mtumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mgt software

    JamiiForums Tanzania SHAIRI: Thamani ya mtumishi hung'ara akishalala

    THAMANI YA MTU MWEMA, HUNG’ARA AKISHALALA! Tenda wema nenda zako, msemo tangia enzi, Timiza wajibu wako, kwa watu na kwa Mwenyezi, Iache alama yako, kwa kizazi na vizazi, Thamani ya mtu mwema, hung’ara akishalala! Wema msalaba wako, ubebe bila simanzi, Wema ni hazina yako, isiyoibwa na wezi...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kuwa spika Ndugai akawa ni Mtumishi Umma anayelipwa zaidi Tanzania?

    Katiba yetu inasema Spika sio lazima awe Mbunge hivyo basi kuna mshahara wa cheo cha Spika ambao kwa kawaida ni mkubwa kuliko mshahara wa ubunge. Kwa mahesabu haya: 1.Ubunge 11 millions 2. Spika 11 + X millions Jumla inaweza kucheza kwenye 28-30 millions. Ukizingatia kwa sasa CEO wengi wa...
  3. Gushleviv

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa haki za Mtumishi wa Serikali aliyefukuzwa Kazi

    Wasalaam, naomba kujuzwa haki za mtumishi wa Serikali ambaye amefukuzwa kazi huku akiwa na Malimbikizo ya Mshahara ambayo hakulipwa. Je utaratibu ni upi? Na kipindi aliposimamishwa alikuwa akilipwa Nusu ya Mshahara je baada yabkufukuzwa analipwa kiasi cha nusu alichokuwa akikatwa wakati wa...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa umma atakuwa na furaha pindi tu Serikali itakapoamua kumkopesha bila riba

    Binafsi ni mtumishi wa umma. Nimewahi kukopa mara 1 na kufanya top up mara 2. Kwa lugha nyepesi ni kwamba nimekopa mara 3. Kwakweli hali ni mbaya, topup ni wizi wa wazi kabisa. Hata hii mikopo ni unyonyaji ila tu watumishi hukopa kwa aidha shida ya haraka au kukosa maarifa. Muda mwingine...
  5. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Gambo amwambia DED na viongozi Arusha hatishiwi Nyau

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amewaambia viongozi wa wilaya ya Arusha na mkurugenzi wa jiji la Arusha(DED) kuwa hatakubali kukwamishwa na viongozi wa jiji la Arusha wakati akitekeleza majukumu yake. Gambo ameyasema hayo wakati akiongea kwenye mkutano wa Baraza la wanawake wa UWT...
  6. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya majina 300 waliopata ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka 2020/2021

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, anawatangazia watumishi walioomba ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka wa masomo 2020/2021 kuwa zoezi la uchaguzi limekamilika. Jumla ya watumishi 300 wamechaguliwa kupata ufadhili kwa mwaka 2020/2021, ufadhili huu...
  7. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Mtumishi wa Serikali mfano Mwanajeshi akifariki mshahara wake unaendelea kuingia?

    Hivi ni kweli mtumishi wa serikali mfano mwanajeshi akifariki mshahara wake unaendelea kuingia? Na kama unaingia ni kwa muda gani? Vipi kuhusu bima pia nayo inaendelea? Hiyo ni kwa waliofariki 1995 kurudi nyuma. Msaada tafadhali ====
Back
Top Bottom