Hii itakusaidia kufahamu madhaifu yaliyopo kwenye familia/ukoo wake kirahisi sana wakati wa uchumba.
Mara nyingi kama kuna jambo la kuaibisha au kishirikina au siri linaongelewa baina ya mchumba wako na ndugu zake ghala utaona lugha inabadilishwa.
Nitoe mifano mitatu tu:-
1. Kwa wachumba...
Posted by a life Dijest
Loving a person is not by force, its by choice, never make the mistake of forcing a person into loving you simply because you love them and you want them to love you in return, if you do so you will continue to beg and force them to do everything there is to be done in...
Nimeona video fupi jamaa anatekwa na anapiga kelele kabisa kuomba msaada mchana kweupe hapo Iringa jirani na nyumba ya Asas. Midume imekaa inashangaa mmoja linasema si awe mpole tu hii inadhohirisha kila mmoja wetu Oktoba 29 atakaa ndani aangalie wenzie wanavyopigwa.
Hvyo hizi za Sasa ni...
Siku ya leo kuna jamaa alikuwa na vipeperushi vingi mno pale kituo kikuu cha train ya SGR.
Na alipostukiwa alianza kukimbizwa na kikosi cha Muliro. Yeye alikuwa na Pipi piki amekimbizwa na kila chombo cha usafiri kilicho kuwa karibu.
Naomba kujuzwa kwa wenye taarifa yeyote.
Naona ile roho ya...
Nasema hivi CCM isipomsikiliza Polepole basi viongozi wengi wa sasa wa CCM watashuhudia chama chao kinafutwa na wataishia magerezani.
Hii video nimeikuta mitandaoni, huyu ni mmoja aliyeamua kujirekodi na kufanya hivi ambaye sikutarajia kama kuna askari watakuja mbele kabla ya muda...
Habari,
Pagination ni nini ?
kitaalamu pagination ni zile buttons za next and prev hizi zinakuwezesha kuona comment zaidi zilizo hide mfano 1, 2, 3, 4, 5, 7 ambapo hapa jamiiforums zipo pale kwenye comment section tupo pamoja.
Mfumo wa pagination unaotumika sasa hivi kwenye JamiiForums (ule...
Kwenye mahusiano ni ngumu kumpata mtu aliyenyooka kila mtu anavipengele vyake , utajikuta kila siku unabadilisha mtu , inatakiwa upime, kuna tabia zinazoweza kuvumilika na zisizoweza kuvumilika unaangalia ni nani ana unafuu
Uvae uniform ya kijeshi hata inayofanana kwa mbali, upite sehemu yao hata kwa bahati mbaya, u overtake gari yao, n.k. wao huona ndio nafasi ya kuweza kuonea raia na kujichukulia sheria mkononi
watakufuata bila kutaka kujua sababu yoyote, watakuchangia kukupa kipigo kikali, kukurukisha kichura...
Epukana na mazoea na hawa maaskari. Haijalishi wewe ni raia mwema au mtu wa madili(naeleweka nikisema mtu wa madili). Kutana nao pale palipo na ulazima . Na mazoea yasi extend zaidi ya hapo.. kama mtaala wao unaotumika pale Ccp Moshi kuwafundisha usipobadilika basi epukana tu na mazoea nao...
Kufanya kazi na Watanzania ni changamoto sana kwa kweli.
Labda mnisaidie kuelewa, muda si mrefu nimeingia ofisini hapa kuanza majukumu yangu ya siku.
Nimefika tu, kuna chawa wangu mmoja akaniletea kaumbea kuwa kwenye kikao chao cha idara yao huko, kuna mtu amenizungumzia kuwa nawabana sana na...
Wakuu,
Akizungumza kwa njia ya mtandao Wilbroad Slaa ametaka Watanzania kuvaa nguo nyeusi ili kuonesha kumuunga mkono Tundu Lissu hasa siku ya kesho ambapo kesi ya Lissu itakuwa inasikilizwa
"Asubuhi kesho vijana wavae nguo nyeusi ishara ya kuonesha kuwa huyu Jemdari wetu tuko pamoja nae"
Mwezi uliopita niliona muwindaji amemkamata mwewe akamkata na mkasi kachaa!!! mara moja miguu yake miwili, chakushangaza mwewe aliishiwa ujanja kabisa ila kucha na vidole vyake vikawa vinanikamata mikononi mwangu vilikuwa vinaendelea kufanya kazi licha ya kuwa vimetenganishwa na miguu ya yule...
Yaani nafikiria tu nikiiba naweza kesho nikaenda kwa mwenyewe nikamuomba msamaha na akanisamehe. Haya sasa je ukimtoa mtu roho hata ukaenda mbele za mungu kuomba msamaha bado utakuwa hauna amani.
Maana haujui kama umesamehewa ama namna gani.
Niaje waungwana
Ni nature kwa kila binadam kufa au kufiwa. Nikimaanisha kuwa kila mwana JF anaesoma, na asiesoma thread hii including myself tutakufa, tutafiwa au pengine tayari wengine tumeshafiwa.
Sasa kwa wale ambao tumeshawahi kufiwa na wapendwa wetu mfano mzazi, mke, mume, mtoto, ndugu au...
Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Bavoo Junus, amewaonya wananchi kuepuka kujadili masuala ya kisheria bila kuwa na uelewa wa kutosha, akisema kitendo hicho kinasababisha upotoshaji unaoweza kudhoofisha imani ya jamii kwa taasisi za sheria.
Akizungumza leo Ijumaa, Septemba...
Watafiti wanadai hii inatokana na mazingira duni "darkie" anapitia. Nigger anasavaivu shida na dhiki anavyokua. Na akizikamata anatafuta attention kwa fujo, dhihaka na madharau.
Kuna hii concept ya "Open relationship" kwamba wewe uko kwenye mahusiano na mtu lakini mnapeana ruhusa ya kuwa na mahusiano na watu wengine nje ya mahusiano yenu.
Miezi kadhaa iliyopita niliwahi kukutana na rafiki yangu ambaye niliwahi kufanya nae kazi miaka ya nyuma. Ni kijana flani hivi mzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.