mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jichunguze hapa kama wewe au mtoto wako mnatatizo la Dyslexia

    y’all..... Kutokana na uelewa na muamko hafifu wa elimu ya malezi ya watoto from prenatal to postnatal (Psychology) kuna mambo hua yanawakumba watoto na wazazi bila kuelewa wanachukulia ni swala la kawaida mtoto kua hivo. Wengine wanaweza ihusisha hali Fulani aliyonayo mtoto na maswala ya nguvu...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Panya Road waibuka tena Buza, wajeruhi watu na kuchoma mtoto Bisbisi ya kichwa

    Nahisi kabisa kuna watu, wako nyuma ya kundi la hawa magaidi Lengo lao ni hii nchi isitawalike
  3. JamiiForums Tanzania Utafiti: Ukatili wa kiuchumi kwa Wanaume umeongezeka, kunyimwa haki ya kuwa na mtoto pia ni Ukatili

    Msaidizi wa Mratibu wa Dawati la Jinsi na Watoto wa Jeshi la Polisi Tanzania, ACP Faidha Suleiman akiwa katika moja ya majukumu yake ya kutoa elimu kwa wananchi. Licha ya kuzoeleka matukio ya wanaume kuhusika kuwafanyia ukatili wanawake mara nyingi, utafiti umebaini kibao imegeuka na kuna...
  4. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mtoto wa Rais Museven afikishwa mahakamani kwa kuutaka Urais wa Uganda

    Picha: Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba Mtoto wa Rais Museven afikishwa mahakamani kwa kuutaka Urais wa Uganda Mahakama ya kikatiba ya Uganda imemtaka mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kujibu shtaka analotuhumiwa la kueleza nia yake ya kuwania urais akiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kiboko ya mtoto anayelia lia hovyo kama zezeta au kulilia vitu vya watu

    Hawa ni wale watoto ambao hawana competition na watoto wenzao, ukiona mtoto wako analia kila mara au kulilia vitu vya watu kila wakati, jitahidi utafute mtoto mwenzake wa rika lake uishi nao pamoja utaona atavyo badilika na kuwa mtoto mzuri. Njia nyingine nzuri ya kumkanya huyu mtoto, siku...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Dikteta Marcos, BongBong Marcos Jr anaelekea kupata Urais Ufilipino

    09 May 2022 Manila, Philippines 🇵🇭 Katika muendelezo wa watoto wa marais kuibuka baadaye kushika uongozi wa nchi, huko nchi ya visiwa vya Philippines watoto wa Dictator Marcos na dictator Rodrigo Duterte wanaelekea kushinda uchaguzi unaoelezewa wa kihistoria nchini humo. Source : Bongbong...
  7. JamiiForums Tanzania Hapa ndio utajua anayejua baba wa mtoto ni mama, ndio maana tunasema "Nani kama mama"

    Hapa ndio utajua anayejua baba wa mtoto ni mama na ndio maana tukasema nani km mama maana mama hazingiziwi mimba wala mtoto ila baba wengi wanalea watoto sio wao. Mgawanyo wa majukumu huo, Mmoja yupo kwajili ya pesa mwengine yupo kwajili ya mapenzi na shoo. Ukitaka uujue uchawi weka mashine ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa mtoto mtundu ambaye hasikii fanya hichi kitu

    Piga kofi moja usawa wa shingo chini ya kisogo ili kurestore setting ya brain. Hakikisha unampiga kofi moja kubwa sana la kushtukiza apepesuke arukie mbali kabisa, nakuapia hatorudia tena. Msiwadekeze watoto na kuwafanya mayai, nyumba ambayo haina bakora iliyo ning'inizwa juu ni nyumba isiyo na...
  9. JamiiForums Tanzania Mtoto kutumia muda mwingi shuleni, inasaidia au inabomoa nidhamu yake?

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na idadi kubwa ya shule za msingi na zile za awali zikiongezeka, hiyo imeendana sambamba na ongezeko la ratiba ya masomo kwa wanafunzi. Zamani ilizoeleka wanafunzi wanaotumia muda mwingi shuleni ni wale wanaosoma bweni, lakini hivi sasa hata wale wanaosoma ‘day’...
  10. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka minne aiba gari la mama yake aingia nalo mtaani

    Mtoto mwenye umri wa miaka minne amenusurika kuumia baada ya kupata ajali ya gari alilokuwa akiendesha mtaani bila ruhusa kutoka kwa wazazi wake Nchini Uholanzi. Polisi wa Kituo cha Utrecht wamesema mtoto huyo akikwangua gari hilo katika maeneo mawili ya kuegesha magari baada ya hapo akaondoka...
  11. JamiiForums Tanzania Ukristo: Pale mke anapoamua muwe na mtoto 1, hataki kukupa tendo, yupo mkoa wa mbali kikazi. Solution ni ipi?

