mtu

  1. N

    Mdau Huwa unasalimia mtu unayekaa naye siti moja kwenye daladala au unakaushaga

    Habari wakuu Binafsi mimi huwa na mikausho mikali sana ili kutojipa stress maana wengi kwenye dala dala wanakuwa kama wamevurugwa hivi, unaweza kusalimia mtu halafu akakunyamzia. Vipi Wewe unatabia gani kwenye daladala ? #Oktoba_tunatoka
  2. W

    GE2025 Darugar: Ni kosa kubwa sana mtu kuacha shughuli zake au afunge duka kwa hofu ya mtafaruku Oktoba 29, Tupo vizuri kiusalama

    Mwenyekiti wa Serikali za mitaa Mtendeni, Kata ya Kisutu Mustaquim Darugar amewaomba Watanzania wasiwe na hofu ifikapo Siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29 ambao ni wakati sahihi wa kupiga kura na Wananchi wasiogope badala yake wajitokeze kwa wingi kutekeleza jambo hilo ambalo ni haki yao kikatiba...
  3. JITU BANDIA

    Kwa Mchanganyiko huu! Msimtegemee Kurudiwa na akili/kumbukumbu kwamba ataongea kama mtu wa kawaida(kukumbuka chochote!)Msahau! Kama alivyosahaulishwa!

    gabapentin, lamotrigine, levetiracetam, pregabalin, and topiramate... hii chemistry!...hizi ni baadhi ya medics hatari sana kwa afya ya akili, ambazo mtu mzima na afya yake hapaswi kupewa! Msitegemee mtu huyu kurudiwa na utimamu wake wa akili... kwamba ataweza kukumbuka chochote akilini...
  4. 4

    Mawazo yangu huru juu ya Taifa letu; Tusibeze mbele ya Mungu wangu halazimishwi mtu

    Wakuu leo sina mengi ila amani ya Bwana ikawe kwa kila mmoja wetu katika haki na usawa. Rejea mada tajwa hapo juu, Taifa hili letu wote na ndo sie wa kuliponya au kulipa majeraha, hivyo nimeona ni vyema shauri yafuatayo na sio lazima kukubaliana nayo. 1. Uchaguzi usitishwe Rais aliepo...
  5. Sales man

    Je tumejifunza kwa Odinga? Maaana juzi hapa mtu mmoja alikufa watu wakashangilia sana

    📌Ukitizama kwa umakini maombolezo ya Hayati Raila Odinga unaona kabisa kuna ujumbe unatumwa kwa viongozi wetu wengi wakiwa katika nafasi zao. 📌Kuna mambo unaweza Fanya halafu ukiondoka familia yako itaishi kwa raha sana ila kuna mambo unaweza fanya ukiwa katika uongozi watu wakisikia tu jina la...
  6. GENTAMYCINE

    Mama na Kaka walichangamka sana Wiki iliyopita, mbona Wiki hii wamepoa na Kaka alionyesha Ugangwe na Ungangari dhidi ya Mdogo Mtu Mpotezwa?

    Nauliza tu kwa nia njema na wala tusinuniane tafadhali. Nilidhani Kaka Mtu kwa lile Biti lake la Wiki iliyopita basi angeendelea nalo kwani tulimsifia kuwa alikuwa ni Mbabe hata kuliko Mdogo wake tuliyemdhania kuwa alikuwa Mbabe kabla ya Wababe zaidi yake kumalizana nae.
  7. M

    Ni mtu gani maarufu anaekujia akilini ukiona hii Picha

    GOAT - Greatest Of All Time. Aliewahi kukifanya kitu kwa ubora haijawai tokea
  8. wa stendi

    Naomba mtu anaejua tofauti ya google na chrome

    Binafsi sijajua tofauti yake maana naonaga zote kama ni sawa maana ukiingia goole unapata na ukiingia crome unapata. Je, kuna tofauti nyingine?
  9. baz kaiza

    Serikali inayo jali Utu wa mtu itoe Tamko kuhusu Polepole

    serikali inayojali utu wa mtu tunaomba itoe tamko kuhusu Polepole huyu alikua katibu Mwenezi Mjumbe wa kamati kuu Usalama wa Taifa hawezi kupotea kama kuku
  10. M

    Kuna sehemu ukienda ofisi nzima haina hata mtu mmoja mzawa, kazi zote zinachukuliwa na wageni wa mbali, hii sio sawa, kuwepo na affirmative action

    Kwa muundo wa serikali yetu ilivyo hakuna serikali za majimbo hivyo kila kitu kipo chini ya kuu. Unaweza kwenda sehemu flani kwenye taasisi flani kubwa tu lakini humo maofisini hamna hata mzawa moja, kazi zote zimechukuliwa na wageni wa sehemu za mbali, wazawa hawana chochote. Sababu inaweza...
  11. R

    Dr. Chris Mauki: Tunaweza kuikomboa Tanzania pasipo damu ya Mtu kumwagika, Kama kweli tunaipenda Tanzania basi tuipende haki ya watanzania

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instgram, Mwanasaikolojia na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dr. Chris Mauki ameandika haya: "Hiki ndicho ninacho kiamini. Kama Mwalimu aliweza kuikomboa Tanzania bila damu basi yote yanaweza kufanyika pasipo damu ya mtu kumwagika. Tukumbuke ni asili...
  12. DuaZaMama

    Mhashamu Filbert Mhasi: Nitashangaa sana kama kuna mtu amepita seminari anakuwa CHAWA

    "...usisahau kumrudia Mwenyezi Mungu, usisahau kuishi Maisha mema na ya maadili mazuri na hichi ndicho tunachotegemea kwa yeyote ambaye amepitia Seminari..." amesema Askofu wa Jimbo Katoliki la Tunduru-Masasi Mhashamu Filbert Mhasi wakati akitoa mahubiri kwenye masifu ya jioni kuelekea JUBILEI...
  13. M

    Bado kuna mtu anaamini 29 Sep kuna uchaguzi?

    Kwa hali iliyopo sasa na inayoendelea Nani anaamini bado kuna uchaguzi tu mwaka huu Cc Stuxnet
  14. britanicca

    Je ni ndani ya masaa 48 mtu kati?

    Ni swali tu maana wavaa ngwada wakitamkaga nchi yeyote ile uwa wanatamka huku mkubwa akiwa chini ya ulinzi Tayari, Na ikitokea wakatamka kabla basi haichukui muda! Nasisitiza HOTUBA YA KUANDIKA NA KUANDIKIWA INAJULIKANA Britanicca
  15. Waufukweni

    Tunisia: Mtu mmoja ahukumiwa kifo kwa kuchapisha maneno ya kumkosoa rais Facebook

    Raia mmoja wa Tunisia, Saber Chouchane (56), amehukumiwa adhabu ya kifo kwa kosa la kuchapisha kwenye mtandao wa Facebook, maneno yanayodaiwa kumkashifu Rais Kais Saied na kudhalilisha vyombo vya usalama. Hukumu hiyo ilitolewa jana Oktoba 3, 2025 na imekuwa gumzo nchini humo. Mawakili wa...
  16. Isenye

    Kuna ambae ana uzoefu wa kuzaa na mke wa mtu humu?

    Jamani wakubwa zangu shikamooni. Mdogo wenu nimeyakanyaga, kuna mwanamke ni mke wa mtu tena wa ndoa kabisa. Katika kuendekeza ngono zembe nimejikuta nimempiga mimba. Cha kushangaza yeye anaonekana hana hata wasiwasi,nimemuambia tuichomoe kakataa. Wakuu,hii kesi naimaliza vipi?
  17. Simeone

    Je, nini huwa kinatokea pale mtu anapokaribia kufa?

    Hilo swali niliuliza CHATGPT na haya ndiyo majibu yake.... Simulizi za watu waliokaribia kufa (Near-Death Experiences - NDEs) kwa kweli ni za kuvutia sana na mara nyingi huwa na mambo yanayofanana sana ulimwenguni kote. Watu hawa huripoti uzoefu ambao kwa ujumla unaweza kugawanywa katika...
  18. willy ze great

    Tetesi: Kuna mtu anadai kuonesha epl na ligi zote kubwa kwa bei ndogo facebook

    Kama picha zinavoonesha hapo anadai kuonesha ligi zote kubwa ulaya kwa bei nafuu tu matangazo yako facebook. Naomba ufafanunuzi kama hii kitu inawezekana anadai king'amuzi kinaitwa premium hd. Kama kuna mtu anafaham hii habari atutoe tongotongo
Back
Top Bottom