Iringa: Mke wa Mtu na Mume wa Mtu wafia Mgahawani wakiwa uchi

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,815
4,565
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Swiga John Mwakalobo (35) ambaye ni Mfanyabiashara wa mgahawa pamoja na Mwanaume ambaye amefahamika kwa jina la Jacob Chang’a wote Wakazi wa Kata ya Mkwawa Wilaya na Mkoa wa Iringa wamekutwa wamefariki ndani katika mgahawa huku wakiwa watupu (bila nguo).

@AyoTV_ imefika eneo la tukio na nyumbani kwa marehemu Swiga na kukuta hali ya majonzi na simanzi kwa Ndugu na Majirani na wamesema marehemu Swiga hadi usiku alikuwa akiendelea na shughuli zake za mgahawa na huwa anachelewa kufunga kutokana na maandilizi ya chakula cha asubuhi .

Majirani wamesema “Hadi imefika asubuhi hatukumuona Swiga, tukafanya juhudi za kumtafuta kwa kumpigia simu Mume wake bila mafanikio ya kumpata na hata simu yake ilikuwa haipokelewi ndipo tukaenda mgahawani kwake na kupiga simu na kusikia inaita ndani huku mlango umefungwa na baada ya kuchungulia tulikuta miili miwili iko ndani ambayo ilikuwa uchi, tukavunja mlango”

“Ndani ya mgahawa tumekuta jiko la mkaa na maharage ambayo yalikuwa yamebandikwa sasa labda kilichowaua ni moshi wa mkaa uliwazidia wakiwa wamepitiwa na usingizi au wakiwa katikati ya tendo, wengine wanahisi labda walikuwa wanafanya mapenzi lakini hatuna uhakika maana ndani hakuna kitanda labda walifanyia sakafuni au juu ya meza, na kama walikuwa wanafanya hivyo basi wote wamechepuka maana Mwanaume ana Mkewe na Mwanamke ana Mumewe ambao waliwaacha kwenye nyumba zao wao wakawa mgahawani”

Mwenyekiti wa Mtaa huo wa Imalanongwa A Hamis Chananja amethibitisha kutokea kwa kwa tukio hilo katika eneo lake na amesema Polisi wamefika kuchukua miili hiyo kwaajili ya uchunguzi zaidi, @AyoTV_ inaendelea na juhudi za kumtafuta Kamanda wa Polisi Iringa kwa taarifa zaidi.
 
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Swiga John Mwakalobo (35) ambaye ni Mfanyabiashara wa mgahawa pamoja na Mwanaume ambaye amefahamika kwa jina la Jacob Chang’a wote Wakazi wa Kata ya Mkwawa Wilaya na Mkoa wa Iringa wamekutwa wamefariki ndani katika mgahawa huku wakiwa watupu (bila nguo).

Kutoka eneo la tukio na nyumbani kwa marehemu Swiga imekutwa hali ya majonzi na simanzi kwa Ndugu na Majirani na wamesema marehemu Swiga hadi usiku alikuwa akiendelea na shughuli zake za mgahawa na huwa anachelewa kufunga kutokana na maandilizi ya chakula cha asubuhi .

Majirani wamesema “Hadi imefika asubuhi hatukumuona Swiga, tukafanya juhudi za kumtafuta kwa kumpigia simu Mume wake bila mafanikio ya kumpata na hata simu yake ilikuwa haipokelewi ndipo tukaenda mgahawani kwake na kupiga simu na kusikia inaita ndani huku mlango umefungwa na baada ya kuchungulia tulikuta miili miwili iko ndani ambayo ilikuwa uchi, tukavunja mlango”

“Ndani ya mgahawa tumekuta jiko la mkaa na maharage ambayo yalikuwa yamebandikwa sasa labda kilichowaua ni moshi wa mkaa uliwazidia wakiwa wamepitiwa na usingizi au wakiwa katikati ya tendo, wengine wanahisi labda walikuwa wanafanya mapenzi lakini hatuna uhakika maana ndani hakuna kitanda labda walifanyia sakafuni au juu ya meza, na kama walikuwa wanafanya hivyo basi wote wamechepuka maana Mwanaume ana Mkewe na Mwanamke ana Mumewe ambao waliwaacha kwenye nyumba zao wao wakawa mgahawani”

Mwenyekiti wa Mtaa huo wa Imalanongwa A Hamis Chananja amethibitisha kutokea kwa kwa tukio hilo katika eneo lake na amesema Polisi wamefika kuchukua miili hiyo kwaajili ya uchunguzi zaidi. Juhudi za kumtafuta Kamanda wa Polisi Iringa kwa taarifa zaidi zinaendelea.
 
"Wengine wanahisi labda walikuwa wanafanya mapenzi lakini hatuna uhakika maana ndani hakuna kitanda labda walifanyia sakafuni au juu ya meza,"

Hii statement imenichekesha, wamejiuliza na kujijibu wenyewe,

Nimekumbuka wimbo wa Jay Melody alisema "mkeka, busati sio kila siku godoro..."
 
Back
Top Bottom