mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutunza na kuimarisha Afya ya Akili ya Mtoto wako

    Uhusiano Imara na wenye nguvu sio tu unakufanya kuwa Binadamu bora bali pia husaidia kukuimarisha Kihisia. Wakati wa kujenga uhusiano na Watoto wako, waambie unawapenda mara kwa mara Ni muhimu kila Siku utenge muda wa kuzungumza na kumsikiliza Mtoto. Ikiwa mtoto wako anataka kuzungumza nawe...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri "huyu" mtoto aende wapi na akasome nini?

    Habari waungwana. Nina mtoto hapa ambaye matokeo yake ya Kidato cha nne ni Kama ifuatavyo. Amepata "C" katika Civics, Kiswahili, Chemistry na Biology. Amepata " D" katika History, Geography, Literature, English, physics na Hisabati. Hivyo ana "C" nne na " D" sita. Division three point 24.
  3. JamiiForums Tanzania Anachoweza kufanya Mzazi kuhakikisha mtoto anabaki salama mtandaoni

    1) Kuwaeleza Watoto umuhimu wa kuweka nywila (Password) kwenye vifaa vyao, na kutompa mtu mwingine hata kama wana ukaribu 2) Kuzungumza na Watoto, na kuwaonesha wanaweza kuwafuata pale wanapopata matatizo mtandaoni ikiwemo CyberBullying (Uonevu Mtandaoni) 3) Kuhakikisha Mtoto haweki taarifa...
  4. JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya kundi ya kundi la damu (blood group) na Uchumba/Mimba/Ujauzito/Mtoto

    1. Binadamu ana damu ambayo ina seli nyeupe, chembe sahani na sell nyekundu.. hizi seli nyekundu ndio zinabeba oksijeni na kabondayoksaidi na kimiminika chenyewe 2. Seli nyekundu zina protini inajishika ukutani mwake inaitwa antigen. Kuna antigen A au B au seli inakuwa haina antigen: • Ambaye...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mwaka na miezi 3 kuchelewa kukaza shingo

    Habari zenu, Nina mtoto wa mwaka na miezi mitatu alichelewa kukaza shingo kwa sasa ndio anatambaa ila kwa makalio. Ila napatwa na wasiwasi ninapomsimamisha shingo yake anaitupa kwa nyuma. Nifanye nini ikae sawa? Ila anapokaa anachezea vitu vizuri tu na kuvifata hata kujaribu kusimamia vitu...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa baba kumnunulia mtoto wake wa kike PEDI?

    Jamani naombeni msaada juu ya hili swali. Baba mzazi kumnunulia binti wake pedi hii imekaa sawa kweli?
  7. JamiiForums Tanzania Mtoto ana haki ya kujua asili yake. Wamama msiwafiche Watoto Baba zao

    MTOTO ANAHAKI YA KUIJUA ASILI YAKE. Anaandika Robert Heriel. Hakuna sababu yoyote inayozuia na kumnyima Haki mtoto kuijua Asili yake. Mtoto lazima amjue Baba yake mzazi, Mtoto lazima ajulishwe mama yake Mzazi. Hiyo ni Haki ya Mtoto. Mtu ili ajitambue lazima atambue asili yake. Mtu ambaye...
  8. JamiiForums Tanzania Dhana ya "kumbemenda mtoto"

    Kumbemenda mtoto ni mtoto kutokua vizuri ikidhaniwa kutokea kutokana na mama anayenyonyesha mtoto kukutana kimapenzi na mwenzi wake hasa kipindi mtoto bado ni mchanga na ananyonyeshwa. Hii ni dhana iliyopo katika jamii mbalimbali, na inadhaniwa hutokea kwa sababu mtoto kunyonya maziwa yenye...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi ukija kujua hili kama wewe utafanyaje?

    Hivi ukijajua mdogo wako tena kipenzi ni mtoto wa mume wako ambaye amezaa na mama yako utafanyaje? Naomba ushauri positive not negative.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa mtoto wa Darasa la Nne

    Habari zetu wanajamii Forum Samahani sana ndugu naomba kwa mwenye kufahamu utaratibu wa kumhamisho mtoto wa darasa tatu kwenda darasa la nne kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine. Na je kuna uwezekano wa kumkaririsha mtoto darasa yaan kama alikuwa darasa la tatu mwaka jana basi aendelee kusoma...
  11. JamiiForums Tanzania Jiongeze: Mheshimu sana House girl anayebaki na mtoto wako, unapokuwa haupo hakuna kinachomzuia yeye kulipizia kisasi kwa mtoto

    nani anaependa kukaripiwa? nanj anaependa kupigwa? nani anapenda kugombezwa? nani anapenda kupigwa? nani anapenda kunyanyaswa? HAKUNA!!!! Inanishangaza sana kuona kuna baadhi ya wazazi hawaheshimu kabisa mahouse girl wanaobaki na watoto wao, huwaona kama wanadamu wa toleo la pili. House girl...
  12. JamiiForums Tanzania Dokta Kumbuka: Masha alinitupia mtoto Getini kwangu akiwa na miezi 6

