Kwasasa tunatembea barabarani ila ndani ya miili ni wabovu usije kumpiga mtu hata kwenzi la kichwa utaishia jela ndugu yangu watu tumeoza maradhi kama yote kutilia ndani saratani,ukimwi na BP.
Ni muhimu tujiulize hasa kundi la vijana la kataa ndoa,team chaputa,UWABATA for life na wale wa kutoa...