Huduma ya 'salary slip' mtandaoni imeondolewa?

mwarobaini_

JF-Expert Member
Jan 26, 2020
1,510
2,000
Kuna namba zao za simu pale kwenye page yao, ukiweza kufungua wapigie, jamaa huwa wanatoa ushirikiano mzuri sana.
 

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
7,677
2,000
Piga
+255262160000
Shukrani boss. Kama kawa, inaiita wanakuwekea kawimbo then Call Ended.

Screenshot_2021-06-02-14-18-24-617_com.android.contacts.jpg
 

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
42,904
2,000
Wizara ya fedha, tunaomba maelezo nini kinaendelea kwenye hii system ya salary slip portal kwani haitoa salary slip za mwezi May mwaka huu wa 2021. Salary slip za miezi ya nyuma zinapatikana.

Imefika hatua watu tunaanza kujiuliza iwapo huu ni muendelezo wa kinachoonekana ni hujuma kwa system za serikali au ni tatizo tu la kiufundi?

Tunaomba majibu kwani watumishi wanazihitaji hizo salary slip za online kwa matumizi mbalimbali kama kuchukua mikopo, n.k.

Mama Samia, kama unapita humu na huna taarifa, basi hali ndio hio hivyo tunaomba uingilie kati.

Nawasilisha.
 

kedrick

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
4,758
2,000
Nchi hii bhana,mfumo wa luku, tra, Lawson, salary slip yote imebuma hakuna maelezo ya kina.
Lawson mkataba ulikuwa umeisha ndo maana ulikuwa unasumbua sasa hivi haitumiki tena wana mfumo wa mpya unaitwa hcmis huu umetegenezwa na sie Tz wenye.
Hili la Lawson na sasa hili la salary slip, Mama anaweza kuyaona ni madogo, ila wabaya wake ndio wanapata mwanya wa kujenga hoja za kumlinganisha na mtangulizi wake.
Lawson mkataba ulikuwa umeisha ndo maana ulikuwa unasumbua sasa hivi haitumiki tena wana mfumo wa mpya unaitwa hcmis huu umetegenezwa na sie Tz wenye.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom