tunalilaani Mzee Kibao alikufa Toka mwezi September hadi Leo hatujaona hao watekaji na wauaji wa Mzee Kibao kukamatwa na japo waliacha kila alama. Mzee Kibao...
  2. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

    ============= Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mtumishi yoyote wa serikali au polisi atakapotaka kumkamata mtu bila kufuata utaratibu wa sheria, Watanzania msikubali kukamatwa

    Kulingana na kuongezeka kwa matukio ya utekaji nyara nchini, nitoe wito kwa watanzania wenzangu kwamba sisi kama nchi tunasheria za ukamataji na hakuna aliye juu ya sheria Endapo ukiona mtu yoyote asiejulikana au mtumishi yoyote au polisi anafanya ukamataji bila kufuata utaratibu uliowekwa wa...
  4. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mtumishi wa TRA aliyetishia Bastola na kujeruhi mtu Club 1245 yapigwa Kalenda hadi Januari 21, 2024

    Kesi inayomkabili mshtakiwa Derick Derick Junior, ambaye alionekana katika kipande cha picha jongefu (video) kilichosambazwa katika mitandao ya kijamii, akimshambulia mtu mwingine kwa mateke na kitako cha bastola, imepangwa kuanza kusikilizwa ushahidi Januari 21, 2025, katika Mahakama ya Wilaya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Huyu Mtumishi wa Mungu Dickson Cornel Kabigumila ameniamsha imani Upya, kweli Mungu yupo

    Mimi Bushdokta kwa muda mrefu sasa nimekuwa msomaji wa Biblia na kufatilia mafundisho ya Neno la Mungu na Ibada mabli mbali pamoja n harakati za injili. Ktk kufanya hivyo ilifika mahali nikataka kukata tamaa. Kulikuwa na hofu kwamba huenda huyu Mungu anayehubiriwa ni Mungu Dhaifu asiyeweza vitu...
  6. nipo online

    JamiiForums Tanzania Hapa mtaani kuna bodaboda amejenga halafu mimi mtumishi hata uwanja bado

    Hii ikoje wakuu, kwamba jamaa wako smart kutuliko? Bodaboda wanafanikiwa kimaisha kuliko sisi watumishi! Haya mambo haya anyway.
  7. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Leo ni kumbukumbu ya miaka 25 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius K Nyerere, unakumbuka nini kuhusu huyu mzee?

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanganyika (baadaye Tanzania), alikuwa kiongozi mwenye ushawishi mkubwa barani Afrika na duniani. Katika kumbukumbu ya miaka 25 ya kifo chake, haya ni mambo 7 muhimu kuhusu Nyerere: 1. Muanzilishi wa Taifa la Tanzania: Nyerere...
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Jinsi mtumishi wa Mungu alivyoelekezwa kukosoa watumishi wenzake wa serikali na siasa

    Anatakiwa kwenda moja kwa moja kwa muhusika. Sio kurusha barua au andiko jumlajumla tena hadi kwetu wananchi tusiohusika. Nathan alimfuata Daudi moja kwa moja alipozini na kuua raia. Yohana mbatizajialipotaka kumsaidia Herode alimfuata. Paulo alipotaka kumsaidia Rais wa Cyplus Sergio Paulus...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Kisiasa ndîo huomba Kibali Kwa Polisi. Maandamano ya wananchi hayaombagi Kibali Kwa Polisi au serikali. Boss haombi Kibali Kwa mtumishi.

    MAANDAMANO YA KISIASA NDÎO HUOMBA KIBALI KWA POLISI. MAANDAMANO YA WANANCHI HAYAOMBAGI KIBALI KWA POLISI AU SERIKALI. BOSS HAOMBI KIBALI KWA MTUMISHI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Maandamano ya Kesho kutwa tarehe 23/09/2024 siô maandamano ya wananchi isipokuwa maandamano ya Kisiasa...
  10. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo wa Pastor Munishi unaotuhumu CCM kupoteza wapinzani, hizi tuhuma hazikumuweka matatani?

    Hizi tuhuma haziwezi kumweka huyu mwimbaji matatani? Nyimbo zake zinaruhusiwa nchini?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kiwango gani cha ulevi wa pombe kinaweza kuthibitisha kuwa mtumishi wa umma ameshindwa kutimiza majukumu yake?

