Kuna mtu kamtibua mwenyekiti Makete huko

Kuna mtu kamtibua mwenyekiti Makete huko

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
1589730509262.png


Mwenyekiti katoa ufafanuzi kuwa huyo ke huwa anakunywa akiwa na mtoto mdogo mgongoni hivyo anahatarisha maisha ya mtoto mdogo ndio maana kapigwa pini na huyo me anahatarisha maisha ya wazazi wake mpaka imefikia hatua ya kuvunja mlango akitaka kuwadhuru. Source TK Fm
 
Wamemfanya nini tena mwenyekiti


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mwenyekiti amekiwasha hasa kwenye msabe na ulanzi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom