Rockcity Mall,kila mtu ana furaha

Rockcity Mall,kila mtu ana furaha

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
6,621
Reaction score
9,163
Nipo rockcity kwenye viti vya kupumzikia yapata saa nzima sasa,wanavita watu wengi mno,wanawake na wanaume kila mmoja ana furaha.

Wanawake warembo mno wanapita na maumbo ya kila aina.Wadadavwakiislamu na mavazi yao,mashallah wamependeza mno.
 
Nipo rockcity kwenye viti vya kupumzikia yapata saa nzima sasa,wanavita watu wengi mno,wanawake na wanaume kila mmoja ana furaha.Wanawake warembo mno wanapita na maumbo ya kila aina.Wadadavwakiislamu na mavazi yao,mashallah wamependeza mno.
Upo darajani au una wazoom pale climax😃
 
Nipo rockcity kwenye viti vya kupumzikia yapata saa nzima sasa,wanavita watu wengi mno,wanawake na wanaume kila mmoja ana furaha.

Wanawake warembo mno wanapita na maumbo ya kila aina.Wadadavwakiislamu na mavazi yao,mashallah wamependeza mno.
Pichaaaa, pichaaa😀
 
Umeambiwa umsubirie shemeji yako aliye gest house amekujwa wewe kijana umeanza kutamani wanawake,unazo hela za kuwahonga?
Nenda taratibu Kijana wangu 🤣🤣🤣
Hii I'd huijui vizur hebu jaribu kufuatilia na threads alizoanzisha huyu mwenye hii I'd

Yawezekana akawa ni sawa na Baba yako, sometimes hata kama uko anonymously jitahidi kuwa na discipline ya asili
 
Nipo rockcity kwenye viti vya kupumzikia yapata saa nzima sasa,wanavita watu wengi mno,wanawake na wanaume kila mmoja ana furaha.Wanawake warembo mno wanapita na maumbo ya kila aina.Wadadavwakiislamu na mavazi yao,mashallah wamependeza mno.
Bila picha ni chai hiyo.
 
Nenda taratibu Kijana wangu
Hii I'd huijui vizur hebu jaribu kufuatilia na threads alizoanzisha huyu mwenye hii I'd

Yawezekana akawa ni sawa na Baba yako, sometimes hata kama uko anonymously jitahidi kuwa na discipline ya asili
sawa mkuu,lakini mada zake ni za kiwaki mno. Ushawahi kuniona naandika upupu kwenye mada zako? Kama ni hapana why? Kwa sababu mada zako zina maadili.
 
Kama kuna sehemu inakosewa basi ni Mwanza hapa Tanzania.Hivi Rock city mall ni shopping mall kweli?Sehemu moja nilienda kichwa kikapata moto.

Maduka ya ground floor karibu mengi yamefungwa.Wapangaji wake wote kama wamekimbia.Nilikuwa mdau wa streetsouls lakini mara ya mwisho naenda jamaa anasema wamefunga dah.Asee wanakosea Mwanza pakubwa.
 
sawa mkuu,lakini mada zake ni za kiwaki mno. Ushawahi kuniona naandika upupu kwenye mada zako? Kama ni hapana why? Kwa sababu mada zako zina maadili.
Huyo ni mtu mzima na ni bonge la tajiri na ameshakula sana dunia, fuatilia threads zake
 
Nipo rockcity kwenye viti vya kupumzikia yapata saa nzima sasa,wanavita watu wengi mno,wanawake na wanaume kila mmoja ana furaha.

Wanawake warembo mno wanapita na maumbo ya kila aina.Wadadavwakiislamu na mavazi yao,mashallah wamependeza mno.
Ustaadh vipi hujarudi tena US kumtembelea bwana mdogo au Trump akaza kwenye viza
 
Back
Top Bottom