Nimesikitika sana kuona mke wa mtu akichukuliwa mbele ya macho yangu

nyboma

JF-Expert Member
Aug 29, 2021
2,199
6,890
- Kwa ufupi vijana wa sasa mna tabu sana maisha yenu ya sasa yamejaa anasa kwelikweli.

- Nawaonea huruma sana maana mnazungukwa sana huko maofisini.

- Ngoja nipambane na maisha yangu hawa vijana niwaachie maisha yao.

- Hakika kikulacho kiko nguoni mwako.
 
Hayaja kukuta hivyo usiongee hivi boss wangu
Mkuu usichukulie Sana serious Sana k ambayo haipo kwako.

Kwani unadhani Hana nafsi Kama yako.

Akiliwa haichi makombo anakojoa sijui zile huwa zinatoka baada ya muda gani inakuwa Safi.

Kibaya ni magonjwa tu. Hata mababu waliyajua haya kabla hajafika nyumbani anapiga mruzi ama kelele kwa kuimbaimbaa tu, ama anatuma MTT anatangulia na kamfuko nyumbani mkuu.

Yaani mkeo kuchepuka ni ishu ya kawaida.

Ni sawa kuwa uwe na mshahara wa milioni kumi uridhike kiasi kwamba ukipewa hata laki tano ka rushwa ushindwe kuchukua
 
Naomba isinikute ninavyompenda mama A naomba inikute nikiwa nimekufa maana nipo na wivu sana boss wangu Digba
Mkuu jiandae kwa lolote na huo ndo uanaume, wanawake hakika hawaaminiki, binafsi sijali hata Kama itatokea hivyo, what I care is my life and that of who are depending on me!!!


Kama mwanamme hupaswi kuwekeza nguvu na Imani yako kwa mwanamke
 
Toka zamani ipohiyo sema sikuhizi iko njenje Sana jamaa anakununulia komoni hapo anakuaga nimeitwa anaenda anakazaa mkunyunge anarudi mnaendelea kuupiga na mkeo anaitwa akatafte hasusa mshikaki Fulani hivi wewe mwenyewe mwenye mke unamwita mama gito hegelage konoo. Tuliosoma mkwawa high school zamani tunarahaa Sana
 
- Kwa ufupi vijana wa sasa mna tabu sana maisha yenu ya sasa yamejaa anasa kwelikweli.

- Nawaonea huruma sana maana mnazungukwa sana huko maofisini.

- Ngoja nipambane na maisha yangu hawa vijana niwaachie maisha yao.

- Hakika kikulacho kiko nguoni mwako.
Ndio maana naomba Mungu nisije oa mwanamke anaefanya kazi ofisini.
Kwa kweli ninachoonaga nazidi kukata tamaa ya kuoa
 
Kwani mkeo hafanyi kazi ofc au mama wa nyumbani

Nimewahi ona mama mmoja anaambiwa amkataze mkwe wake kwenda kazini kwani huko ndiko umalaya kupo amwambie mwanae amfungulie duka ashinde nalo tu Hapo nyumbani.

Binti aligoma kuacha kazi kabisa akaona Bora waachane na mtoto wao ila siyo kuacha kazi

Sasa kumbe ule mtaa wanawake wote walikoko manyumbani ndio wanaongoza kuliwa na mabodaboda na vijana wadogo. Na ushahidi pia upo.

Hivyo Kazi Kazi tu muhimu kuliko kushinda omu
 
Ndio maana naomba Mungu nisije oa mwanamke anaefanya kazi ofisini.
Kwa kweli ninachoonaga nazidi kukata tamaa ya kuoa
Kwa nilichokifanya kwenye house party kwa supervisor wangu wa kike nikifikiria na ya huyu mke wa jirani.... naomba niongozwe Sala ya Toba..... kabla ya mama yoyoo (niliyekuta sms ya mchepuko wake kitambo hicho,... tukayamaliza) hajanistukia!


Life is too short....
 
Back
Top Bottom