Ushawahi kumfanyia mtoto wa kike ubandidu?

Ushawahi kumfanyia mtoto wa kike ubandidu?

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
72,431
Reaction score
191,696
IMG-20200730-WA0006.jpg

Binafsi nashindwa kufanya tukio la aina hii, sijui ni ustaarabu au niceness ndio imenijaa ila kujibu majibu makavu huwa inaniwia ngumu. Hebu share nasi majibu makavu uliowahi kumpa mtoto wa kike.
 
Kuna jamaa alikuwa akinisimulia enzi hizo yuko kwenye balehe alitokea kupendwa sana na wasichana,si uongo nilikuwa naona.basi aliwala si kawaida mpaka akamtia mimba mama yake mdogo.

Sasa anasema yeye demu alikuwa akishamaliza kumla anamwambia,nanukuu "mbona kama lina nuka nuka".[emoji38][emoji38]basi demu ilikuwa akishavaa ndio mahusiano yameishia hapo.

Swali nililokuwa namuuliza aliwezaje kuwa anawaambia mabinti namna hiyo,maana najua ni kweli mabinti wote ni asili yao hiyo,lakini kuwaambia ni mpaka uwe na roho ngumu sana maana unajua ni jinsi gani wataumia.
 
Nikifika hatua hiyo basi ajue yeye mwenyewe kaniona mi si kitu.. huwa naonyesha dharau kwa watu wenye dharau..!
 
Hiyo hutokea kwa binti anaelazimisha kuolewa wakati muoaji hana dalili za kumuoa!! Majibu ya hvo ndo dawa yao no option!
 
Huyu jamaa sijui nimweke kundi gani,jamaa ni malaya kupitiliza ,mtaani wanamjua basi kuna binti mmoja kahamia mtaani alafu jamaa kamwelewa sana.

Akaanza kumtongoza basi ,basi kuna dada fulani akamwona jamaa zile harakati zake.Akaenda kumwaribia kwa yule binti.Jamaa alimaindi sana,akaamua kumkomesha,aligeuza kibao na kuanza kumtongoza yule dada aliye mwaribia,dada akaingia line jamaa akapanga siku ya mechi.

Basi siku ya siku wakakutana jamaa kamchezea,akamsaula nguo zote alafu demu akachanua miguu,yule jamaa akatoka kitandani na kusogea kona ya ukutani,alafu akawa ana tema mate huku akiziba pua akamwambia K yako inanuka hufai kugongwa na mimi.

Aisee yule dada alikuwa anamchukia jamaa na baada ya kipindi kifupi akahama mtaa.
 
Mmmmmmh hatareeeh sana lol
 
Back
Top Bottom