Cristiano Ronaldo atangaza kufiwa na mtoto wa kiume

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Staa wa Manchester United, Cristiano Ronaldo ametangaza kufiwa na mtoto wake wa kiume jioni ya leo Jumatatu Aprili 18, 2022.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ronaldo amesema mtoto huyo wa kiume bila kufafanua ni yupi amefariki licha ya juhudi kubwa za madaktari katika kuokoa uhai wake.

Ikumbukwe hivi miezi ya hivi karibuni ilitangazwa kuwa mpenzi wa Mreno huyo, Georgina Rodriguez alikuwa mjamzito wa watoto pacha.

Hili ndilo andiko la Ronaldo na mpenzi wake Georgina Rodriguez :

“Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kuwa mtoto wetu wa kiume amefariki dunia, ni maumivu makali ambayo mzazi yeyote anaweza kuyapata.

“Kuzaliwa kwa mtoto wetu wa kike ni Faraja kwetu kuendelea kuwa na furaha.

“Tunawashukuru madaktari na wauguzi wote kwa juhudi zao walizozifanya.

“Sote tuna huzuni kwa kumpoteza mpendwa wetu, kwa pamoja tunaomba suala hili libaki kuwa la familia wakati huu mgumu.

‘Mwanetu wa kiume, wewe ni Malaika, tutaendelea kukupenda.”

Source: Ronaldo page

Screenshots_2022-04-18-21-36-41.png

Tamko la Ronaldo kuhusu msiba.
Capture.JPG

Ronaldo akiwa na familia yake, mpenzi wake alivyokuwa na ujauzito wa watoto pacha.
 
The striker confirmed the news in a message to fans on Monday, alongside partner Georgina Rodriguez

Cristano Ronaldo has asked for privacy after the Manchester United forward announced the death of his newborn son.

The Portuguese striker confirmed the news in a message on social media on Monday, while also revealing the birth of a baby girl with partner Georgina Rodriguez, with the pair previously stating that they had been expecting twins.

Ronaldo is a father to four other children, sons Cristiano Jr and Mateo, and daughters Eva and Alana.

Ronaldo's statement in full
"It is with our deepest sadness we have to announce that our baby boy has passed away," Ronaldo and Rodriguez wrote. "It is the greatest pain that any parents can feel.

"Only the birth of our baby girl gives us the strength to live this moment with some hope and happiness. We would like to thank the doctors and nurses for all their expert care and support.

"We are all devastated at this loss and we kindly ask for privacy at this very difficult time. Our baby boy, you are our angel. We will always love you."
 
View attachment 2192268
Tamko la Ronaldo kuhusu msiba.
View attachment 2192276
Ronaldo akiwa na familia yake, mpenzi wake alivyokuwa na ujauzito wa watoto pacha.
Pole sana ndugu. Rambirambi anakusanya nani? Wengine tushalemaa kwa michango.
 
Uzazi jamani miezi 9 mwanamke anapambana. Kumshukuru Mungu kwa kila jambo hamna namna pole kwao
 
Back
Top Bottom