Maria Sarungi aendesha mkutano ulioshirikisha zaidi ya watu elfu sita mtandaoni

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Juzi kwenye mjadala wa Kodi tulikutanika watu zaidi ya elfu 2 bila kuomba kibali cha polisi na tukajadiliana kwa amani nakuwafungua masikio na macho Wana CCM na wasio Wana CCM

Leo idadi imeongezeka na kufikia zaidi ya watu elfu 6 kitu ambacho ni nadra sana kufanya na hata Marais wa Nchi wanapokutqna na wananchi. Mjadala pia umeenda vizuri na Sasa hii SPACE inaonekana kuwa mbadala wa radio na televisheni ambavyo vyombo hivi vinavizingiti na hakuna Uhuru.

Lengo la space nikufikia mkutano wa laki moja kwa mara moja lakini pia uamasishaji unaendelea ili wasomi hasa vijana wahitimi wa shule na vyuo waweze kutumia fursa hii kujadili maendeleo na mustakabali wa Taifa letu.

Tuzidi kuhimizana tutumie mtandao kupanua uelewa na kuwapanua ufahamu walio chini au karibu yetu

Space- MJADALA UENDELEE
 
Soma hapo chini
Screenshot_20210721-223555_Twitter.jpg
 
Hongera sana.

Kwa hatua hii na juhudi hizi, nina uhakika maCCM yakiongozwa na mama Samia, Ndugai, Mwigulu nk. huko waliko wapo busy kutengeneza sheria na vikanuni uchwara vya kudhibiti mitandao, kukulipisha kodi, miamala nk.

Yale mashetani ya kiCCM hayakosi sababu za kuzuia maoni ya watu kusikika hewani.
 
Juzi kwenye mjadala wa Kodi tulikutanika watu zaidi ya elfu 2 bila kuomba kibali Cha polisi na tukajadiliana kwa amani nakuwafungua masikio na macho Wana CCM na wasio Wana CCM

Leo idadi imeongezeka na kufikia zaidi ya watu elfu 6 kitu ambacho ni nadra Sana kufanya na hata Marais wa Nchi wanapokutqna na wananchi. Mjadala pia umeenda vizuri na Sasa hii SPACE inaonekana kuwa mbadala wa radio na televisheni ambavyo vyombo hivi vinavizingiti na hakuna Uhuru.

Lengo la space nikufikia mkutano wa laki moja kwa mara moja lakini pia uamasishaji unaendelea ili wasomi hasa vijana wahitimi wa shule na vyuo waweze kutumia fursa hii kujadili maendeleo na mustakabali wa Taifa letu.

Tuzidi kuhimizana tutumie mtandao kupanua uelewa na kuwapanua ufahamu walio chini au karibu yetu

Space- MJADALA UENDELEE
Mkuu mapendekeza uandaliwe uzi maalumu wa namna ya kujoin SPACE YA MARIA ili kupanua wigo wa washiriki mijadala.
Ko gamano laweza kuwa kwenye SPACE wakati mwingine.
 
Back
Top Bottom