Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,666
- 15,884
Hii imekaaje wakuu yaani unamfikiria mtu baada ya siku 2 au 3 unakutana nae njiani ni mazi gaombwe au muujiza wakuu
Kila kitu kwako ni uchwawi! Ushetani huoHii imekaaje wakuu yaani unamfikilia mtu baada ya siku 2 au 3 unakutana nae njiani....ni mazi gaombwe au muujiza wakuu
We nae unataka ujue kila kitu....ndio maana Ndugu zako wanakuona mjuaji sana!!!Hii imekaaje wakuu yaani unamfikiria mtu baada ya siku 2 au 3 unakutana nae njiani ni mazi gaombwe au muujiza wakuu
Mimi sio mjuaji nina umri wa babu yakoWe nae unataka ujue kila kitu....ndio maana Ndugu zako wanakuona mjuaji sana!!!
Acha ujuaji dogo...be humble!!!
Unaona!!!!...unaona!!!....wadau mnamuona huyu jamaa....huyu jamaa mjuaji sana asee!!! Nawashauri jf wampige ban hata ya mwaka mzima!!! mjuaji sana huyu jamaa....sijui wa wapi huyu mtu!!! Hovyo sana asee!!!!..Atakua shabiki wa simba huyu...mjuaji sana!!!!Mimi sio mjuaji nina umri wa babu yako
Mjuaji babaakoUnaona!!!!...unaona!!!....wadau mnamuona huyu jamaa....huyu jamaa mjuaji sana asee!!! Nawashauri jf wampige ban hata ya mwaka mzima!!! mjuaji sana huyu jamaa....sijui wa wapi huyu mtu!!! Hovyo sana asee!!!!..Atakua shabiki wa simba huyu...mjuaji sana!!!!
Acha ujuaji jombaaa....hamia yanga!!!! Hiyo timu ya maboya inakuharibu!!!!Mjuaji babaako
Nitumie usafiri nihamie yangaAcha ujuaji jombaaa....hamia yanga!!!! Hiyo timu ya maboya inakuharibu!!!!
Hii avatar yako Ina picha ya polisi...kwani ndio wewe hapo? Kama ndivyo...sitaki mazoea kabisa na watu kama nyie.....achana na Mimi kabisa!!! Nyie watu wajuaji sana!!! Mnakamata watu hovyo....kila mtu mnamwita Panya road....,nyie watu wa ajabu sana!...Sitaki mazoea na wewe tena!!! Nyie watu wajuaji sana nyie!!!Nitumie usafiri nihamie yanga
Sasa kama una sura ya panya road kwanini usikamatweHii avatar yako Ina picha ya polisi...kwani ndio wewe hapo? Kama ndivyo...sitaki mazoea kabisa na watu kama nyie.....achana na Mimi kabisa!!! Nyie watu wajuaji sana!!! Mnakamata watu hovyo....kila mtu mnamwita Panya road....,nyie watu wa ajabu sana!...Sitaki mazoea na wewe tena!!! Nyie watu wajuaji sana nyie!!!
Hawa jamaa wa jf wanalala sana siku hizi....,Maxence Melo tumbua watu wako...., huyu jamaa ni polisi...afu mjuaji sana!!! Majuzi wamekamata raia wema pale Sterio wakasema ni Panya road.... Huyu jamaa mjuaji sana!!!!Sasa kama una sura ya panya road kwanini usikamatwe
Bado wewe....na wakikukamata hawakuachiiHawa jamaa wa jf wanalala sana siku hizi....,Maxence Melo tumbua watu wako...., huyu jamaa ni polisi...afu mjuaji sana!!! Majuzi wamekamata raia wema pale Sterio wakasema ni Panya road.... Huyu jamaa mjuaji sana!!!!
Sema nini Polisi wangu....huyu jamaa yenu wa sasa hatumsikii kabisa Uraiani....Kamanda Sirro alikua mjuaji sana ,...inavyoonyesha asilimia kubwa ya jeshi lenu lina watu wajuaji wajuaji sana.Bado wewe....na wakikukamata hawakuachii
Nadhan kila mtu amepewa power Fulani ambazo huenda hatuzijuiHii imekaaje wakuu yaani unamfikiria mtu baada ya siku 2 au 3 unakutana nae njiani ni mazi gaombwe au muujiza wakuu