Mtu huyu amekosa shukrani

Choosen85

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
563
1,364
Wakuu mulibwanji? Jana mtu kapgwa kono la nyani. Kuna ndugu yng mtoto wa aunt yng mdada alikuwa uko kijijini aliomba aje town ajiendeleze mambo yake ya ufundi na salon maana ndo alikuwa anayapenda. Nilimkubalia na nikamtumia nauli from dom to mwanza. Alipofka tu wiki iliyofata akaanza kwenda uko kwny mafunzo gharama kwa mwezi pamoja na material ya kujifunzia ilifkia elfu 90 nikajbana sn ikiwemo na kustisha mambo yng bnafsi.

Nililipia miez 3 ambayo ni shs lak 270 amekwenda miez miwili wiki iliyopta nashangaa ananiambia anataka kurud nyumban nikamuliza tatzo nn akadai anaenda kulima nikamuliza ulipokuja uliwaaga home kwmb msimu wa kilimo ukfka utarud kulima akasema hpn nikamuliza au wamekuita home ukalime akasema hapana au kuna tatzo lolote hapa nyumban akasema hpn ila ye ameamua tu kwenda kulima.

Nikampgia mama ake kuliza kama wamemuita au kuna tatzo gn mama mtu akabaki anashangaa tu kwann mwanae anataka rud uko wkt alitegemea apate mafunzo apate kaz awe anamsaidia sa anarud kufanya nn. Bnafs simzuii kwenda ila knachoniuma ni pesa yng na mbaya zaidi analazmisha kuondoka kwa muda aliojpangia yan leo au kesho wkt nauli natoa mimi nlipomwambia asubiri nitafute nauli akawa mkali sn ananijbu kunya anasema niseme mpk lini tapata iyo nauli nikamwambia mambo ya utafutaji mi sjui inaweza kuwa baada ya wk au mwez au miez mi sjui ila nikpata tu takusafirisha haraka sn.

Akajbu kama vp ye apge cm nyumban kwao wamtafutie nauli nikamwambia huko kwenu nakujua hivi wanatoa wp iyo elf 50 kwa uharaka ivyo maisha ya kijijini kweli nimemkatalia hakuna kupga cm kuomba nauli mi tampa, sjawai mnyima ktu, sjawai mtongoza, sjawai mnyima uhuru wake mahtaji yote anapata hapa kwangu mpk vocha hakuna kaz za kufanya hapa ukzngatia anatoka asbh mpk jion kuanzia j3 mpk jmos wife nae yuko busy na biashara muda mwingi hayupo hapa kuanzia j3 mpk jpil hapa kwangu hakuna watoto zaid tuna mtoto mdogo wa mwaka 1 ambaye huwa anatoka na mama ake.

Pia wife wng ni mtu wa kwao huko wanafahamiana vzr wanapga sn story ni mashost wa kufa mtu wananunuliana mpk zawadi kwaiyo nimejiridhisha wife hajamletea shda kbs na hata jana tu walikuwa wanafuliana nguo huku wanapga story. Knachoniuma ni hela yng, pia nitoe tena nauli kwa mtu ambaye nilitegemea angekaa akatulia afanikiwe awasaidie na huko kwao, kngne ni namna alivyokuwa ananijbu dry mpk nilitaman kumpga wkt huo wife hakuwepo kwaiyo hata wife sjamwambia khs nduguye huyo nipo najiuliza maswali mengi sn huyu binti kapatwa na nini, je nichukue hatua gn mi nataka nimfanyie makusudi tu nimuweke hapa mpk january tu na wala huko kwny mafunzo asiende kama kuna bwana ake amemuita bs amtumie nauli kwao nimeshawambia namtafutia nauli japo nao hawatak arud kwan anaenda kufanya nini, naomben ushauri wenu wakuu....!
 
