mtu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Sielewi kwanini mtu aliyechakachua msaada wa serikali na kujimilikisha enzi za Kikwete, akaondolewa leo anateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa

    Hivi sisi waswahili tuna tatizo gani lakini? kwa nini tunaona kwamba kuna watu fulani wanastahili kupewa fursa za uongozi hata wafanye madhambi ya ajabu kiasi gani? Ina maana hapa nchini suala la uongozi kuna watu wanaostahili na wengine wasiostahili? Mtu anafanya makosa makubwa katika nafasi...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayeweza kutengeneza cartoon

    Habari! Kuna wazo ninalo ila nataka kuliwasilisha kupitia cartoon ya muda wa dk 15-30 ningependa kujua gharama zake ili niweze kujua gharama zake.
  3. JamiiForums Tanzania Hivi mtu aliyekwishazaa au kuzalisha hana haki ya ndoa?

    Kwa nini MWANAMKE aliye kwisha zaa anapewa nafasi ndogo sana ya kuolewa kuliko mwanaume mwenye mtoto? Kabla hujamnyoshea kidole Mama mwenye mtoto ila hana mume kwanza jiulize mazingira ya yeye mpaka kukaa peke yake na mtoto. Sio kila mwanamke mwenye mtoto bila mume basi ukajua alikuwa MALAYA...
  4. JamiiForums Tanzania Mtu huyu ni wa aina gani?

    Mwenye aibu sana Mpole na mtulivu Mkatili sana na mvumilivu pia Muhuni wa kimyakimya na mchonganishi pia wa siri Mwenye kupendelea sana kutenda mambo yake usiku Mzembe kwa matazamio ya nje ila ni mjanjamjanja sana kiuhalisia Mzungumzaji sanaa ukiwa na ukaribu nae lakini huwa anabadirika...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Jokate nae yumo?

    Naona jina lake nae limeanza kutajwatajwa mpaka Lema nae anamtaja. Wacha tusubiri kuona huu mtandao ukiingia matatani kama kweli ipo dhamira ya kuwashughulikia. Masikini Dada wa watu na urembo wake anaweza kutukumbusha ya Kanumba na yule dada mrembo(Lulu) aliekaa jela.
  6. JamiiForums Tanzania Mtu aliyesoma marketing course, anaweza kujiajiri vipi?

    Hivi mtu aliye soma marketing course kwa kazi yoyote ile anaweza kujiajilije yeye kama yeye kwa kile alichojifunza chuoni au ability yake ya kufanya mambo according kwa knowledge yake.
  7. JamiiForums Tanzania Kamuachisha shule binti yangu, kamuoa. Anasema hakuna wa kumfanya lolote Serikali hii

    Habari za leo wapendwa. Sijui ni dharau kwa serikali ama siasa moe sielewi. Kuna baba mtu mzima ana watoto wakubwa. Binti yangu alikuwa anasoma Sengerema kidato cha sita. Huyo baba kamuachisha binti yangu shule na kumuweka ndani kinyumba. Huyo baba anasema Serikali hii hakuna wa kumfanya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Umri wa mtu kuteuliwa kushika nafasi yoyote Serikalini uwe ni walau kuanzia miaka 35

    Naona wakati umefika tuweke kigezo cha umri kwa watu wanaoteeuliwa kushika nafasi au madaraka makubwa serikalini na katika Utumishi wa umma. Katika nchi yetu, uteuzi hufanywa zaidi na Raisi na wateule wa Raisi wote hupewa dhamana au madaraka makubwa na hivyo kuna uwezekano baadhi hupewa...
  9. JamiiForums Tanzania Unafungua daftari la michango ya rambirambi unakuta mtu wa kwanza kaandika 1,200,000/=

    Good afternoon jamiiforums Kumpa mfiwa pesa mkononi au kuandika kwenye daftari ni kipi bora zaidi emotionally? Jenga picha umeenda kwenye msiba wa baba yake rafiki yako sasa umefungua daftari la rambirambi unataka kuandika mchango wako wa 10,000/= mara ghafla unakutana na jina la mtu wa kwanza...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi ni msomi mzuri wa 'sociology' au 'psychology' ndio mwenye utaalam wa kusoma tabia ya mtu na kubashiri matokeo? Je, jibu la Rais ni sahihi?

    Wakati wakiaapishwa makatibu tawala wa mikoa, Mhe. Rais Samia alisikika katika hotuba yake kuwa aliwasimamisha wakuu wa mikoa na makatibu tawala hao wa mikoa ili kusoma sura zao na kubashiri yatakayotokeoa mikoani. Alisema kwa msomi mzuri wa sociology atafahamu nini kitatokea kwa kuangalia...
  11. JamiiForums Tanzania Mtu kukosa usingizi wa kutosha kunaweza kumfanya awe mpweke

    Utafiti wa Chuo Kikuu cha #California, Berkeley ulibaini Mtu kukosa usingizi wa kutosha kunaweza kumfanya awe mpweke, kujitenga na wengine au kutamani kuwa pekee yake muda mwingi Watu wasiopata usingizi wa kutosha huwa hawavutii Watu wengine kijamii na hata Watu waliopumzika vizuri huhisi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kozi gani huwezi kumshauri mtu asome?

    Thread
  13. JamiiForums Tanzania Anniversary ya miaka 15 na mke wa mtu

    Siku ya jumamosi tarehe 5/6/2021 tutakuwa tunaazimisha miaka 15 ya mahusinano na mchepuko wangu. Kila mmoja ana ndoa yake ila tumebarikiwa kuishi kwa miaka 15 tukiwa kwenye mahusiano bila ya kushtukiwa. Tunaomba support yenu wadau.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye shahada ya sheria anaweza kufanya kazi idara ya mazingira?

    Habari zenu wandugu, naomba kujua, hivi mtu ambaye ana fani ya sheria anaweza Fanya kazi ama kuajiriwa kama afisa mazingira au misitu, ama idara yeyote inayo jihusisha na mazingira? Naombeni tufahamishane wandugu kwa wale wenye ufahamu kuhusu hili... Mungu awabariki..
  15. JamiiForums Tanzania Anayotendewa mtu mweusi Israel

  16. JamiiForums Tanzania Mtu anapoomba maji baada ya ajali na ukampatia, ni nini kitamtokea?

    Habarini wananzengo, Nimeshuhudia baadhi ya visa vya watu kuomba maji wakiwa hoi sana wengi wao ikiwa ni baada kupata ajali. Kuna jamaa alianguka kutoka kwenye mti akawa analia apewe maji lakini hakuna mtu aliyempa. Mwengine aligongwa na gari akawa analia huku akisema"naombeni maji, majii tu"...
  17. JamiiForums Tanzania Je, naweza kuendelea kupata mkopo kama nimeacha chuo bila kufuta usajili wangu katika chuo husika?

    Karibuni jamani mchangie mawazo yenu kuhusu hii mada mtu anaweza akaendelea kuchukua boom Kama ameacha chuo lakini Bado hakufuta usajili wake katika chuo chake.
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi: Tukatae uzushi kuwa Mtu akipata chanjo ya corona atakufa

    "Chanjo ya ugonjwa wa Corona ni hiari, hatolazimishwa mtu kuchanja chanjo hiyo. Tukatae uzushi kuwa mtu akichanjwa atakufa, sio kweli" Ndugu @DrHmwinyi Rais wa Zanzibar na M/kiti wa BLM Mjumbe wa Kamati Kuu ya H/Kuu ya Taifa. Mahonda, Kaskazini Unguja. Mei 29, 2021.
  19. JamiiForums Tanzania Kisa cha mtu aliyebeba punda na Watanzania

    Mwanadamu mmoja alikua akisafiri na mkewe wakitumia usafiri wa punda yaani wakiwa wamempanda punda yule lakini wakiwa njiani katikat ya safari yao wakakutana ma wanadamu wakawapazia sauti wakisema; ''ninyi watu hamuoni ya kuwa mnamuumiza punda huyo iweje ninyi wote wawili mumpande punda mmoja...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Serikali muliangalie la kuajiri watu wasioelewa wajibu wao

    Habari wanabond, poleni na majukumu ya kila siku. Mimi ni mtu anayeishi taifa moja la ugaibuni (west). Ninachokiona, tutazidi kubaki nyuma kama ajira zitakuwa zinatolewa kwa watu ambao hawajui nini kilifanya waajiriwe katika maofisi au taasisi za serikali, jirani yetu Rwanda kuanzisha kampuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…