    Hapo patatosha kweli? - Anajiamulia mzae mtoto moja tu kwakuwa ametingwa na kazi - Anaamua mwenyewe mfanye sex au asikupe? - Yeye kahamishiwa kikazi huko bukoba wewe upo dar na mnakutana siku 1 tu kwa mwezi?
  12. JamiiForums Tanzania TANZIA Mtoto mchanga wa Marehemu Mbunge Irene Ndyamkama afariki dunia

    Mtoto mchanga aliyeachwa na marehemu Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Irene Ndyamkama amefariki dunia jana Aprili 30, 2022. Mtoto huyo amefariki baada ya kuishi kwa siku saba tangu kuzaliwa kwake, Mbunge Irene alifariki dunia Aprili 24, 2022, katika Hospitali ya Tumbi wakati akipatiwa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu utosi wa mtoto mchanga wa wiki Moja kudunda

    Habarini za usiku wapendwa. Naomba mwenye kufahamu ni kwanini mtoto mchanga wa wiki moja utosi wake haudundi na je? io ni hali ya kawaida au ni tatizo kwa mwenye uelewa tusaidiane kupeana elimu
  14. JamiiForums Tanzania Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

    Staa mwenye cash bila dili za matangazo jana alimfanyia mtoto wake wa pekee sherehe ya kipaimara iliyomgharimu zaidi ya million 100! Kwa kweli ilikuwa ni sherehe ya kifalme.
  15. JamiiForums Tanzania Michezo ya utotoni, ni hatari katika ukuaji wa mtoto.

    Nakumbuka nilipokuwa mdogo, shule ya msingi nilikwenda kumtembelea ndugu yangu mmoja, alikuwa anafanya kazi kijiji kimoja huko kanda ya ziwa, miaka hiyo. Baada ya kufika kule kijijini, nikakutana na marafiki wa rika langu; wakawa wananitembeza mtaa kwa mtaa, ili niweze kufahamu mazingira ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mama mzazi amzika mwanaye usiku wa manane baada ya mtoto kufa kwa njaa

    Salah Jackson (5) mwenye ulemavu wa viungo, mkazi wa kijiji cha Makiwaru Mkoani Kilimanjaro amefariki dunia kutokana na njaa na kisha mama yake mzazi kumzika kimyakimya usiku wa manane. Mtoto huyo anadaiwa kuzikwa na mama yake mzazi aitwaye Rebecca Siowi (30) usiku wa kuamkia Aprili 22, 2022...
  17. JamiiForums Tanzania Adhabu ya Viboko: Upi ni umri sahihi, sehemu sahihi na kwa makosa yapi?

    Mtoto aanze kupewa adhabu ya viboko akifikia miaka mingapi? Ni umri upi wa kuacha kumtandika? Makosa yapi yanahitaji maonyo na yapi yanahitaji bakora hata kama ni mara ya kwanza? Atandikwe kwa bakora, mkanda, n.k wa aina ipi? Idadi ya viboko? Ni sehemu zipi katika mwili za kumchapa?
  18. JamiiForums Tanzania Ukilazimisha kuachana na ukang'ang'ania watoto kaa ukijua sitakuhudumia wewe na huyo mtoto

    Kwema Wakuu! Nisikilize mke wangu, nisikilize vizuri Kabisa, sipo hapa kumwakilisha yeyote Yule isipokuwa Nafsi yangu na Yule aliyenipa Nafsi hii. Usiniangalie Kwa macho yako mabaya Kama ya Kondoo, Kama ukijua ukilazimisha kuniacha na kuwachukua watoto kimabavu kaa ukijua kabisa Kwanza...
  19. JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo atangaza kufiwa na mtoto wa kiume

    Staa wa Manchester United, Cristiano Ronaldo ametangaza kufiwa na mtoto wake wa kiume jioni ya leo Jumatatu Aprili 18, 2022. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ronaldo amesema mtoto huyo wa kiume bila kufafanua ni yupi amefariki licha ya juhudi kubwa za madaktari katika kuokoa uhai wake...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kuna siri gani kati ya mtoto wa pili kuzaliwa na kufanikiwa kimaisha?

    Jamani naomba kuuliza hili jambo lina ukweli wowote wa mafanikio kimaisha kati ya mtoto wa pili na wengine? Maana kwa asilimia kubwa wanaofanikiwa kwa asilimia nyingi ni watoto wa pili kuzaliwa. Nimechunguza familia karibu tatu na ya nne ni yangu mimi yaani wa pili kuzaliwa ndio katoboa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…