    Kumbuka ambae pia ni moja ya mtangazaji wa E-fm katika kipindi cha uhondo leo amefunguka na kusema Masha love alimutupia mtoto kipindi akiwa mdogo na umri wa miezi 6 tu. Hayo ameyasema kumbuka leo ambapo kwenye kipindi hicho walikuwa na ugeni wa Mzazi mwenza(Masha love). Hii ni baada ya Masha...
  13. JamiiForums Tanzania Bibi atamani mtoto na kijana wa miaka 24

    Bibi Cheryl McGregor mwenye miaka 61, watoto 7 na wajukuu 17 anapanga kupata mtoto mwingine kwa njia mbadala ya kupandikiza (surrogacy pregnacy) na mume wake Quran McCain mwenye miaka 24. Wawili hao wanasema wamejaribu kutafuta mtoto kwa njia ya kawaida hawajafanikiwa hivyo wanaangalia mwanamke...
  14. JamiiForums Tanzania Nifanyaje naona aibu, anamlazimisha mtoto wake aniite baba

    Msaada wa haraka unahitajika wakuu, Nifanyaje kuzuia hii hali. Hapa nilipopanga kuna Mwanamke nilimkuta anaishi. First time nilijua labda ni mwanafunzi maana umri wake unachezea 18~19 , Ila baada ya muda nilikuja gundua anamtoto umri unachezea kama mwaka na miezi 8. Shida ilipoanzia kuna siku...
  15. JamiiForums Tanzania Kumpeleka mtoto shule yenye ada kubwa ni kupoteza tu hela

    Kumpeleka Mtoto shule yenye Ada kubwa au Shule ya Garama ni kupoteza tu hela, cz mtoto atasoma atafika hadi Chuo then atamaliza Vizuri chuo, baada ya kumaliza chuo anakuwa mzigo wako tena anashinda tu nyumbani hana cha kufanya Ajira hamna unaanza kuangaika upya, Wakati Umetumia gharama nyingi...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Wanaume, ni bora ukakataa kuishi na mwanamke mwenye mtoto kabla kuliko kupretend kumbe haupendi

    Naiman kwa uwezo wa Mungu mko wazima Kuna kitu kinaniumiza moyo sijui nipo Sawa au naakosea naomben tu mnisahihishe kama Iko hv niliolewa nikiwa na mtoto mmoja ambae baba ake ni marehem sasa kwa mume wangu huyu wa sasa pia ninamtoto 1 Mtoto alikua anaishi nyumban kutoka afya ya mama sio nzuri...
  17. JamiiForums Tanzania Namna ya kumsaidia Mtoto wako kuwa Mtu bora

    1. Mfundishe kufanya kazi kwa Ushirikiano (Teamwork). Mfano unaweza kutenga muda kusaidiana naye kwenye kufanya 'Homework' au majukumu madogo madogo ya Nyumbani akishirikiana na Wenzake 2. Shiriki au Mfundishe kupanga malengo pamoja na maono mliyonayo. Hili linaweza kuwa gumu kwasababu Wazazi...
  18. JamiiForums Tanzania Ni upi umri sahihi wa kuacha kumuadhibu mtoto?

    Hello hello, Kulea ni jambo zito sana sio jepesi hata kidogo, katika kulea wazazi hukutana na changamoto nyingi sana ambapo kuna wakat hadi wanajiuliza kwa nini nilimzaa huyu mtoto hasa pale mtoto anapokuwa haambiliki hasikii, hapo kiboko hutumika sana kujaribu kumuweka sawa. Hivi ni wakati...
  19. JamiiForums Tanzania Furaha Dominic: Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa kundi linalomkwamisha Rais Samia

    Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham. Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana...
  20. JamiiForums Tanzania Anahitajika binti wa kazi mwadilifu wa kulea watoto wawili

    Anahitajika binti mwadilifu wa kulea watoto wawili pale mama yao anapokwenda kazini. Sehemu ya kazi: Kimara Stop Over, Dar es Salaam Idadi ya watoto: Wawili Mawasiliano ya mama wa watoto: +255689200948
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…