mtu

  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Bongo mtu akistaafu ndiyo anaanza kufanya kazi

    Tanzania tuna utaratibu wa kushangaza. Mtu akistaafu ndiyo anaanza kufanya kazi, tena kwa bidii na maarifa zaidi. Huko ughaibuni mtu akistaafu anaanza kusafiri kutalii. Anatulia akiburudika na michezo au hobby mbalimbali. Huku kwetu hali tofauti kabisa. Mtu akistaafu ndiyo kazi inaanza. Tena...
  2. royal tourtz

    JamiiForums Tanzania Unamchukuliaje mtu ambaye mnapokutana kwa muda mfupi tu, tayari ameshajinadi sifa zake zote?

    Za jumapili wadau. iko hivi, Unaweza kutana na mtu yeyote inaweza kuwa kwenye gari au njiani au kaja hapa hapo dukani au ofisini kwako kwa namna yoyote ile.. Ile katika kuongea ndani ya nusu saa ameshakuambaia kazi anayofanya, mshahara, wanawake aliopitia kama ana nyumba au gari.. au gharama...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Lyatonga Mrema adaiwa kupora mke wa mtu

    Ina maaana Mrema na ushushu wake hakufanya due dilligence? Sasa mbona anadaiwa kupora mke wa mtu? 👇 Ndoa ya Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema imeibua utata na kusemekana kuwa ni batili kufuatia uwepo wa madai kuwa mwanamke aliyefunga nae ndoa, Doreen Kimbi...
  4. G.Man

    JamiiForums Tanzania Men Talk: Kuhusu Single Mom's

    Habari MMU Niaendee moja kwa moja na hoja yangu, Nimekuwa nikiona nyuzi nyingi sana kwenye mitandao, nimeskia stories vilingeni na kushuhudia baadhi ya mikasa kuhusiana na hawa dada zetu. Kote huko comments kutoka kwa wanaume huwa ni mbaya tu, kejeli , matusi na lawama nyingi sana, Wakati...
  5. BLUE BALAA

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuwekeza mtaji kwenye biashara ya utalii

    Mimi ni mfanya biashara wa mambo ya utalii katika malazi na ushauri wa biashara katika mambo yanayo husiana na uwekezaji katika biashara ya utalii. Nina uzoefu mkubwa katika biashara hii na ni msomi wa ngazi ya stashahada na shahada ya utalii na utawala wa biashara. Nimeyumba katika biashara...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ni heri ununue kitu cha gharama ndogo sawa na pesa yako kuliko kununua kitu mikononi mwa mtu. Unaualika umaskini ukutawale zaidi

    Habari! Nimejisikia kutoa ushauri katika jambo hili la kiuchumi. Kutokana na hali za maisha watu hujikuta wakinunua vitu vilivyotumika almaarufu used. Vitu kama sofa, simu, computer, baiskeli, gari, pikipiki n.k ili tu waendane na wakati au waendane na marafiki zao. Kwa kufanya hivyo hutatui...
  7. Gadget_accessories_tz

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu aliyesoma Computer Science

    Kama kichwa Cha habari kisemavyo Kuna projects nafanya inahusika na biological database, natafuta mtu aliyesoma computer science na anakaa Dar asiwe na kazi sababu mda mwingi atakua kwenye hii project Vigezo Awe amemaliza chuo mwaka jana Awe na uwezo wa kufanya presentation bila uoga au...
  8. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Tanzania mtu anaweza kuwekwa kizuizini nyumbani kwake?

    Wakuu salama? Naimbeni mnijuze, kwa nchi ya Tanzania, mtu anaweza kuwekwa kizuizini nyumbani kwake? Kama ndio ni sheria ipi hiyo inaruhusu katika katiba yetu?
  9. perky

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa kuanzisha biashara ya bakery Arusha

    Nina idea ya hiyo biashara soko lipo Ila mtaji changamoto mwenye uhitaji mawasiliano 0677603842
  10. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ngumu kweli, eti mtu kashaliwa kichwa

    Hii nchi ni ngumu sana wadau, eti hapo mtu kashaliwa kichwa Hali ya kuwa alishawahi kuitwa Interview 2 na akafanya. Alafu hawataki hata kupitia tena majina maana wengine walipeleka kwa Hakimu Ila bado wameandikiwa vivyohivyo. Hii nchi ngumu sana inafikia kipindi mtu unawaza Why umezaliwa nchi...
  11. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

