Hivi unaweza kupata leseni ya biashara kwa biashara ya mtandaoni isiyo na physical address?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
14,928
2,000
Eti wandugu, ukiuza vitu mtandaoni bila kuwa na ofisi unaweza pata leseni ya biashara?
 
Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
9,671
2,000
ukiuza vitu mtandaoni bila kuwa na ofisi unaweza pata leseni ya biashara?
  • Ndio
  • Unaweza pata leseni ya biashara.

Biashara mtandaoni kwa sasa ni rasmi inatambulika.

Je nini unatakiwa kuwa nacho ili upate leseni ya biashara kwa shughuli unayofanya mtandaoni.
#1. Hakikisha unakuwa na TIN number
#2. Hakikisha unakuwa na anwani yako (fika posta wakupe Box number yako, utakayotumia kujaza kwenye docs. mbalimbali )
#3. Hakikisha unakuwa na Jina la biashara yako

Kwa msaada zaidi muone Afisa biashara wa wilaya uliyopo.
 
Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
14,928
2,000
  • Ndio
  • Unaweza pata leseni ya biashara.

Biashara mtandaoni kwa sasa ni rasmi inatambulika.

Je nini unatakiwa kuwa nacho ili upate leseni ya biashara kwa shughuli unayofanya mtandaoni.
#1. Hakikisha unakuwa na TIN number
#2. Hakikisha unakuwa na anwani yako ( fika posta wakupe Box number yako, utakayotumia kujaza kwenye docs. mablimbali )
#3. Hakikisha unakuwa na Jina la biashara yako

Kwa msaada zaidi muone Afisa biashara wa wilaya uliyopo.
Shukrani sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom