Nina Mpango wa kuitoa hii mimba! siko tayari kabisa kulea mtoto asiye wangu

Now or Never

Member
May 20, 2022
45
109
Nimejaa hasira asubuhi asubuhi yani wakuu,

Naombeni ushauri japo naweza kuchukua maamuzi mengine.

Huyu mwanamke nimefahamiana nae Toka mwezi wa 4 mwaka huu na alikua anaishi.mbali sana na mimi.

Baada ya.mda kwenda tumekutana mwezi wa 8 tarehe moja, tukapima afya tukawa tuko vyema tu.

siku hio hio tukashiriki tendo la ndoa bila kinga.

Lakini baada ya siku 10, nilimpima UPT nikakuta ana mimba, Doctor akaniambia ina wiki kadhaa!😳😳😳

hapo ndipo wasiwasi ulipoanzia. Inakuaje ??

Leo ni siku ya 31, nimechukua vipimo vya ujauzito kwa mara ya pili, Doctor ananiambia inaonekana kuwa ina zaidi ya mwezi mmoja.

Kipimo chenyewe ni hiki.

IMG_20220831_071458_990.jpg


inakuaje hapa wadau?
Je Doctor yuko sahihi mimba si yangu?

Mpaka sasa nashindwa.kufanya kazi sababu ya mawazo
 
Kama sio yako una mandate ipi kuitoa ?

Mwenye maamuzi ni Mama mwenyewe tena usije jaribu kudiriki wewe ndio ku-suggest mama aitoe cha kufanya mwambie ukweli haupo tayari kulea yeye achukue maamuzi..., Ni ushauri tu...
 
Bro kaa na mwanamke huyo akuhakikishie kuw mimba ni yako au si yako kabla hujaanza kulea

Ila kwa Tanzania vipimo vyamimba(umri wa mimba huwa hakisahihi ni 50/50 tuu ) so ukifanya maamuz kuptia taarfa za doctor pekee bila kumsikilza unawez kuw sawa au si sawa.

Nakutakia kila la Heri.
 
Huyo dokta amejuaje umri wa mimba kwa hiko kipimo?
Sema tu unataka kumtelekeza binti wa watu so unamtafutia sababu

Starehe unapenda ila majukumu hutaki, ungetumia kinga au ungemwaga nje
 
Utakuwa una umri chini ya miaka 22

Umeshagundua mimba sio yako sasa una pata wapi nguvu za kusema ukaitoe?

Wewe ndio umebeba?

Mwache mwenye mimba yake atajua yeye atafanyaje.
 
Huyo dokta amejuaje umri wa mimba kwa hiko kipimo?
Sema tu unataka kumtelekeza binti wa watu so unamtafutia sababu

Starehe unapenda ila majukumu hutaki, ungetumia kinga au ungemwaga nje
Wanawake bwana....eti mwagia nje🤣🤣🤣
Mnavyotupigaga roba wakati wa mgegedo ata huo upenyo wa kuchomoa umwagie nje hupati
 
Back
Top Bottom