mtu

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Tunduma: Polisi Wawapandisha Kizimbani Wagombea Udiwani wa CHADEMA, Wadaiwa kufanya Wizi kwa kutumia Silaha, mmoja akosa dhamana

    Mgombea Udiwani wa CHADEMA Kata ya Majengo mjini Tunduma Boniface Mwakabanje ambae alikuwa anashikiliwa kwa ishu ya uraia, leo mchana amefikishwa Mahakamani na kupewa kesi ya 'Armed robbery' shitaka hili halina dhamana so kapelekwa magereza. Uchaguzi 2020 - Tunduma yazuka vurugu na mabomu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Usalama wa Anga Tanzania (TCAA) imewataka wamiliki wa 'drones' kuzisajili ndani ya siku 4

    Mamlaka ya Usalama wa Anga Tanzania (TCAA) leo imewataka wamiliki wote wa 'drones' kuzisajili ndani ya siku 4 zijazo Taarifa ya Mamlaka hiyo imewataka wamiliki kuzisajili Makao Makuu Dar au katika ofisi zao zilizopo Arusha, Dodoma, iringa, Mwanza, Mtwara, Mbeya, Kilimanjaro, Kigoma, Songea...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi unajua kuwa Rais Magufuli huwa ni mtu wa kufika bei haraka sana?

    Kiukweli Rais Magufuli ni Rais wetu ndiyo ila ana udhaifu mmoja mkubwa sana. Ni mtu wa kufika bei haraka kama utamfanyia vitu viwili tu 1. Mpe sifa na ukuu 2. Mpe fedha 1. Sifa na Ukuu Ukitaka kuamini rejea majina yote yaliyokatwa kwenye ubunge utagundua ni wengi ambao walikuwa "nyutro" na yeye...
  4. JamiiForums Tanzania Ni kiasi gani cha fedha kinahitajika kwa mtu anayetaka kulima mpunga?

    Habari yenu wanajamii.nimekuja humu kuomba ushauri kwa faida yangu pamoja na kwa faida ya wengine. Kama kichwa cha habari kinavyosema...Nahitaji kufahamu kwa mtu anaetaka kulima kilimo cha mpunga je atatumia gharama za shilingi ngapi kwa kuzingatia vitu vifuatavyo 1)gharama kukodi shamba la...
  5. JamiiForums Tanzania Ni gharama kiasi gani inahitajika kwa mtu anayetaka kulima mpunga?

    Habari yenu wanajamii.nimekuja humu kuomba ushauri kwa faida yangu pamoja na kwa faida ya wengine. Kama kichwa cha habari kinavyosema...Nahitaji kufahamu kwa mtu anayetaka kulima kilimo cha mpunga je atatumia gharama za shilingi ngapi kwa kuzingatia vitu vifuatavyo 1)Gharama kukodi shamba la...
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM huwa hawaangalii Mgombea Bora bali wanaangalia mtu atakeyeweza kushinda jimbo

    Wapo watu walitarajia kuwa Wagombea wa mwaka huu watakuwa wa aina yake lakini cha kushangaza wamechomoza wale wale akina Msukuma, Lusinde, N.k. CCM huwa hawaangalii mgombea bora bali wanachotaka ni mtu ambaye anaweza kushinda na kubakiza kiti Chao Cha Ubunge, haijalishi ni kilaza au la.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Tujiepushe na mabaradhuli

    Mwaka huu mwezi oktoba kutakuwa na uchaguzi mkuu katika nchi yetu, majira haya ni majira ya uchaguzi wa serikali kuu, kuchagua Rais, wabunge na madiwani-Askofu Shoo. Wakati wa uchaguzi mkuu tujiepushe sana na “MABARADHULI” na wachochezi wenye nia ya kuleta magomvi, na FUJO, nimesikitishwa sana...
  8. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huyu mtu anaweza kuchukua hii nchi au anaweza kusababisha mambo yatakayosababisha mageuzi kutokea katika hii nchi

    Huyu ndugu anaweza kuchukua nchi moja kwa moja kupitia sanduku la kura tukiwa na uchaguzi ulio huru na wa haki, lakini pia anaweza kusababisha mambo yatayosababisha mageuzi yatokee katika nchi yetu. Wanasiasa wa aina hii husababisha katiba na sheria za nchi katika mataifa mbalimbali duniani...
  9. JamiiForums Tanzania Asanteni Wajumbe wa Kigamboni, Kamati yangu ya 'Wasiojulikana' ya Roho Mbaya CCM Dar es Salaam na Kamati Kuu ya CCM Dodoma 'Mtu' kachinjwa rasmi

    Yaani GENTAMYCINE na Jopo langu la Watu wenye Roho Mbaya za Ukweli na wanaojua 'Ndumba' na 'Fitina' za kila namna 'tusiojulikana' ndani ya CCM tukuamulie Wewe 'Mpuuzi' Mmoja halafu upite kwa Kutushinda? Kama ni Kamati yangu hii hii iliweza Kufanya 'Kafara' Kubwa Segerea Siku Moja kabla ya Mechi...
  10. JamiiForums Tanzania Maisha ya Mwanadamu: Ukitaka kupima kiwango cha juu cha uvumilivu wa mtu yeyote, basi mpokonye kile anachokipenda sana

    Je, ni kweli kwamba, ukitaka kupima kiwango cha juu cha uvumilivu wa mtu yeyote, basi mpokonye kile anachokipenda zaidi? Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na tabia za kimtandao wewe ni mtu wa aina gani?