Wakuu mulibwanji? Jana mtu kapgwa kono la nyani. Kuna ndugu yng mtoto wa aunt yng mdada alikuwa uko kijijini aliomba aje town ajiendeleze mambo yake ya ufundi na salon maana ndo alikuwa anayapenda. Nilimkubalia na an anaenda kufanya nini, naomben ushauri wenu wakuu....!
Yaani mdogo wako anataka nauli kwa force, nawe unamjibu kwa kumbembleleza?
Bro! Sijajua wewe ni mtu wa aina gani, lakini kwa mwanaume anayejua misingi ya kiume, huyo nduguyo anatakiwa arudi kwao kwa nauli zake, asipokaa sawa anaweza daiwa hadi ada alizolipiwa na makofi juu. Kuna watu wanahitaji cruel treatment ili kuleta heshima.​

Standup man.
 
Unaweza kumlazimisha Punda kwenda Mtoni lakini huwezi kumlazimisha kunywa Maji.

Huyo binti, anamawazo ya Kitoto na hajajua ugumu wa maisha as long kila kitu ana kipata pasipo kutolea Jasho.

Wanasema Tenda Mema uende zako 🙌
 
Ya nini kujiongezea mzigo?

Mtu kataka kuondoka, kama haikuathiri wewe basi mwache aende.

Unaumia kwa hela uliyolipa? Kwani hujawahi kupoteza hela? Hujawahi kupata hasara? Fanya ulitoa sadaka, huna haja ya kuumia Mkuu.

Kuendelea kumuweka unazidi kujizidishia mzigo kwa mtu ambaye haonyeshi uelekeo. Kula anakula kwako, anakunya kwako, anaoga kwako, vocha umpe wewe,

Nadhani kama ni maumivu ya hela uliyolipa basi gharama ya kumhudumia ni kubwa kuliko hiyo.

Mwache aende.
 
Huko mwishoni umeandika jibu la hayo masaibu yote. Huyo kapata kibwana kimemdanganya mengi na mtoto wa watu kaingia king. Ila atakukumbuka baada ya miezi kadhaa.
 
sijakuelewa hapo uliposema hujawahi kumtongoza!? kwa namna hii ya uwasilishaji inaelekea huyo binti yuko sahihi unaforce upewe mzigo kakuchomolea ili kuilinda ndoa yako kaamua aondoke.
 
nimemkatalia hakuna kupga cm kuomba nauli mi tampa, sjawai mnyima ktu, sjawai mtongoza, sjawai mnyima uhuru wake mahtaji yote anapata hapa kwangu mpk vocha hakuna kaz za kufanya hapa
Unamtaka kimapenzi huyo ndugu yako?

Hilo swala la hujawahi kumtongoza ni kama Unajitetea hivi.

Na kwanini umzuie asipige simu kuomba nauli kwao, hatakama wasingempa ila kwanini umzuie?

Hilo swala lako ni jambo dogo sana kwa Mwanaume kulitatua. Wewe ni mwanaume usie na Maamuzi.

Be a Man, Stay Taliban.
 
Kama una nauli mpe aende. Ataharibu ndoa yako au kukupa wewe kesi zisizo na maana
 
Wakuu mulibwanji? Jana mtu kapgwa kono la nyani. Kuna ndugu yng mtoto wa aunt yng mdada alikuwa uko kijijini aliomba aje town ajiendeleze mambo yake ya ufundi na salon maana ndo alikuwa anayapenda. Nilimkubalia na nikamtumia nauli from dom to mwanza. Alipofka tu wiki iliyofata akaanza kwenda uko kwny mafunzo gharama kwa mwezi pamoja na material ya kujifunzia ilifkia elfu 90 nikajbana sn ikiwemo na kustisha mambo yng bnafsi.

Nililipia miez 3 ambayo ni shs lak 270 amekwenda miez miwili wiki iliyopta nashangaa ananiambia anataka kurud nyumban nikamuliza tatzo nn akadai anaenda kulima nikamuliza ulipokuja uliwaaga home kwmb msimu wa kilimo ukfka utarud kulima akasema hpn nikamuliza au wamekuita home ukalime akasema hapana au kuna tatzo lolote hapa nyumban akasema hpn ila ye ameamua tu kwenda kulima.

