mtu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua mtu akikwambia nimeenda sehemu maalamu kufanya kazi maalumu ina maana gani?

    kuna mtu wangu wa karibu kuna muda anasafiri ukimuuliza ulikua wapi anasema kufanya kazi maalumu na sehemu maalumu hapo ndo sielewagi kabisa..natamani anaeelewa haya mambo anielezee
  2. JamiiForums Tanzania Chawa hakai kwa watu walio wasafi

    Kumekuwa na huu msemo wa CHAWA kwa muda mrefu sasa. Mdudu chawa ni mdudu anayeishi kwa kunyonya dam za viumbe hai hasa binadam. Kwa tuliozaliwa miaka ile tuliishi nao sana hawa kwenye mashuka, chupi, nguo ama mablanketi yasiyofuliwa, na machafu, wanapenda sana pia kuoshi kweenye nywele chafu...
  3. JamiiForums Tanzania Sheikh Mazinge ukiona mtu mwanasiasa anamtukana Rais Samia basi ujue kachanganyikiwa

    Friends and Enemies... Sheikh Machachari wa minakasha na makongamano nayeye amevunja ukimya DHIDI ya wanasiasa na wale ambao wamekuwa vinara wa kauli chafu na matusi DHIDI ya Rais Samia. Sheikh MAZINGE ameendelea kusema kwamba wengine ndani ya nchi hii walikuwa wakimbizi wakaihama nchi pasipo...
  4. JamiiForums Tanzania Wakenya wamjibu yule Mtu aliyetutisha Watanzania kuwa tusipowakubali DP World watahamia Kenya na tutajuta

    "DP World tunawakaribisha hapa nchini Kenya kuwekeza katika Bandari zetu ila msitegemee kama tutakuwa Mazuzu kwa Kuingia nanyi Mkataba kwa Kukurupuka na bila Kufuata Vipengele vyote muhimu kwa Maslahi ya Kenya na Wakenya wote" Haya Wewe Mtu umewasikia Wakenya?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mtu akiingia Ikulu kwa "ndodndokela" anakuwa hana ajenda (anapuyanga). Tuliyaona kwa Magufuli na sasa tunayaona kwa Samia

    Kuna hadithi ya mfalme aliyetaka kumuoza binti yake kwa mwanaume jasiri atakayeweza kuogelea kwenye bwawa la mamba mpk kulivuka na kufika upande wa pili . Wakiwa wamejipanga pembeni ya bwawa mwanaume mmoja alisukumwa na mwanaume mwenzake. Yule mwanaume alidumbukia ndani ya bwawa na kwa bahati...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Naomba mtu mwenye ramani ya nyumba ya kisasa vyumba 4

    Kama una ramani yenye vipimo tupia ndugu ,na mimi nianze project mdogo mdogo,Hela ya soda haukosi,barikiwa sana
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, unaweza kumpa mtu nafasi ya kumiliki utambulisho wako milele kwa gharama ya Ksh. 7,000 (sawa na Tsh. 120,000/-)?

    Watu wengi wajitokeza katika maeneo mbalimbali jijini Nairobi, Kenya kuandikisha utambulisho wao wa kipekee kupitia mboni ya jicho kwenye Kampuni inayoitwa Worldcoins, ambapo kama malipo wanapewa sarafu za kidigitali zenye thamani ya 7,000 za Kenya na mpaka sasa zaidi wa watu 50,000...
  8. JamiiForums Tanzania Je, mtu akiandika comment mbovu mtandaoni akiwa amelewa, anawajibika kisheria?

    Mfano mtu akaweka comment ya kumdhalilisha Rais akiwa katika hali ya kulewa, anakuwa responsible au anakuwa exempt?, sheria inasemaje?
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nimeyakanyaga kwa mke wa mtu

    Wakuu habari. Wiki mbili nyuma katika pita pita zangu nilifanikiwa kukutana na mrembo wa kinyarwanda ambaye ni alikuwa jirani yangu zamani kidogo na pia ni mke wa mtu. Ambaye tulipiga story mbili tatu na mwishowe tukabadilishana namba!. Badae kilichofatia tukakubaliana tuonane na...
  10. JamiiForums Tanzania Kwenye Soka amewahi kutokea mtu muongo kama Haji Manara?

    Sina umri mkubwa katika kufuatilia soka nje ya uwanja. Sijawahi kushuhudia mtu muongo kama huyu Haji. Sijui wenzangu mtusaidie kama aliwahi kutokea mtu muongo na mfitini kama huyu kwenye soka.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu bado anabisha uwepo wa SUKUMA GANG ndani ya CCM? Lissu kawafariji wamenyanyuka kwa shangwe

    Tanzania kuna watu wanateseka kisiasa ila wamejificha; Tanzania imegawanyika; Tanzania haiwezi kuponywa majereha ya watawala kwa madaraka wala miradi ya maendeleo tunahitaji haki, usawa na ukweli. Kauli ya Lissu kwamba JPM hakuwa mwizi kama wengine; kwamba hakuuza nchi kwa mikataba imetufanya...
  12. JamiiForums Tanzania SoC03 Unamuwajibishaje mtu anayemiliki maisha yako?

