mtu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Poppy H, ni mtu mwenye bahati sana kutibiwa hospitali Ile na kutoka salama

    Salaam! Kuna hospitali moja hapa mjini, hospitali hii hutibu watu special,wenye nguvu, Kuna baadhi wamewahi kuifananiasha hospitali hii na nyumba ya kuhifadhia wafu, sababu kuu ni kuwa, wachache sana waliingia humo kutibiwa wakiwa hai, hawakurudi wakiwa hai,bali wamekufa. Pongezi zimwendee...
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nadhani hakuna mtu anayetaka kunasibishwa na muuwaji au kupiga picha na muuwaji

    Katika Hali ya kawaida hakuna mtu mwenye akili timamu atataka kunasibishwa na muuwaji au kupiga picha na muuwaji ukiona hivyo ujue wewe ni msafi na muuwaji anataka kujisafisha kupitia wewe.
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Trump ni babu mmoja mtu wa mishono, hii Putin ilimfanya kuwa kimya

    Mwaka 2025 Putin alifika USA ila baada ya kupewa heshima za kijeshi na kuongozana naye mara Putin anaona dege la B-2 likipitishwa makusudi na Trump alikuwa anamkumbusha kule Iran. 😁" Who are you " Hata Masafa ya TBC fm uwezi kutumia.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nadhani mtu mwenye furaha kuliko wote duniani kwa leo ni María Corina Machado- mpinzani wa Madulo

    Huyu binti alipitia kipindi kigumu kama cha Lisu na Chadema kwa ujumla. Alipitia vipindi vigumu kama vya Lisu.
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Unawazoesha askari kuua kwa kuwapa laki mbili mwishoe waje kukuua na wewe wakizoea

    Unawazoesha askari kuua kwa kuwapa laki mbili mwishoe waje kukuua na wewe wakizoea na watapewa laki mbili na mtu mwengine shetani hana rafiki. Suala la mauaji yanayoendelea na utekaji litakuja kumgharimu na yeye hivi karibuni shetani muuwaji hana rafiki hatukupaswa kupuuzia katiba ya nchi ni...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Askofu Stephano Musomba: Hakuna mtu anayeweza kulitisha Kanisa Katoliki

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Mhashamu Stephano Lameck Musomba, amesema, Waumini wa Kanisa Katoliki wana kila sababu ya kujivunia ukatoliki wao bila kuyumbishwa au kutishwa na mtu yeyote yule. Amesema, Kanisa Katoliki limeendelea kusimama imara kwa sababu ni Kanisa lililojengwa juu ya...
  7. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Ungepewa nafasi ukutane na mtu mmoja kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani?

    Nasoma Comment! Ungepewa nafasi ya kukutana na mtu mmoja tu kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani? haya twende kazi
  8. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi first date na mke wa mtu inatakiwa kuwa vipi?

    Nina miadi na mke wa mtu leo (date) ila sijui namna ya kuhandle situation. Wajuzi nisaidieni.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumsamehe mtu aliyekuibia na kukuulia wanafamilia wako?

    Naombeni tusaidiane Unaweza kumsamehee mtu aliyekuibia haki yako ya kupiga kura,na bado akakuulia wanafamilia wako waliokuwa wanadai haki na bado asikukabidhi mili yao akaitupa kama mizoga Haki ya Mungu sitakuja kumsamehe mtu kama huyu, mbona Tundu Lissu hamkumsamehe kipindi kile
  10. S

    JamiiForums Tanzania "Tumeondokewa na wapendwa wetu"; hivi unawezaje kutoa amri ya kuua mtu halafu akishauawa useme nimeondokewa na mpendwa wangu?

    Kuna kauli nyingine ni wana siasa tu wanaweza kuzitoa. Lakini pia niliisikia kwa mume fulani aliua mke kisiri akawa anasema nimeondokewa na mpendwa wangu, baadae akajulikana yeye ndio aliua. Jaribu kutafakari. Unafanya premeditated murder (uuaji uliokusudiwa) kwa kutoa amri kwamba hawa watu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja anaweza kuruhusu inchi izidi kuingia shimoni?

