mtu

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

    Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya kweli yana gharama kubwa, yanahitaji mtu jasiri na mzalendo kweli kweli

    Piga picha una familia na kipato chako ni kidogo lakini unataka ujenge nyumba yako. Utaiambia familia tunafunga mkanda, kama mlikuwa mnakula nyama mara nne kwa wiki inaweza kushuka kuwa mara mbili au moja kwa wiki. Utabana matumizi ili lengo litimie. Kumbuka katika kufanya hivyo sio kweli kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi ni kosa kumsindikiza mtu kuchukua fomu?

    Hebu jamani nisaidieni kuhusu hili suala. Kwa mfano, kama nakwenda kuchukua fomu ya kugombea Ubunge halafu nikaenda na mke wangu na labda watu wawili kutoka kwenye chama changu ni kosa? Kunaweza kuwepo na watu wengine walionifuata au kukusanyika kwa ridhaa yao bila mimi kupanga uwepo wao. Hebu...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania na Utani wa Makabila: Ulishawahi kutaniwa vibaya na mtu wa kabila tofauti ukaumia nafsi yako?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu wa Tanzania; Ulishawahi kutaniwa vibaya na mtu wa kabila tofauti (Mfano: Msukuma Vs Mzaramo) kisha ukaumia nafsi yako...
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtu unajijua kabisa wewe ni Msimamizi wa Uchaguzi halafu unaomba kugombea ubunge, Hii si sawa!

    Nawakumbusha tu viongozi wa CCM kwamba kama kuna mkurugenzi wa halmashauri alienda kugombea ubunge halafu amerejea ofisini basi liangalieni swala lake kwa umakini mkubwa sana. Tusije kutoa sababu za mapingamizi na hata kesi zisizo na ulazima mbele ya safari. Niishie hapo!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wadau, vazi la dera linafaa kwa mpenzi/mke wa mtu?

    Mtu wangu anapenda sana vazi la dera; akitoka ni dera tu na mara chache ni sketi au gauni.....anasema kanga au kitenge haviwezi kuvaa kwa maana hajavizoea na huwa vinampa shida sana anapovaa safarini ikiwemo kutomshika vizuri hali inayopelekea kutaka kumvuka hivyo kumkosesha utulivu. Katika...
  7. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nini umuhimu wa wadhamini kwa mtu anayegombea nafasi ya urais?

    Wakati mpaka leo hii nikiwa sipati logic ya mgombea kupata udhamini wa chama cha siasa,kinachonishangaza zaidi ni hili swala la mgombea urais kutakiwa kutafuta wadhamini wa kumdhamini kugombea uraisi wa nchi hiii. Utaratibu huu bila shaka tumeuiga kutoka katika mataifa mengine duniani maana...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Ku view status ya Mtu WhatsApp Bila yeye kuona kama umeview

    1. Screenshot then zoom. 2. Mimi na wewe tufanye mpango itengenezwe App maalumu ambayo itakufanya u view status ya mtu Bila mhusika kujua kama umeview. We will make a millions and millions. Asilimia kubwa ya status huwa ni madongo. Kwa mujibu wa wataalamu hakuna kitu kinauma kama mtu...
  9. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afanya misa ya shukrani Ikungi, Singida. Aahidi kutompitisha mtu kwenye maumivu aliyopitia

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeo (Chadema), Tundu Antiphas Lissu, leo Jumatatu, Agosti 10, 2020 amefanya Misa ya Shukrani kwenye kanisa la Mtakatifu Rita wa Kashia lililopo Ikungi, jimboni kwake Singida Mashariki. Kwenye Misa hiyo iliyoongozwa na Paroko Laurent Bahale...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za Uchaguzi mkuu - 2020 mitandaoni ni mtifuano wa kufa mtu kati ya TEAM Tundu Lissu (CHADEMA) vs TEAM John Magufuli (CCM)

    This is very interesting, kwa kweli... Kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), kampeni rasmi za kila mgombea za nchi kavu, angani au majini za kutembea kijiji kwa kijiji, kata kwa kata, jimbo kwa jimbo Tanzania nzima zitaanza trh 26/8/2020.... Lakini kampeni zisizo rasmi za MTU kwa MTU...
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli v/s Yusufu " tupate wapi mtu kama huyu ambaye Mungu anakaa ndani yake

