Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.
Mtoto mmoja Wilayani Makete mkoa wa Njombe amekutwa amefariki kwa kujiua kutokana na kunywa sumu baada ya kuonywa kwa kufokewa na Baba yake aliyekuwa akimuonya baada ya kuwaacha punda waliokwenda kula mazao kwenye shamba la Watu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Hamis Issah amesema Mtoto huyo...
Hii sasa ni hatari, hatujui dunia inaelekea wapi. Siku hizi ni kawaida kusikia mtoto kamuua mzazi wake au mzazi kamuua mtoto wake.
Ni kawaida kusikia mume kamuua mke wake au mke kamuua mume wake. Yani ni vurugu mechi kila iitwayo leo.
Habari wadau.
Najua wengi tunaikumbuka hii Debate Topic "Is Education Better Than Money?
Kipindi tunashiriki hii debate tulikuwa wadogo na wategemezi. Nina imani sasa tumekuwa na tumeona mengi kwenye maisha.
Je wewe kama mzazi unaona lipi litamfaidisha sana mwanao akifikia umri wa...
Tafiti zinasema mtoto hurithi kila kitu kwa mama zaidi lakini kwangu mimi hili ninalikataa...ukweli usemwe tu kuna wengine kuna wengine tumekuwa ndio ngao kubwa kwa hawa wazazi wetu ( wa kike ).
Hata uwezo wao wa kufikiri inaonekana kabisa ni mdogo unamshauri unamuambia kabisa hiki...
Yaliyomo:
UTOTO NA UWAJIBIKAJI WA MZAZI KATIKA MALEZI YA MTOTO
MTOTO NA ELIMU
MTOTO NA JAMII
TABIA NA MATENDO
MTOTO NA MTAZAMO WA MAISHA
ATHARI ZA MALEZI DUNI
UTOTO NA UWAJIBIKAJI WA MZAZI KATIKA MALEZI YA MTOTO
Utoto hauepukiki lakini je watoto wengi wanafurahia utoto wao?
Hali ya...
Habari za muda,
Niende kwenye kuonba msahada mtoto wangu kwa sasa ana umri wa miaka 3 ila kuna hali inayo mtokea nimeshidwa kutambua nini naomba kufahaam mtoto kucha tembea uku akichapia mguu mmoja ambao ni wakulia mwanzo niliona labda atakuwa ameumia kwa michezo ikapita miez kama miwili akawa...
Pata picha umesafiri umeacha familia yako Junior anaumwa, umefika ulipokwenda unampigia simu mkeo kujua vipiimo vinasemaje
Mimi: Habari mke wangu doctor kasemaje
Yeye; Kasema mtoto ana YUTIYAI na AMWIBA
Mimi; nisomee dose yake
Yeye; mwayego hapa maandishi siyaoni vizuri kuna herufi kama sio nne...
MTOTO NDANI YA GIZA JEUSI.
Mimi ndio taifa la kesho kweli kwa haya uliyonitendea?
Nikifiwa na wazazi wangu sina amani tena ya kesho, wazazi wakinipeleka shule za hosteli nikiwa bado mdogo sina raha kwa vitendo vya ulawiti na ubakaji ninavyofanyiwa na kaka zangu, nikiwa nyumbani na babu yangu...
Upande wa pili kwenye Simu "Ujue mtoto toka Jana homa imepanda sijampeleka hospitali kwasababu hujatuma hela''.
Mshikaji ''inamaana umeashindwa kupata buku la kumpeleka hospitali mpaka uningojee mimi'' wakaanza kurushiana maneno mtu na bwana wake.
Ikabidi niingilie Kati nikamwambia jamaa,ndugu...
Nina muda kidogo tokea niwasili mkoa huu wa Mara kwa kazi maalum ambayo itaendelea kuniweka uku kwa miezi kadhaa.
Kabla sijafika uku na ata baada ya kufika, nlishapata taarifa nyingi kuwa mkoa huu kukatwa mapanga kwasababu ya wanawake ni jambo la kawaida sana. Yaani mtu anaweza kukuchinja kisa...
Yaani anakujaza upepo unaingia kingi unamtukana hadharani anakuangalia tu.
Sekretariate inakupeleka kamati ya nidhamu.
Unaibuka kuwa hukumtukana
Anakupigia simu kuwa njoo home tuyamalize.
Unaenda nyumbani kwake kama bibi harusi ukiwa na mshega,unakaribishwa juice mtoto wake anakupiga picha na...
Ni ukweli usiosemwa!
Wazee wetu ambao tumekuwa tukiaminishwa kuwa ni visima vya hekima na busara, kwamba tuwasikilize na kujifunza kwao. Kiuhalisia hawana mchango wowote kwenye dunia ya leo ya sayansi na teknolojia.
Malezi yao hujikita kwenye kile wanachokiita maadili na mila, na kwa wachache...
Jacob Ochola, (62) anayedai kuwa Mtoto wa kwanza wa Rais Mwai Kibaki, amefungua shauri la kutaka kutambuliwa na familia ya Hayati huyo kama mwanafamilia na mrithi wa sehemu ya ardhi inayoripotiwa kuwa na thamani ya Mabilioni ya Shilingi
Katika shauri hilo Ochola anaitaka Mahakama kuwashurutisha...
Ingawa ni utaratibu wa Magharibi kusherehekea simu ya kuzaliwa, taratibu nyingi tulizoona zinafaa tuliiga kutoka kwa Wakoloni wetu kuanzia Waarabu na hata Wazungu.
Siku ya kuzaliwa ni muhimu sana kwa mtoto, hii ni sherehe yake yeye binafsi. Tofauti na sikukuu za dini zinazojumuisha jamii...
Habari za siku nyingi wakuu na members wore wa JF.
Ndugu wana JF wezangu tarehe 25 mwezi wa sita mwaka huu, wife alijifungua mtoto wa kilo 6 na mtoto akawa na tatizo la ugonjwa wa mdomo sungura.
Nashukuru Mungu hadi sasa mtoto anaendelea vizuri, nimeazisha thread hii kwa lengo la kuweza moja...
Hongera sana kwa Rais Paul Kagame wa Rwanda Kupata Mjukuu wa pili
Nimeambatanisha picha ya Mjukuu mkubwa wa Rais Kagame akimbeba kwa furaha mdogowe
Angel ndiye Binti pekee wa Rais Kagame
President Paul Kagame on Wednesday announced the birth of his second grandchild, born to Ange I. Kagame...
Mama na mtoto wake wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, kwa madai ya kumuua Beatrice Magombola ambaye ni ndugu yao wa damu moja.
Washitakiwa hao ni Alphonse Magombola (34) mkazi wa Bunju B Mpakani na Sophia Mwenda (61) mkazi wa Mbagala, Dar es Salaam.
Marehemu...
Miaka kumi na kadhaa huko nyuma kuna katoto ka jirani yetu hapo ka kike kalikuwa katundu katundu balaa,
Muda wote kanashindia chupi tu, au muda mwingine unaweza kakuta kako uchi kabisa,. Basi mama ake alikuwa anapenda kumtania kweli, huwa nikitokea tu kakiwa uchi utasikia Kimbia nenda kavae...
Muigizaji wa Nigeria, Olanrewaju Ominyika (49), maarufu kama ‘Baba Ijesha’ amepatikana na hatia ya kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 14 kati ya mwaka 2013 na 2014
Mnamo Mwaka jana, Omiyinka alikiri mahakamani kumlawiti mwathiriwa, lakini akasema ni katika muktadha wa nafasi aliyokuwa akiigiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.