mtu

  1. Maisha uwanja mpana, ifikie hatua kila mtu aishi kwenye njia yake ambayo yeye anaona sahihi

    Poleni na majukumu wananzengo Mambo ambayo binafsi nakereka sana sema kwa sababu ya system nashindwa kuamua na sina pa kupereka Wazazi kuforce vijana wao tuoe, kila mtu ana akili yake bhana, muache mtu aishi anavoona yeye sahihi Kuona watu wakipinga starehe za watu mfn pombe, ganja na...
  2. B

    Uwekezaji Rwanda kwa sekta ya Kilimo inampa mtu matumaini sana kwa fursa hizi

    Fiscal incentives offered by Rwanda when you invest in Agriculture: Duty-free importation of all inputs Tax exemption for agriculture equipment 50% reduction in corporate income tax, if you are a registered investor exporting 50% of the turnover of products produced in Rwanda 7-year tax holiday...
  3. M

    Mama Kijo Bisimba alaani kauli za Magufuli juu ya Mwanamke. Asema kauli zake hazimfai mtu aliyekalia kiti cha Ofisi ya Rais

    Mwanamama mtetezi wa siku nyingi wa haki za binadamu hususan za wanawake mama Kijo Bisimba, amelaani vikali kauli za Rais Magufuli anazozitoa mara kwa mara juu ya wanawake. Akihojiwa na redio moja ya nje, Mama Bisimba amesema, kauli hizo za Magufuli zisichukuliwe kimizaha mizaha kwa sababu hizo...
  4. R

    Tahadhari na ushauri kwa system: Msimwonee haya mtu, akishindwa achaneni naye na akishinda atangazwe

    Heshima kwenu wakuu" system" Sasa ni dhahili nyie waendeleazaji na waongozaji wa Taifa mmeona ukweli ulipo. Sasa mnaona nini watanzania wanataka. Ninyi mna macho na masikio mawili mawili mnasikia na kuona kuliko mtu yeyote. Mwaka 2015 mlitusaidia kuondokana na Lowasa japo alionekana kuwa na...
  5. RC Singida: Serikali haitasita kumchukulia hatua mtu yeyote atakayehatarisha amani ya nchi

    MKUU wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi amesema serikali haitasita kumchukulia hatua mtu yeyote atakayehatarisha amani katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu. Nchimbi ambaye alikuwa mgeni rasmi aliyasema hayo alipohutubia wananchi, wazazi na wanafunzi wakati wa sherehe za mahafali ya...
  6. Tabia ya wahudumu wa Bar kujizungusha kwenye kutoa chenji inakera

    Mtu unaenda unapiga maji yako fresh baada ya kujichanga changa karibia week nzima na kubana bajeti usawa huu mbovu. Unatoa pesa unasubiri change. Hapo ndo utaona jinsi barmaid anavyo dribble na change yako. Anajizungusha zungusha na kujichetua na change kama Bernard Morrison. Unamwona tu kuwa...
  7. Kampeni zimepamba moto kila mtu na mtazamo wake akiona picha ya mgombea

  8. M

    Uchaguzi 2020 Marekani yatishia vikwazo kwa watakaoshiriki kuharibu uchaguzi Afrika

    Upcoming Elections in Africa The United States is committed to supporting free, fair, inclusive elections. The conduct of elections is important not only for Africans, but also for defenders of democracy around the world. We believe all sides should participate peacefully in the democratic...
  9. Mavazi yanamtambulisha mtu?

    Kama ilivyo kawaida kwamba binadamu tupo tofauti socially, economically, physically, in religion na pia in cultural tupo tofauti. Kwa maana hiyo mionekano yetu inaweza ikasababisha mtu aijue tabia ya mtu fulani. Kwa experience yako ni mavazi gani au muonekano upi humfanya mtu azijue tabia za...
  10. Mtu mzima aliyekuzidi umri akikukwaza usimtukane, tafuta mtu mzima mwenzake amwambie ajirekebishe

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu vijana watanzania; Mtu mzima aliyekuzidi umri akikukwaza usimtukane matusi. Mkikutana mkwepe au tafuta mtu mzima mwenzake amwambie ajirekebishe. Nimeamua kusema hivi kwa maana kwamba, juzi baada ya kutoka katika mizunguko yangu...
  11. M

    Naomba kufahamu mtu ili aweze kufundisha collage zinazotoa diploma anatakiwa awe na shahada ya GPA ya ngapi?

