mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Haki ya kumuona Mtoto baada ya kuachana au kutengana na mzazi mwenzako

    Andiko la Wakili Bashir Yakub kuhusu haki ya mzazi kumuona mtoto baada ya kutengana na mwenza au kuachana kabisa. Sheria Namba 21 ya Mwaka 2009 Kifungu cha 38 cha Sheria ya Mtoto kinatoa haki hiyo na mzazi au mlezi anayekaa na mtoto hapaswi kuipinga, muhimu kusiwe na lengo la kumdhuru au kitu...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike mkeo anapogoma kwenda kupima vinasaba vya mtoto?

    Bwana Ali ndoa yake ina mwaka wa tano, tangu ndoa ikiwa na miaka mitatu ugomvi usio na ukomo ulianza. Ali alikuwa akimtuhumu mkewe Asha kwa kutembea na bosi wake. Mtoto wao ana mwaka wa pili sasa, Ali anasisitiza wakapime vinasaba lakini mama amekuwa mbogo, anasema bora apewe talaka lakini siyo...
  3. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni awaomba msamaha Wakenya kufuatia Tweets za uvamizi alizoweka mwanaye Jenerali Muhoozi

    Siku chache tu baada ya mtoto wake kuzua dhoruba kwa msururu wa ujumbe wa Twitter uliozusha mgawanyiko, Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba msamaha kwa Rais wa Kenya William Ruto. Akitishia kuivamia Kenya na kuiteka Nairobi, Jenerali Muhoozi Kainerugaba alidai operesheni hiyo ingechukua si...
  4. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Aliyebahatika kusoma na mtoto wa kiongozi kwenye shule za kata aje hapa

    Pasina kupoteza muda naomba kujua hizi shule zetu za kata ndizo hata watoto wa viongozi wetu wanasoma? Kwa mwenye uzoefu aje atueleze Hali ilikuwaje na mlikuwa mnawachukuliaje? Na wao walijionaje?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kunipa mtoto tu

    Amani iwe kwenu wapendwa. Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 40 BILA MTOTO WALA MKE (ni member wa muda humu, sema nimeamua kutumia id tofauti ili kutunza heshima). Ni mtumishi kwenye kampuni binafsi inayoendesha shughuli zake Dar es Salaam. Kwa nyakati tofauti nimekuwa na mahusiano na...
  6. Trab na Trat

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni ampandisha cheo mwanae kuwa Jenerali wa Jeshi

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amempandisha cheo mtoto wake Muhoozi Kainerugaba, kutoka kwenye cheo cha Luteni Jenerali hadi kuwa Jenerali. Kupitia ukurasa wake wa Twitter Jenerali Kainerugaba, amemshukuru baba yake kwa kumpa nafasi hiyo.
  7. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Mwanamke jela maisha kwa kumbaka mtoto wa kiume

    Mahakama ya Rufani Tanzania imebariki kifungo cha maisha jela alichohukumiwa mwanamke mkazi wa Morogoro mjini, Shani Suleiman (35) kwa kosa la kumbaka mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 12. Ushahidi unaonyesha mwanamke huyo alikamatwa baada ya mama mzazi wa mtoto huyo, akiwa na rafiki yake...
  8. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Usimuache mtoto peke yake kwenye gari. Joto linaweza kumuua

    Haushauriwi kumuacha mtoto mwenye umri mdogo akiwa peke yake kwenye gari huku madirisha yakiwa yamefungwa hasa wakati wa jua kali au baada ya kuendesha gari husika umbali mrefu. Hali inayoitwa Heat Stroke inaweza kutokea. Hutokea baada ya mifumo ya mwili kushindwa kudhibiti ongezeko la ghalfa...
  9. Championship

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

    Katika soma yangu nimekutana na hii aya. Naona inapishana na baiolojia niliyosoma miaka ile ya sekondari. Quran 23:14 Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyoganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Moshi: Kanisa Katoliki lamsimamisha Padri anayetuhumiwa kubaka Watoto

    Siku mbili baada ya Padri Sostenes Bahati Soka wa Jimbo la Moshi, mkoani Kilimanjaro, kushtakiwa kwa ubakaji wa watoto watatu, Kanisa Katoliki nchini limesema limemsimamisha kutoa huduma za kiroho hadi tuhuma zinazomkabili zitakapomalizika. Padri huyo aliyekuwa paroko wa Parokia Teule ya...
  11. Feliz1

    JamiiForums Tanzania Je unaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto?

