Hasara za kutongoza mtandaoni

Daydream

Member
Oct 26, 2023
58
328
Siku hizi teknolojia imekua kiasi kwamba sio lazima umtongoze mwanamke barabarani sababu kuna mitandao mbalimbali ya kijamii ambayo ina wanawake wazuri wengi tu wenye maumbo na rangi tofautitofauti.

Ingawa wapo wanaofanikiwa kwa kuanzisha mahusiano na yanadumu ila wengi huanzisha mahusiano lakini hayadumu na wengi wao huachana hata kabla ya kuonana.

Changamoto kubwa ya kuanzisha mahusiano mtandaoni ni kwamba asilimia kubwa kubwa ya wanaotongozana wanakua mikoa miwili tofauti tena ipo mbalimbali, mfano mwanaume upo Dar lakini unatongoza mwanamke na kukubaliwa lakini wakati anakukubali tayari unakua ushajua mwanamke yupo Mwanza wewe upo Dar es salaam.

Mwanaume ukishagundua kwamba huyu mwanamke niliemtongoza yupo mkoa wa mbali na nilipo mimi unaanza kutochukulia serious hayo mahusiano.

Kwa mwanamke ni faida mana atakua anakuomba hela wakati wewe mwanaume hupati penzi lake mwisho wa siku utachoka vizinga na kuamua kuyapotezea.

Kutokana na hali hiyo, kutongoza mwanamke au kumuomba namba yake ya simu physically inabaki kuwa the best way ya kupata mwenza kuliko kutongoza tongoza hovyo mtandaoni.
 
Sawa tumekuelewa
 
Leo nilichojibiwa telegram
Screenshot_20240202-193134.jpg
 
Mademu zangu wote niliowahi KUDUMU nao niliwatoa mtandaoni, na tukadumu MUDA mrefu tu kikubwa ni Upendo km hakupendi hakupendi tu hata ufanyaje Ila kuna mmoja yule sio Mwanamke ni kichaaka nilijuta aliniganda kishenzi mpaka nikaona huyu Dawa ni kumtafutia mwenzie alafu namwambia amchane makavu siku hio KAPIGA simu nikampa B (demu wangu mwingine) nikamwambia emu ongea na huyu mtimue huyu ananifuata fuata B akamwambia maneno ya kuchukiza kuanzia hapo hakuwahi kunifuatafuata, na huyo B nilimpata mtandaoni like wise so ni wewe tu na maujanja yako utakula vinono vilivyopo mtandaoni km huna maujanja utaishia kupigwa na vitu vizito tu
Mwanamke niliewahi kumpenda sana na tukadumu muda mrefu nilimpata mtandaoni, hii ni bahati.
 
Back
Top Bottom