    Ninaamini sifa anazopewa Magufuli hazitamfanya awe na kiburi au majivuno bali zitamnyenyekeza zaidi kwa Mungu kwa maana si yeye anayefanya Bali Mungu kupitia yeye tunamuombea ajishushe zaidi ili Mungu aendelee kumtumia kuibariki Tanzania. Mfalme pharaoh alipoota ndoto ya masuke saba manono na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni mtu mwema na mwenye huruma wanaomuogopa ni wapiga dili na mafisadi

    Kama alivyosema Katibu Mkuu wa CCM Dr Bashiru kwamba Dr Magufuli ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Magufuli ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda. Ukiwa mwovu lazima utakuwa muoga. 2020...
  13. JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kuwa katika mahusiaano na mdosi, mzungu au mtu wa Taifa jingine?

    Maishaa ni safari au wengine husema maisha ni sinema kama Isidingo. Unapitia mengi katika safari ya maisha. Je, ulishawahi kubahatika kuwa na mahusiamo ( serioues relationship) na jamii ya kundi tofauti na lako yaani uwe na mdosi, dodo, au taifa tofauti. Leta experience yako
  14. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Oktoba 2020, Tunachagua kati ya Utu wa Mtu na Maendeleo ya Vitu

    Wagombea prominent mwaka huu ni watatu Magufuli, Lissu na Membe, lkn wanaopewa nafasi kubwa zaidi ya kushinda ni wawili Magufuli na Lissu. Wagombea hawa wawili tayari wameshajipambanua wazi nini vipaumbele vyao 'first priorities'. Wakati anachukua fomu ya NEC mgombea wa CCM Rais Magufuli...
  15. JamiiForums Tanzania Tunapokuwa madarakani ni vema kuheshimu kila mtu , huwezi kujua atakayekusitiri ukishang'olewa

    Picha hii inaongea kila kitu , aliyetukanwa mjinga na Mlevi leo kageuka ndiye mfariji mkuu ! Shikamoo Wajumbe .
  16. JamiiForums Tanzania Kuna mtu ameelewa alichosema Lissu?

    Kama nakumbuka vizuri wakati Lissu anatoa hotuba ya kukubali uteuzi wa kuwa mgombea kupitia chama chake alisema Mambo ambayo nina Shaka Kama yamefahamika kwa Chadema wenyewe au sisi wengine. Kwanza aliomba tuondoe notion ya kila wakati wagombea kuja na ahadi kwa lugha rahisi ilani ya Mambo gani...
  17. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukutana na mtu aliyevaa nguo zinazofanana na zako? How did you react to it?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo...
  18. JamiiForums Tanzania Maendeleo yetu Watanzania yalindwe na Katiba sio mtu

    Maendeleo yetu yanafanywa na kuletwa na kodi zetu sote, Sio hisani tunayalipia na tunawalipa watu woote wanaoyaleta, hivyo ni mali yetu sote. Namna bora ya kuyalinda na kuyaendeleza haya maendeleo yetu yanayopatikana kidogokogo lazima tuyaendeleze na kuyalinda katika kila awamu na kila chama...
  19. JamiiForums Tanzania Ninaamini katika hizi tu ili mtu aweze kuongoza nafasi ya juu kabisa ya madaraka ya nchi lazima awe amesoma walau taaluma moja kati ya hizi

    Wakuu asalaam. Binafsi naamini siasa ni sayansi na wanasiasa ni lazima wawe wanaweza kuimonitor na kuiishi sayansi hii ya siasa. Ili MTU yoyote aweze kuungoza umma wa watanzania ni vyema akawa amesoma na kuhitimu angalau taaluma zifuatazo 1. Sheria Hii ni kwa maana kuwa sheria ndo nguzo kuu ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa Siasa za Rais Magufuli mtu kama Lissu ndio anafaa kupambana naye. Lissu hana cha kupoteza tena hivyo hana hofu ya kumkabili jino kwa jino

    Lissu ndio hasa kisiki cha mpingo cha kupambana na Jiwe. Hata wapiga kura watakuwa majasiri wa kudai haki yao endapo wataporwa ushindi wao. Wakina Membe na wengineo wampishe Lissu kwa huu Uchaguzi maana hawana uwezo wa kupambana na Siasa za kibabe za jiwe. Lissu hasa ndio pekee anayeweza kwenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…