Nikampgia mama ake kuliza kama wamemuita au kuna tatzo gn mama mtu akabaki anashangaa tu kwann mwanae anataka rud uko wkt alitegemea apate mafunzo apate kaz awe anamsaidia sa anarud kufanya nn. Bnafs simzuii kwenda ila knachoniuma ni pesa yng na mbaya zaidi analazmisha kuondoka kwa muda aliojpangia yan leo au kesho wkt nauli natoa mimi nlipomwambia asubiri nitafute nauli akawa mkali sn ananijbu kunya anasema niseme mpk lini tapata iyo nauli nikamwambia mambo ya utafutaji mi sjui inaweza kuwa baada ya wk au mwez au miez mi sjui ila nikpata tu takusafirisha haraka sn.

Akajbu kama vp ye apge cm nyumban kwao wamtafutie nauli nikamwambia huko kwenu nakujua hivi wanatoa wp iyo elf 50 kwa uharaka ivyo maisha ya kijijini kweli nimemkatalia hakuna kupga cm kuomba nauli mi tampa, sjawai mnyima ktu, sjawai mtongoza, sjawai mnyima uhuru wake mahtaji yote anapata hapa kwangu mpk vocha hakuna kaz za kufanya hapa ukzngatia anatoka asbh mpk jion kuanzia j3 mpk jmos wife nae yuko busy na biashara muda mwingi hayupo hapa kuanzia j3 mpk jpil hapa kwangu hakuna watoto zaid tuna mtoto mdogo wa mwaka 1 ambaye huwa anatoka na mama ake.

Pia wife wng ni mtu wa kwao huko wanafahamiana vzr wanapga sn story ni mashost wa kufa mtu wananunuliana mpk zawadi kwaiyo nimejiridhisha wife hajamletea shda kbs na hata jana tu walikuwa wanafuliana nguo huku wanapga story. Knachoniuma ni hela yng, pia nitoe tena nauli kwa mtu ambaye nilitegemea angekaa akatulia afanikiwe awasaidie na huko kwao, kngne ni namna alivyokuwa ananijbu dry mpk nilitaman kumpga wkt huo wife hakuwepo kwaiyo hata wife sjamwambia khs nduguye huyo nipo najiuliza maswali mengi sn huyu binti kapatwa na nini, je nichukue hatua gn mi nataka nimfanyie makusudi tu nimuweke hapa mpk january tu na wala huko kwny mafunzo asiende kama kuna bwana ake amemuita bs amtumie nauli kwao nimeshawambia namtafutia nauli japo nao hawatak arud kwan anaenda kufanya nini, naomben ushauri wenu wakuu....!
siku hizi mmekuwa na akili ndogo kiasi hicho hata mambo ya nyumbani hamuwezi kufanya uamuzi mpaka mje JF, Hata mke wako hujamweleza unakuja JF. We una matatizo ndio maana huyo binti anataka kuondoka
 
Nashangaa ikiwa umetokea Dodoma na huwaelewi tabia za vijana wa kigogo, nakushanga kuwa hujielewi tabia zenu.

Kijana wa kigogo yeyote anaekuja mjini, kwanza kila anachopata anatafuta simu, nguo mpya, na kibegi cha mgoingoni kipya, kijae nguo mpya.

Akishatimiza hivyo ni lazima aondoke kurudi kijijini kujionesha navyo. Hata iweje huwezi kumzuwia, awe kaenda shule au hajaenda, tabia hiyo ni kwa wagogo wote.

Sifahamu kisaikolijia hiyo inaitwaje lakini wagogo wote wanayo.

Huyo wala hajaondoka kwa nia mbaya wala kuwa siyo hato rudi siku za usoni, ukitaka arudi mapema ni kumuuliza habari za huko tu, watu kawakutaje, wamempokea vipi, vipi wamependa nguo na simu aliyokwenda nayo? Kitaratibu lakini siyo kwa kumstuwa kama unamsaili.

Wewe mwenyewe utakuwa nalo hilo, lipo kwenye damu ya wagogo na jirani zao kwa mbali.

Naongea kwaa uzoefu nilionao kwa wagogo, nimeajiri sana vijana wa kigogo kuanzia kazi za nyumbani, shambani mpaka ofisini, hilo wote wanalo.

Kwanza nilikuwa siwaelewei, nilipowaelewa, aah hawanipi shida kabisa tena sikosi wafanya kazi kabisa kutokana na wao wenyewe.

Hapo inabidi uwe na Reconziliation na esilience za mama Samia, usitaharuki hata kidogo. Ni kawaida sana hiyo kwao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom