mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Afya ya Mama na Mtoto

    Habari, jina langu ni Miriam, na leo ningependa kuzungumza na wanajamii kuhusu afya ya uzazi kwa wakina Mama na watoto. Kumekua na wimbi kubwa la wanawake/mabinti wanaopata ujauzito kwa miaka ya hivi karibuni, kutokua na elimu sahihi juu ya makuzi ya mtoto tumboni. Moja kati ya eneo ningependa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kumpelekea moto mtoto wa kaka yake na bibi?

    Bibi yangu mzaa mama ana kaka yake mdogo ambaye ana binti mzuri sana na nahisi tunapendana, kwa ufupi ni binamu yake mama. Je, kiafrika naruhusiwa kumpelekea moto au ni mama yangu mdogo?
  3. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Haki ya mtoto pindi wazazi wanapotengana au kuachana

    HAKI YA MTOTO PINDI WAZAZI WANAPOTENGANA. Mtoto ana haki ya kupewa matunzo mazuri pindi wazazi wanapotengana, sawa na matunzo aliyoyapata pindi wazazi walipokuwa wakiishi pamoja. Mtoto atakuwa na haki ya kupata elimu yenye ubora uleule aliokuwa anaupata kabla wazazi wake hawajatengana au...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo wakati wa majibu uliyokuwa unajiuliza ukiwa mtoto

    Anaandika, Robert Heriel Maisha ni mchezo wa maswali na majibu. Kikawaida swali ndio linatangulia ndipo jibu lifuate. Lakini kwenye maisha majibu huweza kutangulia alafu maswali ndio yafuate. Hayo ni maisha. Yapo majibu yasiyo na maswali. Lakini hakuna swali lisilo na jibu. Vijana bado...
  5. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Mwakinyo kubali kupigana na Twaha, anaongea sana. Sasa imetosha, mpige huyu mtoto hata bure jeuri imezidi

    Huyu mtoto anajeuri sana, mimi nimeshindwa kuvumilia. Namuomba mwakinyo kubali kupigana na twaha Ili ujiweke fiti zaidi pambano lako na twaha litakupa nguvu zaidi Kwa mapambano yajayo njoo umpasue huyo tumechoka na madharau yake.
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Jicho, Kisukari ni chanzo kikuu cha Upofu Kanda ya Ziwa

    James Shimba, Daktari Bingwa wa Macho kutoka Hospitali ya Rufaa Bugando amesema uchunguzi wao umebaini kuwa magonjwa ya Mtoto wa Jicho na Kisukari ndio chanzo kikuu cha Upofu kwa kwa Mikoa ya Kanda ya Ziwa. Shimba ameeleza kuwa Hospitali hiyo kwa mwezi inapokea Wagonjwa wa Macho zaidi ya 1000...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Senegal: Wahudumu 3 wa afya wakamatwa kwa uzembe baada ya kifo cha mama na mtoto wakati wa kujifungua

    Daktari wa magonjwa ya wanawake, daktari wa ganzi na muuguzi wa wa hospitali ya Kedougou wanashikiliwa kwa mahojiano kutokana na tuhuma za uzembe katika upasuaji uliosababisha kifo cha mjamzito na mwanae baada ya kudaiwa kupoteza damu nyingi Chama cha Madaktari wa Wanawake na Madaktari wa Uzazi...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nasisitiza: Hakuna Mwanaume anayekataa Kumtunza Mtoto wake! Hakuna

    NASISITIZA; HAKUNA MWANAUME ANAYEKATAA KUTUNZA WATOTO WAKE. Anaandika Robert Heriel Baba. Hakuna Mwanaume anayekataa kutunza m/watoto wake. Hakuna mwanaume wa hivyo. Ikiwa Sisi wanaume tunatunza watoto wasio wetu, ndio ninyi Wake zetu, sembuse Watoto wetu WA kuwazaa wenyewe. Ikiwa wanaume...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania 'Beach boy' jela maisha kwa kumbaka mtoto akimfundisha kuogelea

    Mahakama ya Wilaya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, imemhukumu Dunia Suleman (36) maarufu P squre, kutumikia kifungo cha maisha jela, baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka binti wa miaka nane. Suleman, ambaye ni beach boy na mkazi wa Msasani wilaya ya Kinondoni, anadaiwa kumbaka binti huyo...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanawake, kama huwezi mtunza mtoto pelekeni kwa Baba zao. Msisumbue watu kwa upuuzi wenu

    WANAWAKE KAMA HUWEZI KUMTUNZA MTOTO PELEKENI KWA BABA ZAO. MSISUMBUE WATU KWA UPUUZI WENU! Anaandika, Robert Heriel Unang'ang'ania kuishi na mtoto alafu huna uwezo wa kumtunza huo si upuuzi. Kama huwezi kumtunza Mtoto na unapenda kuishi naye basi kuwa na adabu, kuwa humble Kwa Baba WA mtoto...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nina Mpango wa kuitoa hii mimba! siko tayari kabisa kulea mtoto asiye wangu

    Nimejaa hasira asubuhi asubuhi yani wakuu, Naombeni ushauri japo naweza kuchukua maamuzi mengine. Huyu mwanamke nimefahamiana nae Toka mwezi wa 4 mwaka huu na alikua anaishi.mbali sana na mimi. Baada ya.mda kwenda tumekutana mwezi wa 8 tarehe moja, tukapima afya tukawa tuko vyema tu. siku...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuelekea bima ya afya kwa wote, serikali iweke tozo maalum kwenye sigara, pombe, soda ili mama na mtoto watibiwe bure

    Haina shaka kwamba pombe na sigara, soda na vinywaji aina yake, na pengine sekta ya madini, ndio visababishi vikubwa vya maradhi. Visababisha maradhi basi viwe na mchango katika tiba. Serikali ikae ifanye tathmini ili kujua endapo itaongezwa shilingi 100 kwa kila kinywaji, itapatikana shilingi...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mchungaji aliyeshtakiwa kwa kujaribu kulawiti mtoto afikishwa mahakamani

    Harold Gamalieli Mkaro ambaye ni Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Makedonia Lubaga Manispaa ya Shinyanga amesomewa shtaka la kujaribu kulawiti mtoto wa miaka 6 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Shinyanga. Agosti 24, 2022 Mchungaji huyo alifutiwa kesi namba 107 na...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jamii inampokeaje mtoto wa kike aliyepata ujauzito akiwa shule?

    Jamii nyingi zimekuwa zikiwatenga sana watoto wa like ambao wanabeba mimba wakiwa shule, wengi wao hawapati ushirikiana wankutosha kwa jamii zinazowazunguka, wahanga wengi wa tatizo hili huishia tu kuwa na msongo wa mawazo na kujiona ndio wameshafeli kwenye maisha. Serikali imewaruhusu watoto...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ulikuwaje Ulivyokuwa Mtoto? Hivi ndivyo nilivyokuwa!

    ULIKUWAJE ULIVYOKUWA MTOTO? HIVI NDIVYO NILIVYOKUWA! Anaandika, Robert Heriel Shahidi! Moja ya sababu kuu zilizonifanya nikiwa mdogo nisipende kusafiri Kwenda kwa Ndugu Mjini, ni sababu ya Uvivu wangu. Nilikuwa mtoto mvivu wa kazi hasa za Kuosha vyombo😊, sipendi kutumwa tumwa hasa nikiwa na...
  16. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Afrika ni ngumu mtoto wa maskini kuendeleza kipaji chake kwa support kutoka kwa baba yake

    Kipaji ni zawadi iliyopo ndani yako ambayo mungu mwenyewe kakupa kujua una kipaji gani hilo ni jukumu lako wewe mwenyewe tena. Lakini kiafrika afrika ni ngumu sana kipaji cha mtoto kuendelezwa na kupata support kutoka kwenye familia sio kwa sababu hawataki kipaji chako kiwe kikubwa ila tu "...
  17. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mtoto wa miaka 14 anayemiliki kiwanda cha kuzalisha breki za pikipiki, tunaweza kuiga kwa hapa Tz?

    Mahitaji ya ‘brake shoe’ za pikipiki ni kubwa mno, tunaweza kuokoa mabilioni yanayotumika kuziagiza toka nje ya nchi na kutatuabtatizo la ajira kwa kuwapa vijana mazingira mazuri ya kufanya ‘start ups’, tozo ni kikwazo kikubwa kwa wajasiriamiali. Tuone kama tuna la kujifunza kwa huyu mtoto...
  18. Aaliyyah

    JamiiForums Tanzania Nataka kukaa mbali na mtoto

    Natumain wazima kama kichwa Cha habari kinavojieleza. Nilikuwa kwenye mahusiano na mtu lakini nilikuta tayari anamtoto wa miaka 5 mwenzangu hakuwai Kuishi na mzazi mwenzio na mtoto analelewa Kwa bibi yake, baada ya kunitambulisha yule mtoto kiukweli nilikuwa nampenda sana na mtoto alikuwa Yuko...
  19. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mtoto na Runinga, na je kuna sheria ya inayodhibiti Hilo?

    mtoto na runinga
  20. Kalpana

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtoto wa Mbunge Cecil Mwambe afariki dunia kwenye swimming pool

    Mtoto wa mbunge Mwambe afariki dunia jana akiwa anaogelea na wenzanke nyumbani kwao. Alijirusha kwenye kina kifupi cha maji ndani ya bwawa la kuogelea lilipo nyumbani kwao na akagonga kichwa. Watu wazima hawakuwepo nyumbani chanzo cha taarifa kinasema. Poleni kwa familia
Back
Top Bottom