    Nauza Kangala huku nafundisha huu mwaka wa kumi. Wateja wangu wakubwa ni walimu wenzangu. Huwa tunapiga Kangala na tunachanganya na pombe kali za bei rahisi ili kupata stimu. Lakini tupo vizuri. Tunapiga kazi na wato wanafaulu. Ni kweli asubuhi huwa harufu inatema ila tunakuwa hatujalewa. Ni...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Wastani wa gharama za kuhamisha Mtumishi mmoja wa serikali ni Mil 25

    Serikali inawezekana inatumia pesa nyingi sana kuhamisha viongozi na watumishi waandamizi wa serikali, Fedha hizo zingeweza kuelekezwa mahala pengine ikiwemo upatikanaji wa huduma za kijamii. Wastani kuhamisha Kiongozi/ mtumishi mmoja ni kuanzia mil 25 Hadi 40, lakini tofauti na nchi nyingine...
  13. Inanambo

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha Mtumishi wa Umma anafanyiwa Eviction kwa kushindwa kulipa Deni la kuuziwa Nyumba na TBA

    Inasikitisha kuona Serikali inafukuza Watumishi wake waliowakopesha Nyumba Kwa Nguvu Kwa kushindwa kulipa deni lote ndani ya Mikataba wa Miaka 3-7. Imagine ameuziwa Nyumba Semi finished, aifanyie finishing ya zaidi ya Million 50, Hapo analipa deni Kila Mwezi. Bado anajitunza yeye na Family...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukweli unaojulikana lakini kila mtumishi wa UMMA anajifanya hajui kitu

    1. Mshahara wa walimu na askari magereza ndio mshahara pekee wa watumishi wa umma unaokutana na mshahara mwingine. Hii ni kwasababu wanajua wakifanya masihara tu wamekula tope. 2. Watumishi walioko kwenye taasisi zenye udambwidambwi (madili) mshahara wao unaisha ndani ya wiki moja tu hata kama...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LATRA: Anayetuhumiwa kuchukua hela za Madereva Bajaj si Mtumishi wa LATRA ni Afisa wa Halmashauri ya Morogoro

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna Afisa wa LATRA amekuwa akichukua fedha za madereva Bodaboda na Bajaj ili awalipie faini na malipo mengine ikiwemi ya stika, kisha kutofanya hivyo, mamlaka husika imejibu. Kusoma tuhuma za Afisa huyo bofy hapa ~ Huyu Afisa anaichafua...
  16. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa umma unapambanaje hapa

    Let's say unafanya kazi kwenye taasisi/shirika la Umma na unaweza kumaliza miezi sita(6) hata mwaka hujapata seminar wa safari yoyote za kikazi. Na hata seminars na safari za maokoto zikitoka hauwepo kwenye list , hivi si mnaishiaga kununa tu na kuwachukia Bosses kila kukicha😃😁 Hongera kwa zile...
  17. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Ajali ilyoua RAS wa Kilimanjaro na Dereva wake: Kwanini serikali inamlilia RAS tu je Dereva hakuwa mtumishi wake?

    Toka ajali iliyosababisha vifo vya Katibu Tawala - RAS wa mkoa wa Kilimanjaro na Dereva wake tumeshuhudia ubaguzi mkubwa unaoganywa na serikali kwenye misiba hii. Tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia serikali nzima ikiomboleza na kutumia nguvu kubwa kushughulika na Kifo cha RAS ikimpamba kwa...
  18. maina23

    JamiiForums Tanzania Afisa Mtumishi Mkuu achana na kulazimisha kutumia nguvu kutumia ESS kama kigezo cha kupanda madaraja watumishi. Kwa sasa nchi iko busy na stationery

    Usome
  19. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ofisi ya Rais Utumishi, TAMISEMI na Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga okoeni mtumishi huyu

    Mtumishi mwenye Mkataba namba Na. SMC/CW/PF.113/3 amefika Ofisini kwetu na ameomba tupaze sauti kwa niaba yake. Hii hapa historia fupi ya malalamiko yake. Wakati wa zoezi la uhakiki wa Watumishi wa Umma 2016/2017 mwajiri wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga alizuia...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Hivi utaratibu wa mtumishi wa umma akiiba au akikosea ahamishiwe sehemu nyengine una maslahi gani kwa taifa?

    Msomi akipata shavu la kuajiriwa serikalini, inakuwa raha msarehe. Hatakiwi kuguswa hata akiiba; anahamishiwa sehemu nyingine. Hivi huu utaratibu uko kwetu Tanzania tu au ni duniani kote? Mtu unakula kodi za walalahoi, unaiba, unakosea, halafu eti usisemwe na ikiwezekana uhamishiwe sehemu...
Back
Top Bottom