mtandao

  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    Jamani kuna mtandao unaitwa badoo, yani huko kuna malaya wa kutupwa, siku hizi ukitaka msichana wa fasta we jiunge huko tu, wamezagaaa kama siafu ila kuna kamtimdo wadada wa huko wamebuni kama wanaambizana vile. Ukichati nae tu kidogo utasikia,"naomba niazime 30000 nina shida sana...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Naomba mtandao wakustream mpira live

    Kama ulivyosoma kichwa Cha habari naombeni mtandao mzuri ambao ausumbui Wala kukatakata wa kustream mpira mwenye kujua anisaidie.
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lazaro Nyalandu kuzindua kampeni zake za urais kwa njia ya mtandao kesho Jumanne jijini Mwanza

    Mgombea urais mtarajiwa wa Chadema mh Lazaro Nyalandu kesho saa 11.00 jioni atazindua kampeni zake za kutafuta kuteuliwa na chama chake jijini Mwanza. Nyalandu ataendesha kampeni zake kwa njia ya kidigitali kwahiyo wanachadema wote mnaombwa ushirikiano wenu. Safari imeanza. Maendeleo hayana...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 Juni, 2020 kupitia Facebook Live Streaming | 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)

    Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 June, 2020 kupitia Facebook Live Streaming. 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)
  5. J

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla aitaka TCRA iufungie mtandao wa Twitter kwani kuna mambo machafu yanayoendelea huko

    Akizungumza katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari mwandishi nguli Pascal Mayalla amewataka TCRA kuwafuatilia wale wanaoandika uchafu kwenye mtandao wa Twitter na kama wameshindwa basi waufungie mtandao huo hapa nchini. Na kama hayo yote hayawezekani basi Watanzania wazalendo wajulishwe...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madaraka Day: Kenya yasheherekea miaka 57 ya Utawala, maadhimisho yatarushwa kupitia mtandao kutokana na janga la Corona

    Rais Uhuru Kenyatta leo anaongoza Wakenya kusherehekea maadhimisho ya miaka 57 ya Sikukuu ya Madaraka (Madaraka Day), ambapo kwa mara ya kwanza yatafanyika kupitia mtandao. Kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa CoronaVirus, wageni wachache wamealikwa kushiriki hafla itakayofanyika Ikulu jijini...
  7. JamiiForums Tanzania Pale unapotafuta mchumba kwa kutumia Video Conference na ukakataliwa na muhitaji baada ya kukuona

    Teknolojia imekua, na mambo mengi yanafanyika kutokana na ukuaji huo wa teknolojia ili kurahisisha mambo. Kwa upande wa uhusiano, unaweza kutafuta mchumba popote pale duniani na mkaonana kwa kutumia vifaa vya mawasiliano. Kumekuwa na wimbi la kutafuta wachumba kimtandao, na wakati mwingine...
  8. JamiiForums Tanzania Elimu kwa njia ya mtandao kwa wanafunzi wa Awali, Msingi na Sekondari. Je, Wizara ya Elimu inaitambua hiyo elimu?

    Niliwahi kuandika jamii forum kuhusu ili swala la kulipa ada na online education hili swala lipo hivi Tanzania kupitia wizara ya elimu haitambui elimu ya kujisomea nyumbani isipokuwa katika ngaz ya degree tuu hizo zingine chini haiwezekani hivyo mwanao akipata hyo elimu n kama tuition tuu mana...
  9. JamiiForums Tanzania Mkutano wa baraza la Mawaziri wa SADC ngazi ya Makatibu wakuu wafanyika kwa njia ya Mtandao

    Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umefanyika leo jijini Dar es Salaam kwa njia ya Mtandao (Video Conferencing) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Mkutano huo umefunguliwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Maafisa...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Matumizi ya internet kwa mtandao wa Vodacom yako vipi?

    Wakuu nauliza hivo maana kilichotokea wala sijaamini Yaani 1GB imeisha kwa kudownload apps mbili tu na kutumia whatsapp ndani ya dakika 10 Hii kali sasa
  11. JamiiForums Tanzania Sikukuu ya Eid El Fitri: Waislamu duniani washerehekea kwa njia ya mtandao

    Maadhimisho ya Eid El Fitri mwaka huu zimekuwa tofauti na miaka iliyopita kutokana na mataifa mengi kuendelea kuzuia mikusanyiko ili kudhibiti mlipuko wa CoronaVirus Nchi nyingi zenye idadi kubwa ya waumini wa Kiislamu kama Qatar, Uturuki na Indonesia zimepiga marufuku matukio mengi...
  12. JamiiForums Tanzania Masomo yote Cambridge University kupitia Mtandao hadi msimu wa joto 2021

    There will be no face-to-face lectures at the University of Cambridge over the course of the next academic year due to coronavirus, it has been announced. However, lectures will be available to students online and "it may be possible to host smaller teaching groups in person" if they meet...
  13. JamiiForums Tanzania Internet yenye thamani nzuri kwa matumizi makubwa ya internet (100GB+ kwa mwezi)

    Kwa mtu mwenye matumizi makubwa ya data - tuseme 100GB kwa mwezi - Ni huduma gani ya internet nzuri? sio lazima iwe mtandao wa simu, matumizi ni kwenye PC. Ni kwa ajili ya matumizi binafsi.
  14. JamiiForums Tanzania Wakala wa Mtandao wa Serikali (EGA) ni wakati wenu kujipambanua

    Ni wakati wenu EGA kuonesha uwepo wenu katika serikali ya JPM. Serikali iko kwenye mapambano dhidi ya COVID 19 inayopelekea mawasiliano kufanyika kwa njia ya mtandao. Nashauri muanzishe mawasiliano kwa kutumia group kama za whatapp ili kuwezesha vikao(onlinemeeting). Pia muanzishe app...
  15. JamiiForums Tanzania Jihadharini na offer mpya inayotolewa na mtandao wa Tigo

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza. Kuna ofa inatangazwa na tigo ukitoa hela na kuituma unapata 20,000 huo ni wizi mtupu nakushauri usijaribu kufanya hivo utambulia makato ya elfu 8 na kupewa elfu 2 tu au usipate chochote. Sasa hiyo ofa yao imelenga kujikusanyia pesa tu nasiyo...
  16. JamiiForums Tanzania Mtandao wa halotel umeanza kufyonza data bundle kama kunguni

    Ulikuwa ni mtandao mzuri kwa kweli kwa upande wangu, Bundle la data la sh 10,000 nilikuwa natumia mwezi mmoja lakini kwa sasa hata wiki halikatishi. Nafkiria kuitupilia mbali kule halotel nihamie mtandao mwingine.
  17. JamiiForums Tanzania Kesi namba 456 ya 2016 JamiiForums vs Jamhuri, Kisutu: Maxence Melo ahukumiwa Mwaka jela au faini ya Tsh. Mil 3. Mwenzake aachiwa huru

    Kesi namba 456 ya mwaka 2016 inawakabili Mkurugenzi wa Jamii Media Ndg. Maxence Melo na mwana hisa mwenzake Micke William itasomwa leo Aprili 08, 2020 mbele ya Hakimu Thomas Simba kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Hukumu hii awali ilipangwa kutolewa Novemba 26, 2019...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla: JamiiForums ndio mtandao bora kwenye utoaji elimu japokuwa wengine waliomba corona ije kupitia hukohuko

    Mwandishi wa habari nguli na mwanasheria Pascal Mayalla amesema mtandao wa JamiiForums ndiyo bora katika utoaji elimu pamoja na kwamba kuna baadhi ya members waliomba Corona ije nchini. Mayalla alikuwa anaongea katika kipindi cha Jicho Letu ndani ya habari kinachorushwa mubashara na Star TV...
  19. JamiiForums Tanzania Tatizo la Intaneti mtandao wa Airtel

    Wakuu hivi ni mimi ambae nakumbana na hili tatizo la internet kwa hawa airtel!? Maana natumia like 10 minutes mtandao unakata hadi nitoe modem then niweke tena. Na upande wa simu hivyohivyo hadi nizime data then niweke on tena. Kama kuna tatizo mbona hawatupi taarifa ili tusipoteze fedha zetu...
  20. JamiiForums Tanzania Mafunzo ya ICT, kozi kumi na tatu, chagua uipendayo

    Ongeza ujuzi wa kompyuta na mtandao. Lengo langu ni kukuongezea wewe ufanisi katika shughuli, biashara au miradi yako unayoifanya. Pia unaweza kujiajiri kwa kusoma kozi mbalimbali ninazozitoa. Kwa kuwa watu wameshughulishwa sana na wengi hawapati muda wa kutoka nyumbani na kwenda kujifunza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…