    Natumai hamjambo wanabodi, Wakuu sio siri mitandao ya kijamii imetupatia tabia mpya ambazo katika uhalisia hatuna, tabia hizi za kimtandao zimetufanya tuwe na mbwembwe, show off, chai na mizaha mingi kupitia post na comment zetu. Tabia za kimtandao mara nyingi hutumiwa na wahusika katika...
  12. JamiiForums Tanzania Hekima, busara na nidhamu ya chakula (Table Manners) mbele ya kadamnasi ya wageni

    MADA YA LEO: NI MUHIMU SANA MTU KUWA NA NIDHAMU YA KULA KWA STAHA MBELE YA WATU (KADAMNASI) Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ni mtu wa kufikirisha

    Watu wanaacha umeneja, ukuu wa mkoa, ukatibu Mkuu Wizara, wamiliki wa makapuni, mtu Yuko radhi amtoe mtu kafara au achalaze mwenzie viboko ilimradi aende bungeni kwenye mahela ya kujichotea, kujizolea yani Tanzania hii sijawahi kusikia kijana umri wa mnyika anasema napunzika kugombea Ubunge ni...
  14. JamiiForums Tanzania Utafiti: Je, ni umri gani sahihi wa mtu kuitwa mzee?

    Kutoka wikipedia, Mzee ni mtu aliyeishi miaka mingi baada ya kuzaliwa.Katika jamii za Kiafrika, sawa na jamii nyingi duniani, neno “mzee” linatumiwa pia kama cheo cha heshima kwa kumtaja mtu mwenye mamlaka fulani. Hapo kuna hoja ya kuwa mtu aliyeendelea katika umri anawazidi vijana kwa hekima na...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mzuri kwa ajili ya masoko

    Habari Wana JF. Natafuta mtu mzuri kwa ajili ya Masoko, Mimi n mfanyabiashara Nina kampuni yangu inajihusisha na ku supply bidhaa za chakula Kama unga, Maharage, Mchele, Mbogamboga, Matunda n.k. Naomba tuwasiliane tuongee zaidi. Napatikana kwa namba hizi 0738-665702. Napatikana Dar es Salaam
  16. JamiiForums Tanzania Mwendokasi yaua mtu Ardhi-Kivukoni, chanzo kuchat wakati akivuka barabara

    Wana JF. Leo nimeshuhudia kifo cha ajabu mno. Ilikuwa hivi, MTU mmoja akiwa anatokea maeneo ya postal/ mjini alipofika kwa ofisi ya mwanasheria mkuu alivuka barabara ya kwanza inayotoka na kwenda Kivukoni. Ghafla bila kuangalia huku akiwa anongea na simu ndipo mwendokasi ikampiga na...
  17. JamiiForums Tanzania Kusikia aibu kwa kitu alichokifanya mtu mwingine sababu ni nini?

    Habari wakuu, Kabla sijaenda moja kwa moja kwenye swali langu naomba nijieleze nilivyo Mimi binafsi sipendi kabisa kuhaibika huwa najiepusha sana na mambo ambayo yanaweza kumuaibisha mtu, kuongea hata vitendo Imeafika steg hadi nikienda toilet nakagua mara nyingi kama choo kisafi baada...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

    Wakuu naangalia Channel Ten uzinduzi wa nyimbo za kampeni kwa CCM nimeona Adam ndo host lakini kafanya kituko cha hovyo kwa kumpiga bunda Emmanuel Mbasha jukwaani hadi kuanguaka baada ya kuona Emmanuel Mbasha kazidisha masihara japo E Mbasha amezuga na Adam nae kazuga ila wameharibu. Ni aibu...
  19. JamiiForums Tanzania Kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu anayekuzidi umri sana ni hatari

    Kuwa katika mahusiano na mwanaume mtu mzima na tajiri ni hatari sana, kwa sababu hiyo ina maana unaweza kuwa na madaraka kidogo juu ya mahusiano. Kwa kukosekana kwa usawa wa madaraka, unaweza ukakosa kuwa na udhibiti wa kufanya maamuzi yako mwenyewe. Mahusiano, katika hali yake ya ubora, ni kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Zamani nilikuwa namshangaa mtu aliyefanikiwa kimaisha na hasaidii ndugu zake, Leo mimi natamani hata kuwapiga Risasi

    Muda mwingine kutumia hekima kwenye changamoto hizi za kifamilia ni kujimaliza mwenyewe, unaonesha upendo kwa watu ambao wao hawana upendo na wewe. Wanakuchekea kinafiki ukiwapa msaada, wakitoka wanapanga mipango ya kukudhuru na kukuombea uharibikiwe. Binadamu wana Roho mbaya sana, hata Yesu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…