    Itakua 2030, Greta Thurnberg ataenda kuandamana Riksdag kupinga mabadiliko ya tabia nchi. Itafika 2050, kamati ya Nobel itampatia tuzo ya mafanikio ya maisha kwa kubakiza dunia chini ya 3.5°. Ilikua hivyo pia kwa Martin Luther King. Alikufa kwa ajili ya haki za watu weusi lakini 2020 Derek...
  13. JamiiForums Tanzania Iringa: Ahukumiwa kunyongwa baada ya kumbaka na kumuua Mke wa Mtu

    Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imemuhukumu kunyongwa hadi kufa Mwanaume aitwaye Mohamed Njali kwa kosa la kumbaka na kumuua kwa kumkaba Atika Chesco Kivanule (24) September 25, 2022 saa saba usiku wakati Mumewe akiwa kwenye banda la video kutazama pambano la ngumi la Mandonga vs Salim Abeid...
  14. JamiiForums Tanzania Allen Swift, mtu anayeshikilia rekodi ya kuendesha gari moja tu kwa miaka 82

    Mr. Allen Swift. Alizaliwa: 1908. Akafariki: 2010. Huyu mwamba aliendesha gari moja tu, gari hilohilo peke yake kwa miaka 82. Hebu fikiria umiliki na kuendesha gari moja tu kwa muda wote huo! Mr. Allen Swift ( Springfield, MA ) alipewa zawadi ya gari hili mwaka 1928 Rolls-Royce Piccadilly-P 1...
  15. JamiiForums Tanzania Simba Sc yapiga mtu 2-0 Uturuki; Friendly Match

    Simba Sc ikiwa inacheza kwa kasi kama umeme imepiga mtu 2-0 huko Uturuki. Hii ni mechi ya mchana tu,jioni ya saa 12 tunapiga game nyingine. Hii ni tahadhali kwa timu ndogo ndogo na zile za CAF Champs Nguvu Moja
  16. JamiiForums Tanzania Haya ndio maumivu au uchungu wa kifo unaompata mtu anayekufa 'Sakaratul-Mauti'

    Jina lingine huitwa ''Ulevi wa kifo'' haya ni 'maumivu ya kifo' au mafuriko ya mauti. Hakika Kila nafsi itataabika wakati wa mauti yake. Kwetu sisi waislamu tunazo dalili ambazo humpata mtu siku 40 kabla ya kufa kwake. Nafsi zetu ipo siku zitalipwa adhabu ya udhalili kwa sababu zilikuwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tuwekane sawa: Dini hujenga mitazamo ya mtu, vyama vya siasa vichukue mikondo ya kimakundi

    Asalam, Hoja: Kuhuhusu mitazamo, mantiki, ufikiri na misingi ya maamuzi. Nimeona mivutano na uongo mwingi kuhusu dini, imani, madhehebu,, makabila, ukanda, jinsia nakadhalika kutumika katika kukanya, kuzuia, kuhimiza na kuogofya kutumika kama misingi ya kifikra katika kufanya maamuzi au kutoa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Siasa ni mfumo wa maisha, hakuna namna mtanzania ataacha kujihusisha na siasa.Tuwaache waongee,wakosoe. Uzalendo na maslahi ya taifa yazingatiwe

    Wanabodi Nianze kwa kuchukua tafsiri ya neno Siasa kutoka Wikipedia Dictionary Politics (from Ancient Greek πολιτικά (politiká) is the set of activities that are associated with making decisions in groups, or other forms of power relations among individuals, such as the distribution of...
  19. JamiiForums Tanzania Ikitokea DP World wakachoka na Upuuzi wetu na kuhamia Kenya, nisisikie Malalamiko haya kwani 'Nitapiga' Mtu

    1. Vyuma vimekaza ( Pesa hakuna ) 2. Ajira hakuna 3. Rais Samia hafai 4. Uchumi wa nchi Unaanguka 5. CCM haifai 6. Hatuvutii Uwekezaji 7. Nchi inachelewa Kimaendeleo Mpuuzi yoyote nikimsikia akiyasema haya Saba ( 7 ) niliyoyataja hapa juu kama DP World wakichoka na Makelele yetu ya...
  20. JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Waislamu teteeni mtu kwa sababu ya haki, msitetee mtu kwa sababu ya dini

    "Tulimpinga Hayati Rais Magufuli kwa miaka mitano hawakusema kwa sababu ni mkristo,Leo tunampinga Rais Samia wanasema kwa sababu ni Muislam,wajinga nyinyi" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariYetuTemeke. "Mashehe wengi waliwekwa jela wakati wa Utawala wa Rais Kikwete hawakusema kwa sababu ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…