    Yaani hii sehemu si J3, si J4, si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki? Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
  12. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Kwa videos zile mbili MO Dewji na GSM wakipiga danadana, nazidi kuthibisha simba tunapigwa kweupe

    Nimeshuhudia jinsi Watu hao wawili wakijirecorf video namna wanavyouchezea mpira kwa danadana Tukianza na GSM huyu jamaa alipiga danadana vizuri na kuuuweka mguuni mpira vizuri Sana yaani inaitwa control chumba na sebure halafu hakukaza mguu huyu ni mtu wa soka kweli. Tukija kwa tajiri yetu MO...
  13. nyboma

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana kuona mke wa mtu akichukuliwa mbele ya macho yangu

    - Kwa ufupi vijana wa sasa mna tabu sana maisha yenu ya sasa yamejaa anasa kwelikweli. - Nawaonea huruma sana maana mnazungukwa sana huko maofisini. - Ngoja nipambane na maisha yangu hawa vijana niwaachie maisha yao. - Hakika kikulacho kiko nguoni mwako.
  14. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu unaanzaje kumchukulia rafiki yako mchumba wake?

    Hivi huwa mnaanzaje? Hata hamuwaonei huruma rafiki zenu? Waachie watu wa mbali wamchukulie mchumba wake lakini sio wewe unaemfahamu vizuri tu rafiki yako. Unawajua vizuri na umeshuhudia mapenzi yao mara nyingi tu halafu leo bila aibu unaenda kuwatenganisha kwa kitu ambacho hata hujui kama...
  15. Mr sule

    JamiiForums Tanzania Degree ni Kigezo cha mtu kufanikiwa maisha?

    Kumepekuwepo na mijadali mingi sana kuhusu hili swala, hasa katika nchi zetu za africa mfano Tanzania. Tanzania mwanachuo anapomaliza chuo na kupata Degree yake basi huwa anahisi maisha ameyamaliza. huwezi kumwambia chochote utasikia mimi nina Degree yangu wewe wa darasa la saba utaniambia...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Cha Mtu Mavi...

    Ukielewa hii methali basi itakusaidia sana: 1. Kuepukana na tamaa. 2. Itakusaidia kufurahia mafaniko ya wengine bila kuwaonea wivu wala kuwachukia. 3. Itakupa nguvu ya kuongeza jitihada ili uweze kupata cha kwako. Pia, ukimfundisha mtoto wako huu msemo utamsaidia sana: 1. Kutokuwa mwizi au...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mtu aliesema hata mpinzani akishinda uchaguzi asitangazwe, ni lazima aenziwe hata kwa unafiki kwani kawabeba wengi

    Msitarajie watu walioshinda uchaguzi na wengine kupata vyeo serikalini kwa msaada wa mtu ambae alikuwa adui wa demokrasia, watu hao waache kumtukuza mtu wa aina hiyo, na inawezekana pia wanafanya yote haya ili na huyu aliepo sasa nae awabebe. Waacheni wahangaike kwani wengine saa hizi wangekuwa...
  18. khomgodlove

    JamiiForums Tanzania Elizabeth Báthory: Muuaji wa kike aliyeua watu wengi kuliko mtu yeyote

    Uhalifu wachache wa wanawake umejirudia katika historia kama ule wa Countess Elizabeth Báthory de Ecsed. Hata kama hujui jina hilo, basi kuna uwezekano kwamba umesikia hadithi kuhusu huzuni yake ya hadithi. Labda unafahamu kwamba ana heshima ya kutiliwa shaka ya kuwa muuaji wa kike mwenye uwezo...
  19. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Wakili amtaja mtu atakayemuokoa Makonda mgogoro dhidi ya GSM, afafanua kosa alilofanya kisheria

    Mgogoro wa kuwani eneo uliopo kati ya Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabishara maarufu Ghalib Said Muhamed (GSM) unaendelea na hadi sasa kila upande unavuta upande wake ukiamini wenyewe ndiyo una umiliki halali wa eneo hilo. Tayari GSM kupitia Mwanasheria, Alex...
  20. Forest Hill

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kisheria kwa mwanamuziki kumtaja mtu au brand kwenye nyimbo yake bila ridhaa yake?

    Habari zenu ndugu zangu, hii thread sio kwaajili ya kejeli au kusutana, nauliza nataka kujua kwa wenye ujuzi wa Mambo haya, je ni sawa mwanamuziki kumtaja mtu au brand fulani kwenye nyimbo yake bila ridhaa ya mtu huyo au kampuni husika? Vipi kuhusu kuipa nyimbo jina la mtu au brand fulani...
Back
Top Bottom