Je, kuna mtu yeyote aliyefanikiwa kumrejesha mpenzi wake wa zamani(ex)? Ulifanyaje?

Mowwo

JF-Expert Member
Aug 15, 2015
327
232
Wakuu nadhani mko poa

Katika maisha ya mahusiano, kuna wakati mnatofautiana au zinatokea changamoto mpk kupelekea kuachana au kutengana. Kumrudia mpenzi wangu wa zamani(my ex) Huu haukuwa mpango wangu, siku zote nilikubali hali halisi na kuendelea kuishi maisha yangu bila wao(katika mahusiano yote niliyopitia).

Waliponiacha, niliheshimu maamuzi yao, nilitulia na kuwatakia kila la kheri. Kisha sikuwasiliana nao, lakini kwa nia kuendelea kuishi maisha yangu bila wao kuwa sehemu ya maisha yangu ya baadaye. Kwa sababu nilionyesha kutokujali, kujitenga na kuwa tayari kuendelea.

Tatizo kuna ex wangu mmoja natamani kurudisha mahusiano yangu kwake. Najiskia kumpenda sana, najutia kumuacha, sasaivi amekua mzuri sana🤭 na tayari tunawasiliana. Tatizo hataki mahusiano na mimi tena. Wewe ulitumia mbinu gani kumrudisha ex wako? Uligharamika kiasi gani? Mahusiano yalidumu?

======

Soma pia > Namna ya kumrudisha X wako bila ya kuumiza kichwa wala kuonekana king’ang’anizi
 
Wakuu nadhani mko poa

Katika maisha ya mahusiano, kuna wakati mnatofautiana au zinatokea changamoto mpk kupelekea kuachana au kutengana. Kumrudia mpenzi wangu wa zamani(my ex) Huu haukuwa mpango wangu, siku zote nilikubali hali halisi na kuendelea kuishi maisha yangu bila wao(katika mahusiano yote niliyopitia).
Baada ya miaka 5 alirudi

Baada ya miaka 3 alirudi

NitaendeleA....

Huyo wa juu na mimba juu nimemjaza

Note....tuliachana in peaceful
 
Aise ata mie ngoja nipate tips hapa. Kuna mwanamke natamani sana nirudishe majeshi ila dah kama kaniwekea kauzibe ila sometimes ana respond vizuri tukichat....tupeni mbinu wajuzi wa mambo
Mkuu uko kwenye situation yangu kabisa yani. Nikirudisha majeshi pale naona kama ntakua nimewin kinoma
 
Baada ya miaka 5 alirudi

Baada ya miaka 3 alirudi

NitaendeleA....



Huyo wa juu na mimba juu nimemjaza

Note....tuliachana in peaceful
Mkuu tupe madini, ulifanyeje? Mbona anakubal kuchat au kumuona lkn hataki mapenz?
 
Back
Top Bottom