Karibu Jukwaani la kutoa kero yako,dukuduku na hata Povu ikibidi kuhusu member yeyote,hata mods ikibidi na hata kama kuna member amekukwaza pia unaweza kumfungukia hapa .:p
Naanza...Kero yangu ni kwa wote wasio wastaarabu wanaoshambulia watu kwa matusi/lugha za kuudhi hapa Jukwaani.Naomba...