    Ukiwa kama mtoto wa kiume unayetegemea kuoa je, unaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mwalimu uliyemtelekeza Mpwayungu Village, tafadhali rudi umchukue mtoto wako

    Tangu ulipomtelekeza kijana huyu hajawa sawa! - mtoto wako sasa anachukia walimu wote na kukesha akiwazulia kila baya kwa lengo la kujitibu stress ulizomsababishia za kumtelekeza kwa mzazi wake wa kike. Bahati mbaya sasa, anaowashambulia ni mabingwa wa kuhangaika na akili za watu hivyo...
  13. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Unyanyasaji, ukatili anaofanyiwa Mtoto unaweza kumfanya awe mkatili

    Kutokana na matukio mfululizo wa mengi ya unyanyasaji wa kijinsia hasa ubakaji na ulawiti kuendelea kuripotiwa, Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Aifello Sichalwe anafafanua matukio hayo kitabibu yanaathiri vipi jamii na wale wanaotendewa uhaifu huo: Kunakuwa na uhatarishi wa maambikizi ya Magonjwa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Msaada jaman mtoto wangu kakosa chuo

    Kamaliza form six HGL kapata 2 ya 12 kaomba chuo kakosa tumeamua kubahatisha kwa vyuo hivi je ni vizuri? 1)Muccobs 2) stephano memorial 3) Cdti tengeru arusha.. Na kozi ipi nzuri Kati ya hizi _ Bachelor of human resources management _Bachelor of community economic development _Bchelor of Arts...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Babu wa miaka 70 afumwa akilawiti mtoto wa miaka 14

    #HABARI Jackson Lukondo mwenye zaidi ya mika (70) anashikiliwa na vyombo vya dola kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi wa kiume wa shule ya msingi Masawe (14) ambaye amekuwa akimdanganya anamfundisha tohara inavyofanywa na kumtishia kumuua akisema anachomfanyia. #EastAfricaTV...
  16. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Je, mzazi anahusika katika kufaulu ama kufeli kwa mtoto?

    Kushuka kwa kiwango cha ufaulu kwa watoto limekuwa tatizo kubwa katika jamii yetu. Pamoja na mambo mengi yanayochangia tatizo hili, kutokuwepo kwa ushirikiano kati ya walimu na wazazi katika kumlea mtoto kitaaluma ni kikwazo kikubwa. Wajibu na majukumu ya mzazi kwa mtoto wake anapokuwa nyumbani...
  17. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Jinsia ya mtoto isiwe sababu ya kumnyimwa malezi makini

    Chaguo la kupata mtoto wa kike au wa kiume imekuwa ikiwatesa wazazi wengi kwa muda mrefu sana, hasa baada ya kupata mtoto tofauti na jinsia waliyoitarajia, yaani mzazi alipenda apate mtoto wa kike lakini akapata mtoto wa kiume, au wa kiume akapata wa kike. Wazazi hawa baada ya kupata mtoto nje...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mzee mwenye miaka 52 afungwa miaka 30 kwa kubaka mtoto wa miaka 7

    Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kiteto dhidi ya Charles Lemje mwenye miaka 52, Mkazi wa Kijiji cha Pori Namba Moja mbele ya Hakimu Mosi Sasy. Mshtakiwa alikumbushwa kosa lake na Mwendesha Mashtaka wa Serikali Willfred Mollel kuwa Septemba 23, 2021, alimbaka mwanae wa kufikia...
  19. Z kali

    JamiiForums Tanzania Tunamsaidiaje huyu mtoto wa Sister?

    Nawasalimu nyote Dada angu MKUBWA ana watoto wanne wote wa kiume, Sasa shida ni huyu wa mwisho, tangia Yuko mdogo alikuwa na vitabia tabia kama vya kike, yani michezo yake, pia alipenda Sana kucheza na watoto wa kike zaidi kuliko wa jinsia yake, na vitabia vingine zinazofanana na hizo, Amekuwa...
  20. Ingiliti

    JamiiForums Tanzania Mtoto kutokwa na uchafu mweupe ukeni

    Habari zenu members wa Jf, Kuna shida inatanitatiza kwa mtoto wangu wa kike mwenye umri wa miaka mitatu, ni kwamba amekuwa na kawaida ya kutokwa na maji meupe kama maziwa sehemu zake za siri kila baada ya muda flani, nimejaribu kumpeleka hospital mbalimbali naambiwa U.T.I anapewa dawa na muda...
Back
Top Bottom