mtihani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Twilumba

    JamiiForums Tanzania Vihoja Chumba cha mtihani

    Chumba cha mtihani ni mahala ambapo pameja vihoja vingi sana hasa kwa level kuanzia Darasa la 4 hadi elimu ya juu hata Masters! Katika uzi huu naomba tukumbushane vihoja ambavyo tumekutana navyo kwenye chumba cha mtihani. Mimi nakumbuka tukiwa undergaruate mama mmoja aliambiwa anyanyuke lile...
  2. Mhaya wa Arsenal

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napata mtihani kupata field

    MREJESHO: Nimefanikiwa kusaidiwa kupata field wakuu, mungu awabariki wote mliotoa mchango wenu wa kimawazo katikabuzi huu. 🙏 Wakuu habari za wakati huu, Wakuu habari za wakati huu, Nakuja kwenu kwa ombi la unyenyekevu: Msaada katika kutafuta fursa ya mafunzo kwa vitendo. (FIELD). Kwa sasa...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Serikali: Walimu sasa kufanya mtihani wa kupima uwezo kabla ya kuajiriwa

    Ule mtazamo kuwa taaluma ya ualimu ni chaguo la mwisho baada ya kukosa fursa nyingine unakaribia ukingoni, baada ya Serikali kutangaza utaratibu mpya katika ajira za taaluma hiyo. Utaratibu huo, kwa mujibu wa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda utahusisha, ili uajiriwe...
  4. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Clement Mzinze apasua mtihani wa darasa la nne

    Mtoto wa mchezaji kinda wa Yanga Clement Mzinze (19) (jina kapuni) amepongezwa na ukurasa rasmi wa shule yake kwa kufanya vizuri katika mtihani wa darasa la nne wa katikati ya mwaka kwa kupata A nne na B pekee. Itakumbukwa kuwa mtoto huyu sio wa Kwanza kufanya vizuri, kwani kipindi cha nyuma...
  5. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Shule ya Sheria Changamoto

    Shule ya sheria ni taasisi ya elimu ya juu inayotoa mafunzo ya kitaalamu kuhusu sheria na kuwapa wanafunzi stadi na maarifa ya kuwa wataalamu wa sheria. Shule za sheria zinatengeneza wanasheria wenye ujuzi ambao wanaweza kufanya kazi katika mazingira ya kitaalamu Kama vile mahakama,uchumi Ww...
  6. Surveyor_1

    JamiiForums Tanzania Kwanini private candidates wengi huwa wanafeli (hawapati matokeo mazuri kama ya school candidates?

    Habari wana JF. Kuna mwalimu mmoja mstaafu nilimsikia akisema private candidates mara nyingi huwa hawafanyi vizuri kwa kuwa alama zao za mitihani hugawanya nusu kwa kuwa wao huwa hawana assessments za darasani na majaribio kama school candidates. Ama kwa upande wa school candidates wao yale...
  7. Surveyor_1

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kufanya mtihani wa Biology A level kama private candidate ili kupata credit ya kusomea medicine?

    Habari wana JF, natumai muwazima. Nina jambo limenitatiza naomba ufafanuzi. Swali ni kuwa, kwa mtu ambae A level alisomaga PCM na akafaulu vizuri,je inawezekana kama akihitaji kusomea medicine akafanya mtihani wa Biology A level ili kupata credit (kwa kuzingatia anahitaji mchepuo wa PCB kwa...
  8. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Kuingia fainali kwa timu ya Yanga na USM Alger ni Mtihani mkubwa sana

    Kwanza naomba niipongeze Timu yangu ya Yanga kwa kufikia hutua hii adhimu ya fsinali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mmetuheshimisha sana sana, kweli hatuna deni na nyie, pokeeni maua yenu. Lakini naomba nitoe angalizo kwa timu yetu, hatua mliofikia ni mtihani mkubwa sana huenda kuliko watu...
  9. Mpatuka

    JamiiForums Tanzania Mtihani wa kiingereza kwenye mchakato wa kupata ufashili wa masomo

    Habari za muda huu wajumbe katika jukwaa letu pendwa natumaini mu wazima wa afya, bila kupoteza muda moja kwa moja niende kwenye mada. Naomba kuulizia ule mtihani wa kiingereza unaofanyika kukupima kama unaimudu lugha hiyo kwaajili ya kupata ufadhiri wa masomo kwa hatua ya postgraduate studies...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Haya ni matokeo ya mtihani katika shule zinazozalisha wapiga kura wa CCM

  11. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Mmoja tu afaulu mtihani wa uwakala wa wachezaji wa FIFA, ni nani huyu?

