Mke wa mtu sumu hasa huyo mtu akiwa kibopa wa Serikali, najuta

Chawa wa lumumbashi

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
793
1,749
Mke wa mtu ni sumu, tena ile sumu inayoua pole pole mwilini. Ama hakika najuta sana, nikiendelea kutongoza mke wa mtu au kuishi na mke wa mtu mniite mbwa nimekaa pale.

Wakuu ama kweli yalionikuta jana siwezi kuyasahau maisha yangu yote hivi inakuaje manjemba watatu wote wanakuja guest na mafuta ya korie ili tu wamle mwanaume mwenzao, ni ushetani kabisa.

Kama unavyojua mimi ni mfanyakazi wa Taasisi moja nyeti hapa nchini, wale wazee wa pale Makumbusho kwahiyo si najiamini tu. Kuna mwanamke au ni mke wa mtu, jamaa ni kiongozi mkubwa sana wa serikali, kiufupi ni mchepuko na huyu mwanamke alinipenda kutokana na akili zangu kubwa sana, akaingia king puuuh huyu hapa, aisee sio poa kabisa.

Basi bwana jana mwanamke nikampanga kwenye guest x pale mbagala, akatimba aisee na manukato na marashi ya Pwani. Akaingia guest x, kuingia tu sikutaka kuchelewa nikapiga kitu xy cha kwanza, sasa wakati namla cha pili nipo kifuani kwake aisee mlango ukagongwa, kutahamaki kipoba huyu hapa na njemba kama watatu hivi wapo na madumu ya korie.

Aisee purukushani purukushani nikawashinda nguvu nikafungua mlango fasta nikatoka nduki na boxer na vest tu. Hiyo ndiyo ikawa pona yangu, bila hivyo tungesema mengine aisee.

Nikatoka nduki mpaka Zakhem nipo na boxer na vest, nikasahu Mark X yangu pale guest na kama milioni 2 kwenye pochi, aisee sio poa.

"Ama hakika mke mtu ni sumu."
 
images.jpeg
 
Mke wa mtu ni sumu tena ile sumu inayoua pole pole mwilini ama hakika najuta sana nikiendelea kutongoza mke wa mtu au kuishi na mke wa mtu mniite mbwa nimekaa pale.Wakuu ama kweli yalionikuta jana siwezi kuyasahau maisha yangu
"Ama hakika mke mtu ni sumu"
Una million 2 kwenye pochi alafu unaenda kwenye guest bubu za uswahilin huu ni uongo hivi chuo mnafungua lini
 
Back
Top Bottom