Kuna mtu anakuwa na hurka ya kuchakalika kutafuta kwa namna yoyote na kwa mahali popote. Unakuta anaijua science kuzifukuzia fursa na kuzivumbua nyingine ila ikija sasa katika usimamizi wa kile alichopata, anatetereka.
Kuna mtu yeye usimamizi na menejimenti ya mali, funds na resources ndio...
SIFA KUU TANO ZA MTU MASKINI AU UTAKUWA MASKINI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Umaskini ni kama nguo. Yes ni Vazi ambalo mtu huamua kulivaa au pengine huweza kuvalishwa. Lakini asilimia kubwa ni vazi ambalo MTU huamua mwenyewe kulivaa.
2. Maskini ana sifa zake ambazo humtambulisha na...
Nimepata mdau ameniomba aweke mtaji kwenye ofisi yangu kesho ndo nataka nikamsikilize.
Ila ni kuongeza bidhaa ofisini
Mm plani yangu ni kama ataongeza mtaji basi nilitaka nimwambie mtaji wake tuweke kwenye simu ndogo za batani radio za kuchajisha na sabufa zisizo zidi Bei ya 120
Na bidhaa...
KWA MUJIBU WA DINI ZOTE TULIZOLETEWA; HAKUNA DHAMBI WALA KARMA KUMTENDA UBAYA MTU ASIYEJAMII YAKO, NDUGU YAKO. WAAFRIKA TUACHE KUAMINI KWENYE UJINGA.
Anaandika, Robert Heriel
Yule Kuhani Katika Hekalu Jeusi.
Mtibeli.
1. Leo nitafundisha self awareness. Ili watu waache kujidanganya.
2...
NAFSI YA MTU.
Watu pori a.k.a washamba a.k.a washamba a.k.a washamba /nyani wapya msitu wa zamani beat mjerumani mambo yote kwa Bonnie/
Verse ..1 ( mc koba)
Sikiliza haya ninayo kueleza leo na kesho usije kuyapuuza / kwenye mizizi ya Dhambi wivu ndio Unaongoza / kwa upande wa Mema upendo ndio...
Hakuna jipya chini ya jua.
Tangu enzi na enzi, kila dikteta lazma awe na mtu wa kutekeleza mipango ya kimafia au unyama.
Mara nyingi watu hawa huwa hawawajibishwi na mamlaka zozote za kiserikali bali tu kwa wale wanaowatuma.
Idd Amin alikuwa na Brigedia Jenerali Isaac Malyamungu.
Huyu alikuwa...
Wakati fulani nikiwa Dodoma mwaka 2022, siku moja msafara wa Rais Samia (presidential motorcade) ulikuwa ukitokea Airport Dodoma kuelekea ikulu chamwino. Nadhani na yeye alikuwa anarejea kutokea nje ya nchi).
Sasa nakumbuka siku hii Mimi nilikuwa nimetumwanatokea benki ya Nmb tawi la Bunge...
Nahitaji mtu wa kinifanyia Config ya DOCKER, PORTAINER, CONTAINERS kama vile Pi hole, Nextcloud, Tailscale-vpn, Paperless ngx, Media automation kama vile SONAAR kwenye NAS SERVER.
0715 240140
Ukisikia ule msemo kua nakupemda wewe na huyo mke wako ndio unatumika hapa sasa
Wasanii gach na yammtzy wamefikishana polisi sababu kubwa kugombania bwana ambae ni mume wa mtu mwiz wa kwanza alikua ni gach mwiz akaibia na yamm mwiz wa kwanza akaemda polis kushtaki vijana tutafute hepa...
A: JIBU LA KILOGIC (MANTIKI)
Je, Mungu anaweza kuwa mtu?
Ndiyo au Hapana hutegemea ufafanuzi wa “Mungu”.
Ikiwa Mungu ni:
1. Asiyekuwa na mwanzo wala mwisho
2. Asiyepungukiwa na chochote
3. Asiyefungwa na muda, nafasi, njaa, usingizi, maumivu, au kifo
Basi kwa logic safi:
Mungu hawezi kuwa...
Kuna watu wengi sana wanapenda kufanya biashara, kuandika mitandaoni, kufundisha, au kutangaza huduma zao… lakini wanakwama sehemu moja: “Sijui design.”
Zamani ilibidi ujifunze Photoshop kwa miezi mingi au umlipie designer pesa nyingi ili tu upate poster moja.
Lakini leo hali imebadilika...
Kesi ya Lissu: Shahidi anasema hajui kama kuzuia uchaguzi, kuandamana ni kosa sasa mtu kama huyu ameendaje mwenyewe polisi kushtaki kosa?
Kuna upumbavu mwingi sana kwenye jeshi la polisi lazima wahusika wa upumbavu huu watawajibishwa. kijana ameshinikizwa na polisi kuja kuongea vitu asivyo...
Nguruwe na kisamvu cha kopo vyote haramu ila angalau nguruwe amehalalishwa kuliwa kwa kiasi kidogo kama hapo ulipo umekosa kabisa chakula na nguruwe ndo nyama pekee iliyopo inalusiwa kula kidogo ila usishibe ila kisamvu cha kopo hakirusiwa kuliwa na umuoni mtume.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.