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza au kuuliza, naomba mwenye taarifa atujuze ni wakala gani pekee alifaulu mtihani wa FIFA wa uwakala wa wachezaji? Je, watanzania ni vilaza kiasi hiki? Nimetoa taarifa hizi toka kwa Angitile Osiah kama alivyo eleza katika moja ya makala yake kwenye gazeti la...
  12. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kumbe inawezekana mtu akawa kaelimika bila kufaulu mtihani wa darasani kisha utendaji ukaamua kupima kwamba aliefaulu darasani hajaelimika ?

    Mfano kuna kijana anatengeneza vifaa vya umeme kama radio na tv, ana ofisi nzuri tu inayoaminika. akitengeneza tvau radio yako inarudi katika hali yake na unaweza kuendelea kuitumia bila tatizo Huyu kijana tayari ana elimu ya umeme ila hajasoma akafaulu mtihani wowote unaohusu umeme, kama...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa utiaji na usahihishaji Mtihani wa darasa la Saba ubadilishwe

    Mfumo wa utoaji na usahihishaji Mtihani wa darasa la Saba ubadirishwe Ndugu Wanabodi, nimeangalia na kusikia kuhusu kiongozi alietangaza kusitishwa masomo Ili kupisha KKK. Mwalimu ameshaandaa mpango kazi, scheme of work, lesson notes n.k anaambiwa asitishe. Mimi mwalimu wa sekondari nahusikaje...
  14. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Hivi mapolisi siku ya mtihani uwaga wanalinda nini?

    Naomba kufahamu
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda: Shule nne zilizofanya Udanganyifu Mtihani kidato cha nne 2022 zichunguzwe na hatua zichukuliwe

    Na WyEST MWANZA Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Adolf Mkenda amemuagiza Kamishna wa Elimu kufanya uchunguzi wa kina kwa Shule nne zilizobainika kufanya udanganyifu mkubwa katika mtihani wa kidato cha nne mwaka 2022. Prof. Mkenda amesema hayo alipokutana na Wazazi na walezi...
  16. Surveyor_1

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kufanya mtihani wa ACSEE kama Private Candidate kwa mtu mwenye diploma au degree?

    Habari wana JF, Karibuni nataraji kujiunga na diploma ya computer science,nimelazimika kusoma diploma kutokana na majukumu yangu kwa sasa japokuwa form four nilifaulu vizuri tu namshukuru mola. Swali langu ni kuwa, je naweza kufanya mtihani wa ACSEE kwa baadae kama private candidate sawa...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 12,536 hawakufanya Mtihani wa Kidato cha 4 mwaka 2022

    Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne yaliyofanyika Novemba 14 hadi Desemba 1, 2022, Tanzania Bara na Visiwani. Matokeo hayo yametangazwa leo Jumapili, Januari 29, 2023, makao makuu ya Necta jijini Dar es Salaam na Kaimu Katibu Mtendaji wa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO University of Dar es Salaam Business School (UDBS), kuvuja kwa mtihani (test) ya Information Management Systems (IM 305), uliofanyika tarehe 18/01/022

    Wakuu, Kama kichwa cha thread kinavyosema. Siku ya tarehe 18/02/2022 Saa saba Kamili ulifanyika mtihani wa INFORMATION MANAGEMENT SYSTEMS (IM 305). Baada ya kutoka kwenye mtihani huo, wanafunzi baadhi walionekana kuwa na huo mtihani kwenye simu zao, ukionekana kupigwa picha mapema kabla ya...
  19. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kupata alama A zote kwenye mtihani wowote shuleni? Ilikuwa shule gani na ulijisikiaje baada ya matokeo hayo?

    Wakuu kwema! Mimi niliwahi kupata alama A zote katika mtihani mara kadhaa nikiwa O level huko Kwiro Sec Moro, na pia nilipokuwa Mkwawa high school niliwahi pata A zote mara kadhaa katika mitihani. Kiukweli nilikuwa najisikia vizuri sana na ilinipa ham ya kusoma zaidi. Je, humu jf tupo watu...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kutoa matokeo ya mtihani kwa majina umetusaidia sana hatudanganywi tena

    Nashauri baraza la mtihani wasiishie Kwa kidato cha pili, darasa la Saba na darasa la nne, warudishe pia na kidato cha nne. Kuna madogo huku mtaani tulikua tukiwaambia wasome walikua busy na wavuvi camp mambo hadharani, hakuna kuuliza sijui namba yako ni ipi. Nashauri Kwa kidato cha nne...
Back
Top Bottom