    Kwa kweli ukiachana sijui TEC kule Mashekhe huku wasiojulikana yaani msababishi wa yote ni Samia,hakuna kuzungukana zitaundwa tume mpaka za maraika hakuna kitakachoturiza nyoyo za watanzania Bila huyu mama kuondoka kwa hiari yake au hiari ya mwenyezi Mung Tanzania itaendelea kutumbukia shimoni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uwalaza unaharibiwa heshima yake, mtu anakuja kunyoa na jero (500) anakwambia yeye nywele zake zipo nusu

  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini

    Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini. Sio hivyo tu amewafunga wababa wa watu wakina polepole kinyume cha sheria kwa hirq zake.
  14. Stability

    JamiiForums Tanzania Ila kiuhalisia unampaje mtu zaidi ya 5000 kwa ajili ya short time.?

    Hii ni hujuma vijana wa kileo wanayofanyiwa kwa kubabaika na muonekano ili kiuhalisia bado huo ni mlupo na pochi aliyonayo ni hio hio hata zubeda wa silimang'ombe ndani ndani anayo. Kitendo ambacho asilimia 85 ya vijana hawawezi kuvuka hata dakika 2 ndio mtu analipishwa 10k, 20k, hadi 50k.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu unashabikia CCM?

    Unajua huwa najiuliza na sipati jibu. Hivi inakuwaje mtu unashabikia ccm? Yaani pamoja na mateso yote haya yaliyosababishwa na yanayoendelea kusababishwa na hiki chama inakuwaje kabisa bado unashabikia CCM. Kipindi cha mfumo wa chama kimoja unaweza kusema labda watanzania hawakuwa na uelewa...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Masoud kipanya: Ishara kama Sudani sasa kila mtu anaweza kuwa mamlaka

    Tulimsikia simba chawene kusisitizia jeshi la polisi ila ndio mliwafanya wawe hivyo.
  17. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu mpaka mdogo wako anakutangulia kuzaa? Ni dharau

    Yaani mdogo wako anakutangulia kuzaa aisee ni dharau sana Wazee kuna mjinga mmoja hapa mtaani mdogo wake ana watoto wa 3, yeye hana hata mmoja aisee halafu kampita mdogo wake kwa miaka 5 Huu ni ujinga
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wakitolewa tu madaraka ya ubabaifu wao moja kwa moja ni jela na minyororo mda utaongea hakuna mtu ambaye hata wajibishwa

    Kuna watu wakitolewa tu madaraka ya ubabaifu wao moja kwa moja ni jela na minyororo mda utaongea hakuna mtu ambaye hata wajibishwa. Hii inaenda kuandika historia tofauti Tanzania kuna watu hawatakuwa wastaafu kwa mauwaji waliyo yafanya ni wahalifu na magaidi hatutawaacha.
  19. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Usihukumu Maisha ya Mtu: Kila Maisha Yana Majira Yake

    1. Kamwe usimdharau mtu kwa sababu ya umaskini au hali yake ya maisha Kila mtu anapitia mapambano yake. Leo unaweza kuwa umebarikiwa, una nafasi nzuri na unaishi kwenye mafanikio, lakini kumbuka fedha zina mabawa. Maisha yanaweza kubadilika ghafla. Tajiri wa leo anaweza kuwa maskini wa kesho...
  20. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Si Kila mtu anaweza kupiga kura za tuzo za kimataifa Sheria na vigezo huzingatiwa, mbona hata vichaa wangepiga kura

    Hizo tuzo za kidunia hizi Tunazozijua zinataratibu zake za jinzi ya kupiga kura, na watu wenye sifa za kupiga kura huwa wanaainishwa kwenye website ya tuzo husika, na ili kupiga kura lazima uwe verified kabisa na upigaji wa kura Huwa unakuwa na ratiba ambayo wanatumiwa wenye sifa tu (voting...
Back
Top Bottom