mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kozi za Mtandaoni na vyeti vya mtandaoni vipewe kipaumbele kuendana na soko la ajira kwa Tanzania

    Maono ya Kibunifu kwa Kozi za Mtandaoni kwa Tanzania: Miaka 5 hadi 25 Ijayo Utangulizi Katika ulimwengu wa sasa unaoendeshwa na teknolojia, elimu ya mtandaoni imekuwa njia muhimu ya kuwapatia watu ujuzi na maarifa. Hata hivyo, Tanzania bado inakabiliwa na changamoto katika kutambua na kukubali...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo wa masoko mtandaoni bandarini

    Cargo system mtandao ni mfumo wa teknolojia ambao unawezesha kusafirisha bidhaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa njia ya mtandao. Inaweza kutumika kwa kusafirisha bidhaa za kielektroniki kama vile data, video, na picha, au kutumika kwa kusafirisha bidhaa za kawaida kama vile nguo, vifaa...
  3. mohamed habibu

    JamiiForums Tanzania Taxi mtandaoni dereva

    Habari wana jamii, poleni kwa majukumu ya hapa na pale. Mim kijana wenu nimerudi tena baada ya matatizo ya kiafya na mshukuru mwenyezi Mungu kwa kunipa afya nyingine Kijana wenu nimekuja kwenu natafuta gari ya kwajili ya kufanya biashara ya tax mtandaoni. Natumain ombi langu nitapatikana...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ilikuwaje mara ya kwanza ulipokutana na mtu mliyechati mtandaoni kwa nia ya kuwa wapenzi?

    "Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi nikaachwa nimesimama. Kibaya zaidi hata kwenye gari hakushuka. Sikuweza kujua yule kijana alikuwa nani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Soma kwa umakini. Elimu ndogo ya ulinzi dhidi ya udukuzi mtandaoni

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana utapeli, wizi na machapisho ya aibu (explicit pornography) kwenye mitandao ya kijamii hususan facebook. Tumeona account za watu aidha zikitumia kurusha maudhui haya kwenye magroup mbalimbali au hata kupitia account zao wenyewe na kuwa-tag wengine. Mara zote account...
  6. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Watanzania tuwe Makini na habari za Mtandaoni

    Tuwe makini na watu wanaoandaa taarifa za video kama ya huyu anaye 'trend' kwa video ya madai kuwa eti anafanya mapenzi na nyoka Ili kupata hela pamoja na video zingine zenye mlengo aina hii. Napenda KUIKUMBUSHA jamii kuwa: Ni kosa la jinai chini ya Kanuni ya Adhabu , Sura ya 16 ya Sheria za...
  7. OMOYOGWANE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba kuna chawa, wanasafiri kila timu inapokwenda, wanalipiwa hadi bando kuandika uzushi mtandaoni

    Kuna mtu namjua na kumfahamu vilivyo, ni kijana msomi ana elimu nzuri ila kawa chawa, Kila timu inapokwenda kucheza na yeye huenda, ni miongoni mwa wale vijana wa kibegi cha makombe na kapu la magoli, na anamulikwa sana na camera za azam, ana kitambulisho maalumu, anapewa mpaka access ya kupiga...
  8. Ibanda1

    JamiiForums Tanzania Usitumie "Reviews" kama kigezo cha kununua Bidhaa mtandaoni utajuta

    Habari za majukumu wadau, naomba nizame kwenye maada moja kwa moja Wiki iliyopita nikiwa kwenye harakati za kusaka tonge mara nikasikia mlio wa message WhatsApp kwa kuwa simu ilikuwa kimya kwa muda mrefu chap nikaitoa mfukoni nikafungua message nikakutana na namba mpya code +27 nilijua tu hii...
  9. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Kuna kampuni ya wakopeshaji mtandaoni. Wamenipa mkataba mtandaoni wanadai niliridhia, ninawashtaki

    Serikali yetu imeacha hawa wezi watusumbue. Naapa kuwashitaki. Kuna kampuni nyingi kwenye mitandao inachukua taariza maskini watanzania na kuwakopesha kwa nguvu huwadai pesa nyingi kama rejesho. Nitakufa na mtu...twiga loan kaeni tayari I will ....@%&you
  10. Heparin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SI KWELI Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inapokea Maombi ya Wafanyakazi wa Kuboresha Daftari la Wapiga Kura Mtandaoni

    Habari, Nimeona tangazo Mtandaoni linadaiwa kutolewa na NEC, kwamba wametangaza nafasi za kazi ya uandishi wa daftari la kudumu la wapiga kura Mwaka 2024. Kinachonipa wasiwasi naona kama tovuti hii si rasmi. Ukweli wake upoje?
  11. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnavyokumbatia watu wanaotukana mtandaoni inawafanya muonekane chama cha kihuni

