Faida ya kupata mpenzi mtandaoni

Faida zipo na unaweza usizipate, usizipate kwanini......?
kutofahamu sehemu/dating sites sahihi ya kumpata unayemhitaji.

Ufahamu finyu wa mambo ya kuzingatia unapomtafuta mpenzi mtandaoni,hapa ni lazima ukutane na zulu man kibaka wa tandale au kale ka binti katapeli toka magomeni.

Je,malengo yako/yenu ni nini kwa unayemtafuta?

Mambo ni mengi haswa.....

Binti,uko dunia ya ngapi?
 
Sawa so sio mbaya kutafuta huku
 
Back
Top Bottom