mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kwa Wanajeshi kurekodi video kama hizi na kuzisambaza mtandaoni?

    Wakuu kwema? Nimekutana na video hii mtandaoni, ambako huyu 'kuruta' (kama sijakosea) anapewa amri ya kugeuka kulia na kushoto, kijana huyo anafata maagizo aliyopewa huku anayetoa maagizo na wengine wakisikika wakicheka. Nini dhumuni la kurekodi video hizi mpaka kufikia hatua ya kuzirusha...
  2. J

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Yaadhimisha Siku Ya Mwanamke Duniani kwa Mkutano na Wabunifu wa Maudhui ya Mtandaoni

    Mada: Kuwawezesha Watengeneza Maudhui: Kupinga Dhana potofu kuhusu Wanawake Kulingana na Sensa ya 2022, idadi ya Wanawake Tanzania ni 31,687,990 ambao ni sawa na 51% ya idadi ya watu. Kulingana na Ripoti ya Pengo la Kijinsia ya Mwaka 2019 iliyotolewa na Shirikisho la Mawasiliano ya Simu za...
  3. JamiiForums Tanzania Matusi, kebehi na fedheha mtandaoni zinaweza kusababisha mtu kujiua

    Unyanyasaji mtandaoni ni matumizi ya teknolojia kumdhulumu, kumtishia, kumfedhehesha, au kumnyanyasa mtu mwingine. Vitisho mtandaoni na ujumbe wa kejeli, wa kibabe, au wa kudhalilisha kwenye maandishi, twiti, machapisho, au ujumbe wote huathiri. Pia kuchapisha maelezo ya kibinafsi, picha, au...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata wateja mtandaoni

    Hellow .... Wapendwa, Najua kutafuta wateja siyo kazi rahisi hasa kwa mtu ambaye anafanya online business...... Mnatumia mbinu gani kupata wateja wapya? Mnatumia njia gani kupata wateja wa kilasiku.....mbona Mimi naweza kumaliza mwezi na sipati mteja Na ninapost kila siku...... Nimegundua...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kulipa kupitia Vizacard mtandaoni

    Ndugu zangu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nimepatwa na changamoto ya kushindwa kulipia malipo mtandaoni kupitia visa card, nimetumia card ya TIGO,VODA na CRDB lakini nimeshindwa kufanikiwa kwa muda wa wiki moja sasa hata hivyo mwanzoni malipo yalikuwa hayasumbui...
  6. JamiiForums Tanzania Unachukua hatua gani unapokutana na taarifa potofu mtandaoni?

    Kupata habari ndani na nje ya mtandao imekuwa sehemu ya maisha yetu, ni kawaida kwenye mitandao ya ijamii na kwenye makundi sogozi ya WhatsApp, Facebook na Telegram kukutana na habari za uongo au zinazotia mashaka. Je, huwa unachua hatua gani unapokutana na habari za uongo au zinazokupa mashaka...
  7. H

    JamiiForums Tanzania TCRA mmeamua kuuza utu wetu kwa wahuni wa App za mikopo mtandaoni

    Ndugu wanajamvi, Asalaam Aleikhum. Kama kichwa cha habari kilivo hapo juu nimejikuta na kuwa mhanga wa hawa matepeli wa APP za mitandaoni. Iko hivi kuna mtu ambaye ninafahamiana naye ama ni mtu wangu wa karibu ktk familia, kwa utashi wake binfasi alikopa kwa hawa jamaa, alikopa lini na kiasi...
  8. JamiiForums Tanzania Watu 60 wajiua kwa kuaibishwa na mikopo ya mtandaoni India. Ni kama utapeli unaofanywa Tanzania

    Uchunguzi wa kijasusi uliofanywa na BBC umegundua yafuatayo. 1) Mteja mtarajiwa hutumiwa meseji akiambiwa kwamba amechaguliwa kupata mkopo wa kiasi flani, hivyo afuate link ya ‘playstore’ ili ku-‘download’ na ku-‘install’ app ya kampuni husika. 2) Wakati wa ku-‘install’, ile app inakuomba...
  9. S

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

    Huenda ni mimi nilifanya makosa kwa kutopitia terms & conditions vizuri ila hawa jamaa walicho nifanyia ni uzalilishaji mkubwa sana. Kuna app moja mtandaoni (play store) inaitwa "PESA M FINANCE". Hawa jamaa walinikopesha elfu 42 mtandaoni kwa muda wa siku 7. Siku jana nilitakiwa ndiyo nilipe...
  10. JamiiForums Tanzania Unatumia mbinu gani kujua ukweli wa taarifa unazokutana nazo mtandaoni?

    Kukua kwa utandawazi kumepelekea wimbi la uzwalishwa wa taarifa potofu kuongezeka zaidi licha ya kuwepo tangu awali. Katika kukabiliana na wimbi hili zipo njia mbalimbali ikiwemo kuhakiki chanzo cha taarifa na kuuliza kwenye jukwaa la uhakiki kama hili la JamamiiCheck. Huwa unatumia mbinu gani...
  11. JamiiForums Tanzania Umewahi kuona jambo gani mtandaoni ukaliamini baadaye ukaja kujua si la kweli?

    Kwenye pitapita zetu mtandaoni au nje ya mtandao tunaona machapisho na kusikia vitu vingi, vingine vinashawishi kuviamini kabisa ila baadaye unakuja kugundua havina ukweli wowote. Je, ni kutu gani umewahi kukutana nacho ndani na nje ya mtandao kakiamii ila ukaja kujua siyo kweli baada ya...
  12. JamiiForums Tanzania Nimepata manzi mtandaoni single mother anaishi ughaibuni, ananishawishi nihame bongo nifanyeje?

    Haya maisha kuna muda yana maswali magumu kama sio kigugumizi miezi kama sita sasa nimedate na manzi raia wa canada ila ana asili ya kenya ndoa yake imefeli 2021 na baada ya talaka kutoka akaamua kuishi mwenyewe na watoto wake wawili sasa toka tumeingia kwenye mahusiano muda mwingi ananisisitiza...
  13. JamiiForums Tanzania Faida ya kupata mpenzi mtandaoni

    Tuambiazane faida za kumtafuta au za kumpata mwanaume mitandaoni wanadumu.
  14. JamiiForums Tanzania Hasara za kutongoza mtandaoni

    Siku hizi teknolojia imekua kiasi kwamba sio lazima umtongoze mwanamke barabarani sababu kuna mitandao mbalimbali ya kijamii ambayo ina wanawake wazuri wengi tu wenye maumbo na rangi tofautitofauti. Ingawa wapo wanaofanikiwa kwa kuanzisha mahusiano na yanadumu ila wengi huanzisha mahusiano...
  15. JamiiForums Tanzania Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

    Ukiingia kwenye huu mfumo wa Tausi kupitia tausi.tamisemi.go.tz una vitu vingi sana ndani japo vingine naona havifanyi kazi. Nimefurahishwa sana na uuzaji wa viwanja ambapo unanunua kiwanja unakiona kwenye ramani kama ilivyo google map, tofauti na ile ya kwenye karatasi. Wengi tuna viwanja...
  16. JamiiForums Tanzania Soko la vitabu mtandaoni likoje?

    Nimeandika kitabu cha hisabati Kwa shule zinazotumia lugha ya kingereza, lakini changamoto ni Soko. Naomba mwenye uzoefu wa kufanya na kutangaza biashara mtandaoni anipé uzoefu au namna bora ya kufanya biashara ya academic books. Nipo Arusha.
  17. JamiiForums Tanzania Michela Wrong: Nilimkosoa Rais Kagame, sasa napiga kelele baada ya kuzidi kwa Mashambulizi ya mara kwa mara mtandaoni dhidi yangu

    Paul Kagame anaelewa thamani ya taswira inayoonekana. Anapenda kupigwa picha akiwa na sura ya furaha akimkabidhi mtu mashuhuri katika Kongamano la Kiuchumi la Dunia huko Davos - mwezi huu, Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy. Hilo linaendelezwa tu kwa kurejea nyumbani kupiga selfie na...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kupata Mke/Mume mtandaoni?

    Kuna mtu ana ushuhuda? Basi atudhuhudie. Hivi inawezekana kupata Mke/Mume mtandaoni?
  19. JamiiForums Tanzania Kurasa gani mtandaoni zimeku-block? Sababu ilikuwa nini?

    Wakuu hadi sasa hivi nimelimwa block kwenye page kadhaa mitandaoni sababu kubwa ni kuwa na mawazo tofauti. Hizi ni baadhi ya page ambazo nimepigwa block; 1. Malisa GJ - huyu kanilima block Instagram, Facebook na Twitter (X). Hataki kabisa kupingwa au kukosolewa. 2. Martin Maranja Masese - huyu...
  20. JamiiForums Tanzania Leo nimepoteza baba yangu wa mtandaoni Gonzale Lira

    Nimemjua kupitia Youtube, amenifunza mengi kwa video zake kuanzia jinsi ya kuishi na watu, uhalisia wa maisha, mahusiano uchumi na kadharka, kifupi hakua ameacha kitu. Ingawa kuna baadhi ya mambo machache sikua nakubaliana nae lakini amenifunza mengi sana. R.I.P Gonzale Lira a.k.a Coach Red...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…