    Kuna watu kama Kigogo, Mange, Sukununu n.k ni watu ambao walivuma wakiitukana viongozi mtandaoni na kupata umaarufu kwa nyakati tofauti, na viongozi na wanachama wa CHADEMA wamekuwa wakidandia upepo wao japo baadae watu hawa wanakuja kuwageuka na kuwatukana na kudhalilisha viongozi wa CHADEMA...
  12. Edger Ezekiel

    JamiiForums Tanzania Kuna utapeli wa mtandaoni unautumia jina la UNICEF

    Jamii naomba tusaidiane kuelimisha juu ya utapeli unaofanyika hasa kwa mtandao wa facebook kwa kutumia jina la UNICEF. Utapeli huu sasa umekithiri na watu wengi sana wanaendelea kuumia juu ya utapeli unaofanyika na kikundi kinachotumia jina la UNICEF na kudai kuwa wanatoa msaada wa fedha mara...
  13. ndege joni

    JamiiForums Tanzania Msaada: Usumbufu wa Makampuni/Mitandao inayokopesha mtandaoni na nini cha kufanya

    Habari za mapumziko wote mtkaopata nafasi ya kusoma hii thread Mada yangu inahusu makampuni au mitandao inayotoa mikopo online, ambayo wengi kwa namna moja ama nyingine wameweza kupata usumbufu. Sio lazima uwe umeshakopa hata pia matangazo yao unapojaribu kuingia kwenye Mitandao mingine...
  14. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Hili la Makonda kuwataja hadharani anaowatuhumu kumtukana raisi mtandaoni, linaweza kumletea matatizo makubwa ya kisheria

    Katika hafla ya kumbukizi ya siku ya kifo cha Sokoine leo, Makonda amesema tarehe 15 April atawataja hadharani anaowatuhumu kufadhili wanaomtukana rais mtandaoni. Kwamba anawajua na baadhi yao ni mawaziri. Hili inaweza kumletea matatizo makubwa ya kisheria. Linaweza hata kupelekea kuwekwa tena...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ninafurahishwa sana na vita ya wenyewe kwa wenyewe mtandaoni baina ya makada wa CHADEMA. CCM itatawala kwa miaka mingi sana

    Ni jambo ambalo limenifanya nifurahie sana hii sikukuu ya Eid. Huko X (Twitter) kuna vita kali baina ya makada wa chama cha Mbowe. It's Fredy Justine against Ntobi & Martin Maranja. Vita ni kali sana. Ntobi na MMM wanaporomosha matusi mazito kwa kada mwenzao Fred ambapo Fred nae hajakaa kinyonge...
  16. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Kudownload files zilizouiliwa mtandaoni

    Wanajamvi heshima kwenu,katika pitapita zangu mtandaoni nilibahatika kukutana na notisi nzuri sana kwa watoto wa shule ya msingi, kupitia forum ya "msomi bora" kwa bahati mbaya sana notes hizo zimezuiliwa yaani huwezi kuzidownload katika mfumo wowote iwe nI PDF au hata Doc kwa maana uweze...
  17. LINGWAMBA

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI wiki nzima tumelipia leseni kwenye mfumo wa mtandaoni lakini hatujapa leseni mpaka sasa

    Watumishi wa hii serikali sijui kitu gani wanaweza! Zamani walikuwa na mfumo wa leseni manual katika manispaa, ilikuwa ukilipa mpaka muda wa leseni unaisha hujaipata! Sasa hivi online kuomba nayo unalipia unakaa wiki nzima leseni hawatoi! Inabidi na hizi wizara nyingne nazo tutafute...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo alivyojibiwa Hamis Kigwangwala mtandaoni

    Jionee mwenyewe halafu toa maoni yako
  19. buyoya419

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata control number mtandaoni TRA

    Nina Shida na kupata control number tra ili nilipie Nilienda juzi wakanipigia makadilio ila kwenye kupata control number mtandao wao ukasumbua so jambo halikukamilika na mwezi ushaisha nikikaa mpk tarehe 1 penati naombeni mnisaidie namna ya kuipata conyrol number kwenye tovuti yake
  20. blogger

    JamiiForums Tanzania Kwa alichopost Stamina anajiona katoboa, anatudharau

    Huyuu👇👇 Kajisahau.. Huenda anahisi katoboa. Anamess na population moja inayoweza muamulia mtu maisha. Mshaurini aendelee kupambana na Break Ups zake.
Back
Top Bottom