mtu

  1. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu, kuna mtu anaweza kuniangalizia namba ya NIDA?

    Habari zenu, nimekwama nahitaji kuangalia namba ya NIDA ya binti yangu, ila nikiingia kwenye wrbsite ya NIDA naingiza taarifa vzur inagoma! Mwenye uwezo wa kunisaidia wakuu🙏
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi na Mashabiki wa Simba amkeni Mapema ZAMALEK Alianza hivihivi Ila leo kila Mtu anajipigia tu

    Habari wanajukwaa! Kuna Msemo Maarufu sana kwenye Lugha Yangu Adhimu ya KISUKUMA unasema "KASEKASEKA KA LILALILA" Ukiwa na Maana ya kwamba Utanitani Kama unachekacheka hivi Mwishoe utalia tu. Wanasimba Chukueni huo msemo kaeni nao halaf angalien ZAMALEK Leo hii Kila Mtu anajipigia tu saiv wa 9...
  3. JamiiForums Tanzania Nimeyatimba: Nimesex na mtu mwenye HIV, ni kipindi kigumu sana maishani mwangu

    Ni single mother mmoja ambaye tulikuwa tunawasiliana naye kwa muda kidogo. Tulishaingiza issues za kusex siku nyingi tuu sema kwenye kukutana ni kama kuna kakitu kanatuzuia. Siku kadhaa zilizopita siku ikatimia tukaonana na kufanya yetu ya kikubwa. Tulikuwa tumejiandaa kabisa kwamba tutacheki...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Amekosa mkopo Chuo Kikuu, anahitahi angalau 50% tu

    Alisoma: Primary: English Medium. O level: private. A. Level: government Occupation: 1. Baba: mkulima. 2. Mama: mama wa nyumbani. Dogo ndio anashughulika na appeal yake now. Anataka ata least apewe hata mkopo wa asilimia hamsini tu. Je, kuna namna anaweza kusaidiwa katika hilo? Afanye...
  5. JamiiForums Tanzania Upinzani acheni kumu-underrate Makonda, mnapotezwa , Jamaa anaitangaza CCM kwelikweli, hatangazi Mtu!

    Kasi ya Mh Makonda ni Hypersonic , Huyu mtu ana Sayansi ya Siasa, endeleeni kumchafua na kumuona wa Kawaida !!. Anachofanya Makonda ni kuisafisha CCM kupitia Majukwaa, Maelekezo anayotoa mbele ya Majukwaa ni vitu ambavyo Watanzania hususan Wanyonge wanavyotaka Kusikia . Makonda Hasafishi mtu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu inayouza mbwa (mnada wa mbwa): Sehemu ambayo mtu unafika na kuchagua mbwa unayemtaka kwa maeneo ya Dar es Salaam

    Ninatafuta sana sehemu ambako kuna kitu kama mnada wa mbwa. Sehemu ambayo watu hupeleka mbwa wao kuuza hapo na watu huenda hapo kununua mbwa. Yaani sehemu ambayo unakuta wauzaji mbalimbali wanauza mbwa aina mbalimbali ili uwe na nafasi ya kuchagua mbwa unayemtaka. Sehemu yenye ushindani pia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Inabidi mtu awe mpumbavu kushawishika na kusema kuwa hakuna Mungu!

    Biblia inasema kwenye Zaburi 24:1. "Mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu .........". Kuna watu wanaamini kabisa kuwa hakuna Mungu!! Wanashawishika kwa mioyo yao yote kuwa hakuna Mungu!! Ukimwuliza kwa nini vitu vilivyopo ulimwenguni huitwa VIUMBE? Maana yake vimeumbwa, je muumbaji ni...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ni kipengele gani kinamruhusu Katibu Utumishi kumwamuru PSRS kushughulikia suala la ajira ya mtu?

    Ni kipengele gani kati ya vifuatavyo kinamruhusu katibu utumishi kumwamuru PSRS kushughulikia suala la ajira la mtu? Ni kipengele kipi
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna ukweli wowote wa kuchetusha malipo ya control number za serikali (GePg) kwenda kwa mtu binafsi?

    Government Electronic Payment Gateway (GePG) Kuna ukweli wowote wa kuchetusha malipo ya control number za serikali (GePG) kwenda kwa mtu binafsi? Kumekuwepo na taarifa za chini kwa chini kwa baadhi ya watu kuwa Kuna taasisi ukienda wanakupa control number kisha ukishalipiaa either ukiwaletea...
  10. JamiiForums Tanzania Picha ya uso wa mtu aliekata tamaa ya kuishi baada ya kuhukumiwa miaka 22 Jela

    Hiyo picha ni ya mdada / Mbibi anaitwa Maria, ni mjane mwenye watoto wa 4 =========================== Update: 08/11/2023 https://www.jamiiforums.com/threads/tls-kumsaidia-aliyefungwa-miaka-22-kisa-nyama-ya-swala.2156049/ ========================== Haya, huyu hapa, Anaitwa Hakimu...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujijengee utamaduni wa kuhusisha wanasheria pale tunaponunua kitu kwa mtu

    Watanzania tujijengee utamaduni, kuhusisha wanasheria pale unaponunua kitu kwa mtu. Kumekuwepo na ongezeko la watu kulalamika kununua kitu kwa mtu baada ya muda unakamatwa kwa kuhusishwa kuwa Mali hiyo ni ya wizi gharama zote za kesi na usumbufu wa kufatilia Mali hiyo utabebeshwa wewe. Ombi...
  12. JamiiForums Tanzania Iringa: Mke wa Mtu na Mume wa Mtu wafia Mgahawani wakiwa uchi

    Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Swiga John Mwakalobo (35) ambaye ni Mfanyabiashara wa mgahawa pamoja na Mwanaume ambaye amefahamika kwa jina la Jacob Chang’a wote Wakazi wa Kata ya Mkwawa Wilaya na Mkoa wa Iringa wamekutwa wamefariki ndani katika mgahawa huku wakiwa watupu (bila nguo)...
  13. JamiiForums Tanzania Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli?

    Wanabodi, Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!. Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za honoris causa lakini hawakuitwa kwa title za Dr. Lakini Rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa aliitwa...
  14. JamiiForums Tanzania Socrates, Plato na Nietzsche: Siyo kila mtu anatakiwa kuwa kiongozi

    Dunia yetu inakwama kwasababu tunakataa uhalisia ambao umekuwepo tokea kitambo, binadamu hatufanani. Kuna wanadamu ambao huzaliwa wakiwa na akili kubwa kuliko wengine, kimtazamo, kiutendaji na ubunifu. Katika vitu ambavyo huwa tunadanganywa ni kwamba kila mwanadamu anaweza kuwa mbunifu au...
  15. JamiiForums Tanzania Dar ni mji wa ajabu sana, mtu anaweza vaa nguo/viatu hazijakauka lakini zika kauka akiwa amevaaa

    Walaaaaaahiii mtumeewww 5 moko , kimoko tuuu chaliii wanaumeeee tukapiga vitano vya afyaa boraaa hahhhahahhhgh Ebana heeeeeh ndo ikawa hivyo ...mvua hii people zinavaa nguo hazijakauka na life linasongaa kibabere Karibuni kwa makasiriko...
  16. JamiiForums Tanzania Mtu huyu amekosa shukrani

    Wakuu mulibwanji? Jana mtu kapgwa kono la nyani. Kuna ndugu yng mtoto wa aunt yng mdada alikuwa uko kijijini aliomba aje town ajiendeleze mambo yake ya ufundi na salon maana ndo alikuwa anayapenda. Nilimkubalia na nikamtumia nauli from dom to mwanza. Alipofka tu wiki iliyofata akaanza kwenda uko...
  17. JamiiForums Tanzania Sikia tu kwa mtu wakuu hichi kichapo cha goli 5 sijui tumeteleza wapi

    Hali ni mbaya wakuu natamani kudanja, mkiona sipo hewani mjue either ni simu imezima au mimi nimezima kabisa tumekubali 5 kwelii kwa hawa wakulima wa nyanya.
  18. JamiiForums Tanzania Kwa wale wataalamu wa Body language Unawezaje kusema Hayati Magufuli hakuwa anamaanisha haya aliyo kuwa anazungumza ?

    Nimepita mitaa fulani huko nimesikia kuna watu wanasema hayati JPM ukali wote ule ila alikuwa hamaanishi alivyokuwa akizungumza . Binafsi nimepitia video chache nikaona hayo madai hayana ukweli wowote na alikuwa na nia nzuri na hili Taifa . Kuna wale wataalamu wa body language mnasemaje ...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Usipokuwa makini unaweza kujikuta unamhonga mtu anayekuzidi kipato!

    Kwenye nyanja za kupigana vibomu ambavyo kwakweli vinapendezesha mahusiano, unajua bila kuhonga wengine hatujisikii raha na huwa tunapenda watu wanaotuombe hela. Asikudanganye mtu bwana, ukiwa unamhonga anakuwa mtumwa wako. Sasa bwana katika pita pita za hapa napale nikakutana na vijana wana...
  20. JamiiForums Tanzania Kijana makini na wathamani hawezi kuwa mtu wa kuchezea wanawake.

    Unapokutana na mwanamke katika safari yako ya MAISHA hapa namzungumzia kijana amabaye yupo na Malengo Makubwa kuhusu MAFANIKIO na anajua thamani yake . Hivyo katikati ya safari yako unaweza kumuhalika Mwanamke kuwa aje katika MAISHA yako kwa lengo la kutafuta ukamilisho na kukamilishana na sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…