    Naomba kufahamu mtu ili aweze kufundisha college inayotoa diploma anatakiwa awe na shahada ya GPA ya ngapi?
  12. GE2020 Kama wewe sio dhaifu kwanini utafute kupendelewa?

    MTU DHAIFU HUTAFUTA UPENDELEO; JE LISU ANAPAMBANA NA MTU DHAIFU? Na, Robert Heriel Kikawaida watu dhaifu hutafuta kupendelewa, hutafuta dezo kwa watu. Pia kikawaida watu dhaifu ndio hupewa upendeleo na huukubali huo upendeleo kwa kuwa wanajua hawastahili. Hii ni tofauti na mtu hodari. Mtu...
  13. S

    Mtu Mzima Dawa - Maalim Seif Sharif Hamad kuiponya Zanzibar na makovu ya CCM

    Mzarau chake mtumwa na ndivyo walivyo CCM,wamejisahaulisha na kuuficha ukweli wa msemo wa kiswahili ..usemao Mtu mzima dawa..tunawaona CCM katika ubora wao wanashindwa kuelewa hekima za mtu mzima kwa mtizamo wao hata Nyerere hafai ndipo Maria Nyerere alipowatemea mate na kuwapa neno lililowapa...
  14. Z

    Hata kama mtu humpendi, hii hapana. Kutokukubali lockdown ni kuharibu mahusiano ya EAC?

    Nilichojifunza hapo ni kwamba Mh Tundu Lissu au chadema mna ungomvi binafsi na Mh JPM. Hivi kukataa lockdown na huku nchi jirani zikiendeleza lockdown ni kaharibu mahusiano? Come ooon! Eti rafiki yake ni Burundi tu kwa sababu nchi ya Burundi huko nako walikataa lockdown! Labda sijakuelewa...
  15. S

    Kama hamtendi haki,watu watashirikiana na yeyote anayeweza kuwasaidia kupata haki hata kama mtu huyo atakuwa ni Ibilisi

    Huu ndio ukweli mchungu kwa hawa watu hawa ambao wameamua kutumia mabavu kunyanyasa wengine, tena wakitimiza wajibu waliopewa kwa doublestand ya hali ya juu. Mnawalazimisha watu kutafuta haki zao nje ya mifumo iliyopo kwasababu mifumo hiyo haitendi haki, alafu cha ajabu, nyie ndio mnakuwa wa...
  16. Kijana una miaka 30 halafu unadai hujapata mtu wa kuoa? Utakuwa na tatizo sio bure

    Wandugu natumai wote wazima. Kama kichwa kinavyoeleza, una umri wa miaka 30 unataka kuoa/lakini hujapata mwenza, bila kupepesa utakuwa na matatizo sio bure. Jichunguze kasoro zako sehemu hizi, ukikosa niite mchawi Kiakili Kiafya Kimtazamo Kiitikadi. Sasa ili muamini ninachosema kuwa ni...
  17. Kuna mtu anae wafahamu makazi investment

    Refer heading above, Kuna Hawa jamaa wanaji ita makazi investment Wana project za kuuza plot Kigamboni Kiluvya Chanika Kuna yeyote mwenye abc Kuhusu Hawa jamaa Wapo ki halali mfano mtu akilipa 30% Then analipa kidogo kidogo KWA miez minane Kuna mtu yeyote amewai kununua ENEO au anazo...
  18. B

    Kitambulisho cha mjasiriamali kumsaidia mtu kupata mkopo. Je, ni kweli au?

    oi
  19. D

    GE2020 Tundu Lissu: Kama Serikali ya CCM inapinga kweli ushoga basi ikafute kipengele cha Katiba kinachoinyima Serikali kuingilia faragha ya mtu

    Tundu Lissu akiwa Arusha leo asubuhi imeibuliwa tena hoja ya ushoga na huu ndiyo msimamo alioutoa "Wanaleta vihoja kuwa naunga mkono ushoga, katiba ya JMT inasema kila mmoja ana haki ya kulindiwa faragha yake, naunga mkono msimamo huo wa Katiba, siyo kazi ya Serikali kuchungulia kwenye vyumba...
  20. B

    Thamani ya Uhai wa Mtu yaweza linganishwa na Nafasi ya Udiwani?

    Tunapoteza kijana wetu, bila kujali chama anachotoka tunapaswa kumlilia na kulia na wauaji. Kama anavyoumia mzazi wa kijana huyu ndivyo utakavyoumia kiongozi wa Jeshi la Polisi au kiongozi wa kisiasa pale utakapompoteza mpendo wako. Namna nafsi ya kiumbe flani itakavyokuelekeza kupindisha haki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…